Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Nakumbuka mwaka jana nilikuwa nawafangua watu kuhusu Ujanja wa ontariao nikawapa hadi idea ya broker mwenye ukweli na anaye fanya vitu kwa uwazi waka mkimbilia Ontario na jp wake sasa wana lia wamepigwa kinyama..

Mm najenga nyumba sasa na mwezi wa 9 nahamia..

https://secure.tickmill.com/redirec...=1&lp=https://tickmill.com/accounts/overview/

Mkipewa ushauri muwe waelewa.. Siyo kila mtu yuko kwa ajili ya kupiga hela. Wengine tulianza trade kabla ya Ontario
 
Unmeweka link ili upate commission kwa hiyo broker unaempigia upatu hii nayo ina tofauti gani na utapeli? Commission ndio Zimejenga nyumba
 
Unmeweka link ili upate commission kwa hiyo broker unaempigia upatu hii nayo ina tofauti gani na utapeli? Commission ndio Zimejenga nyumba
Hivyo ndiovyo mlivyo niambia mwaka jana sasa mnalia..
 
Mi binafsi nakukubali sana... Lakn mara zote huwa najiuliza, mlikuwa wapi kutupatia hii elimu mpaka msubiri Ontario aanze? Kama kweli mlikuwa mwatrade kabla yake?
 
Ila Ontario abadirike kwani ana dharau sana huyu kijana sijapata ona. Nipo nae kwenye group la TMT
Ata ukienda pale tmt ukimpa hai anakujibu kama hakuoni vile alafu anakuacha hapo anasepa hajali, ata ukitaka kuongea naye unaona ha jali unacho ongea utamuona anaendele kuelekea anakoenda.. Kwamba wewe sichochote kwake.. Ila time will tell
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…