Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
[emoji23] [emoji23] Mkuu, mbona unanitia shaka na uelewa wako wa forex

Dollar 10 in less than two weeks iko kwenye dollar 100 au zaid

So kutoka 100 had buku unatumia miaka??? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Happy Easter


Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] watu tulitoka dolla 2 mpaka 100 kwa wiki anazungumzia dolla 10 [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Always indicators follows price action, so indicators bila kua na knowledge ya price action ni buree, account itaungua mapema sanaa! Ingekua indicator zpo vzur kila mtu angekua na millions of dollars from forex.
 
Namjua Ontario kama mtu mwenye dharau, kiburi na kujisikia ila Leo kawa mpole kabananishwa baada ya kikampuni chake cha TMT kuwaibia Wateja kwa spreads and IB link akishirikiana na broker JP. Watu wanataka kuandamana hadi jangid wakabebe zile desktop na makochi na mazagamazaga.

Mambo ni hivi!

Forex is real but Ontario is a scammer.
 
Ndo yamefika huko kwani watu wameunguZa sana
 
Mkuu tusifukue makaburi tusonge mbele bhana , pamoja na hayo aliyoyafanya ontario pia tumshkuru kwa kutufunulia hii fursa kwa sisi ambao hatukuijua kabla
Siyo excuse hiyo mkuu kwa hiyo akitueletea fursa ndio atuibie?

Kwa namna yeyote ile jinsi Dunia inavyoenda kasi tungeijua tu hii fursa.

Amefanya vibaya kutuuza watanzania wenzake.
 
Siyo excuse hiyo mkuu kwa hiyo akitueletea fursa ndio atuibie?

Kwa namna yeyote ile jinsi Dunia inavyoenda kasi tungeijua tu hii fursa.

Amefanya vibaya kutuuza watanzania wenzake.
Mkuu ni kweli alikengeuka cha msingi tumsamehe na tusonge mbele sabab hata tukilalamika nothing will change the reality , lets put effort on making money through the opportunity he brought
 
Sio kidogo! Sana yani....

Ila we tuache tu na bange zetu [emoji110] [emoji110]
Hahahhahaha utajiri unakuja kwa kufanya kazi sijui forex pesa za kudownload tu mwisho wake ? Kuna siku aliwah kuandika hata kama atafilisika akiwa na dollar 10 tu akaanza ndani ya wiki anatengeneza dollar 1000 baada ya hapo anaweza kutengeneza dollars 10000 kwa kila wiki, ina maana kwa mwezi ana uwezo wa kutengeneza million 100. Sasa pesa zote hizo na bado anawaibia kwanini?? Kwa mawazo yangu najua Ontario baada ya miaka 2 Bakresa hamuoni ndani.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…