heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Sclap Eu sell
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unmeweka link ili upate commission kwa hiyo broker unaempigia upatu hii nayo ina tofauti gani na utapeli? Commission ndio Zimejenga nyumbaNakumbuka mwaka jana nilikuwa nawafangua watu kuhusu Ujanja wa ontariao nikawapa hadi idea ya broker mwenye ukweli na anaye fanya vitu kwa uwazi waka mkimbilia Ontario na jp wake sasa wana lia wamepigwa kinyama..
Mm najenga nyumba sasa na mwezi wa 9 nahamia..
https://secure.tickmill.com/redirect/index.php?cii=10083&cis=1&lp=https://tickmill.com/accounts/overview/
Mkipewa ushauri muwe waelewa.. Siyo kila mtu yuko kwa ajili ya kupiga hela. Wengine tulianza trade kabla ya Ontario
Hivyo ndiovyo mlivyo niambia mwaka jana sasa mnalia..Unmeweka link ili upate commission kwa hiyo broker unaempigia upatu hii nayo ina tofauti gani na utapeli? Commission ndio Zimejenga nyumba
Mi binafsi nakukubali sana... Lakn mara zote huwa najiuliza, mlikuwa wapi kutupatia hii elimu mpaka msubiri Ontario aanze? Kama kweli mlikuwa mwatrade kabla yake?Nakumbuka mwaka jana nilikuwa nawafangua watu kuhusu Ujanja wa ontariao nikawapa hadi idea ya broker mwenye ukweli na anaye fanya vitu kwa uwazi waka mkimbilia Ontario na jp wake sasa wana lia wamepigwa kinyama..
Mm najenga nyumba sasa na mwezi wa 9 nahamia..
https://secure.tickmill.com/redirec...=1&lp=https://tickmill.com/accounts/overview/
Mkipewa ushauri muwe waelewa.. Siyo kila mtu yuko kwa ajili ya kupiga hela. Wengine tulianza trade kabla ya Ontario
Kaka mm nilisha wambia mwaka jana waka nijia juu wakaona mm ni mtu wa IB labda nina maslai binasfi ila. Kuna wachache walinieleaa they are no making quite a profit now..Mi binafsi nakukubali sana... Lakn mara zote huwa najiuliza, mlikuwa wapi kutupatia hii elimu mpaka msubiri Ontario aanze? Kama kweli mlikuwa mwatrade kabla yake?
nmekupiga kizinga hujakiona mkuuKaka mm nilisha wambia mwaka jana waka nijia juu wakaona mm ni mtu wa IB labda nina maslai binasfi ila. Kuna wachache walinieleaa they are no making quite a profit now..
https://secure.tickmill.com/redirect/index.php?cii=10083&cis=1&lp=https://tickmill.com/accounts/overview/
View attachment 734165View attachment 734167
Hii ni kweli kabisa.Ila Ontario abadirike kwani ana dharau sana huyu kijana sijapata ona. Nipo nae kwenye group la TMT
Nimekujibu kakanmekupiga kizinga hujakiona mkuu
Profit yote hio soko halitembei mkuu[emoji1] [emoji1].
NiceProfit yote hio soko halitembei mkuu[emoji1] [emoji1].
Nice
Ata ukienda pale tmt ukimpa hai anakujibu kama hakuoni vile alafu anakuacha hapo anasepa hajali, ata ukitaka kuongea naye unaona ha jali unacho ongea utamuona anaendele kuelekea anakoenda.. Kwamba wewe sichochote kwake.. Ila time will tellIla Ontario abadirike kwani ana dharau sana huyu kijana sijapata ona. Nipo nae kwenye group la TMT