Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Mkuu ningeomba uniweke wazi kuhusu strategy ..maana bado nachangaya.. kama vip ungenisaidia na ambazo unazijua wewe ..mf ukisema kangaroo tail, big shadow.. Nazo Ni strategy? pia umeongelea MCV nin kirefu chakechake?/maana yake?

Shukrani mkuu
Hzo zote ni naked trader strategy, na MCV inaitwa Market Control.
 
Amlight,kumbe Nlishapitwa,huu Uzi Mrefu Sana Sitoumaliza Kuupitia,kama Utanipa Summary,na Je Otario Kafanikiwa Kufungua Ofisi?He He Nimentor Basi,bado Nanyonyesha
Kwa summary, check these links:

FEW IMPORTANT LINKS:

FOREX TRADERS OF TZ:
Forex Traders Tz

FREE FOREX CLASSES:
SIMPLE FOREX STRATEGY GROUP

FREE FOREX BOOKS:
FX Trading Books

FREE FOREX SIGNALS:
+255MillionairesFX

FREE FOREX SIGNALS:
FreeForexSignals

TEMPLER BROKER:
Templer FX Trader

PEPPERSTONE BROKER:
Pepperstone - Australia's Fastest Forex Broker

TICKMILL BROKER:
Tickmill - Trade With First Class Forex Broker

FBS $50 NO DEPOSIT BONUS :
FBS $50 Welcome Bonus - Forex

HOW TO USE DUSUPAY (ONCE WAS TICKMILL MOBILE FUNDING METHOD):

FOREX VIDEO: THE SIGNS:
 
Amlight,kumbe Nlishapitwa,huu Uzi Mrefu Sana Sitoumaliza Kuupitia,kama Utanipa Summary,na Je Otario Kafanikiwa Kufungua Ofisi?He He Nimentor Basi,bado Nanyonyesha
Ofisi alishafungua jengo la Jangid Plaza floor ya pili!
 
hongera mkuu mimi wangu kaweka pip zile zile hana huruma

nisha funga hesabu na sema sikutakiwa kutoka mapema inge sma vizuri tu
View attachment 727848
nisha funga hesabu na sema sikutakiwa kutoka mapema inge sma vizuri tu
kama uliweza kuleta hii ukidai umefunga mahesabu, hata hii haitoaminika.
haujui unachokihitaji nyumbani wanakuona upo busy kumbe for nothing
 
kuz
Nimemaliza Kusoma,ntasoma Tena Na Vitabu,dummies Nshadownload,nimesoma Finance Na Bado Npo Kwenye Process Ya Kusoma Finance Zaidi,ila Kabla Sijasoma Zaidi Forex Ntakuwa Nshaingia,itachukua Mda Ila Ntakuwa Fit Kukuzidi Ontario,
Ahsante Ontario
kumzid ontario ufanye kazi ya ziada kichwa yake kama laptop ufanyaji kazi
 
Nimemaliza Kusoma,ntasoma Tena Na Vitabu,dummies Nshadownload,nimesoma Finance Na Bado Npo Kwenye Process Ya Kusoma Finance Zaidi,ila Kabla Sijasoma Zaidi Forex Ntakuwa Nshaingia,itachukua Mda Ila Ntakuwa Fit Kukuzidi Ontario,
Ahsante Ontario
good vision and determination keep it grown
 
nisha funga hesabu na sema sikutakiwa kutoka mapema inge sma vizuri tu
kama uliweza kuleta hii ukidai umefunga mahesabu, hata hii haitoaminika.
haujui unachokihitaji nyumbani wanakuona upo busy kumbe for nothing
mkuu video hapa hazionekani, kama picha ila ukitaka njo kwenye channel yangu ya you tube
 
mkuu video hapa hazionekani, kama picha ila ukitaka njo kwenye channel yangu ya you tube

kama uliweza kuleta hii ukidai umefunga mahesabu ukaumbuliwa mtandao sio wa bongo, hata hii haitoaminika.
haujui unachokihitaji nyumbani wanakuona upo busy kumbe for nothing
 
Attachments

kama uliweza kuleta hii ukidai umefunga mahesabu ukaumbuliwa mtandao sio wa bongo, hata hii haitoaminika.
haujui unachokihitaji nyumbani wanakuona upo busy kumbe for nothing
mkuu niko na group za south na fb watu wana toa ushuhuda na ni wale beginner niko na video nyingi tu. na saizi sihitaji chochote ngoja ni post nyingine ya india kisha niandike ya hapa bongo then u comment.
 
Tickmill wa wapi? Na anaregulatory mbili tofauti... Ya UK, na ya Seychelles... Na TZ inapatikana TU kwa regulatory ya Seychelles... Umewahi jiuliza kwanini? Au na Tickmill ya Seychelles utasema co Tickmill original ni Copy?View attachment 728914
Usiruke maswali mjibu kama unajua.....Tickmill amesajiliwa UK na regulation yake ni UK na amesajiliwa pia Shelisheli na regulation yake ni Shelisheli pia sasa Templer kwa nini hamsemi ukweli kuwa ni Market Maker na hana regulatory? Yaani mnapiga chapuo tu hata kama hamna kitu by the way hats mi namtumia Templer ila ni kwa hela ndogo ndogo hela kubwa siwezi kumtumia
 
mkuu niko na group za south na fb watu wana toa ushuhuda na ni wale beginner niko na video nyingi tu. na saizi sihitaji chochote ngoja ni post nyingine ya india kisha niandike ya hapa bongo then u comment.
i bet hata shule ulikuwa unafeli sana, nice being consistent
 
Je kuna mdau aliyefanikiwa ku link credit card yake na Skrill account ?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…