Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
My free analysis juu hapoo huuu ela izi
 
Attachments

  • Screenshot_20180405-172142.png
    22.9 KB · Views: 53
Ata ukienda pale tmt ukimpa hai anakujibu kama hakuoni vile alafu anakuacha hapo anasepa hajali, ata ukitaka kuongea naye unaona ha jali unacho ongea utamuona anaendele kuelekea anakoenda.. Kwamba wewe sichochote kwake.. Ila time will tell
Huyo bwana mkubwa ana dharau sanA sanA, NIPO kwenye group lake la watsap ana majibu ya ajabu ajabu, kiufupi hana nidham hata kwa waliomzidi umri.

Anyway hili sio lengo la uzi. Mkuu favourite currency pair yako ni ipi
 
eurusd, gbpjpy, na usdjpy
 
Ata ukienda pale tmt ukimpa hai anakujibu kama hakuoni vile alafu anakuacha hapo anasepa hajali, ata ukitaka kuongea naye unaona ha jali unacho ongea utamuona anaendele kuelekea anakoenda.. Kwamba wewe sichochote kwake.. Ila time will tell
Kijana achana na kulalamika sijui ontario kafanya hivi sijui veile.... yote ya nini kaka? Haya mambo ya forex mbona unaweza kukomaa wewe mwenyewe na ukaelewa vizuri kabisa kuliko hata huko kwa ontario! Penye nia pana njia. Mimi sijawahi kumuona wala kukutana na Ontario wala nani na sijawahi kulipa ada nikakaa darasani kufundishwa forex na mtu yoyote lakini natrade forex. Naamin humu wapo wa aina yangu wengi tu. Sisemi kwamba kufundishwa forex na mtu mwingine ni vibaya la hasha! Bali point yangu ni kwamba hata ukifundishwa na Ontario kama huna nia ya dhati ya kujifunza na kumaster forex utaishia njiani tu!

KOMAA ACHANA NA ONTARIO.

NAMSHUKURU ONTARIO KWA JAMBO MOJA TU "AMENITOA KWENYE GIZA NA USINGIZI MZITO NA KUNIONYESHA FURSA YA FOREX" Mengine yote yaliyobaki ni juu yangu mimi mwenyewe na sihitaji kumlaumu Ontario!
 
Sina time ya kumlalamikia kaka am independent trader.. Apo juu nimemsupport aliye shutumu kuwa jamaa ana dharau.. Na nikweli nalijua hilo maana mwaka jana nilisha kutana naye office kwake kwa lengo la kutala kuuliza jambo dogo tu ila alinipuuzia.. So nimemkubalia huyu jamaa kuwa ni kweli ana dharau..

Siko hapa kumzungumzia maana hanisaidii chochote..
 
OK. NOTED!
 
Ata ukienda pale tmt ukimpa hai anakujibu kama hakuoni vile alafu anakuacha hapo anasepa hajali, ata ukitaka kuongea naye unaona ha jali unacho ongea utamuona anaendele kuelekea anakoenda.. Kwamba wewe sichochote kwake.. Ila time will tell
Aliwahi kusema mafanikio huja na kiburi hivyo tuwe makini! Lakini naona unabii wake unamrudi mwenyewe,anyway tumwache kijana ale matunda ya kazi zake.
Hata mimi ningekuwa Ontario ningekuwa kama yeye tu! Inashangaza mtu kusubiri kusukumiwa call tu,then hela ziteremke kiulaini tu!! "You have to pay the price".kujitegemea muhimu sana.
 
Huyo bwana mkubwa ana dharau sanA sanA, NIPO kwenye group lake la watsap ana majibu ya ajabu ajabu, kiufupi hana nidham hata kwa waliomzidi umri.

Anyway hili sio lengo la uzi. Mkuu favourite currency pair yako ni ipi
Chukueni mikojo alafu mkaupeleka kwa mkemia mkuu,,huenda ni mtumiaji mzuri sanaaaaa wa madawa ya kulevya.
 
Unatumia broker gani kwanza tuanzie hapo
Asante kwa kunigusia hapo. Wakati naji register real account ya MT4 pale kwenye Ku add account sikukuta option ya kuji register Real Account badala take kuna option 2 tu yaan Register into Demo account and Login into pre existing account illa wanasema "to register into real account contact your broker" je hapo ningelifanyaje? Naomba msaanda
 
Your capital is at very high risk [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Kwa wale wazoefu TemplerFX. Nime deposit some amount into real account ya TemplerFX via MPESA. Nawezaje kuamisha hiyo amount kwenye kwenye real account ya MT4 ili niweze Kutrade??
Pls I need your help
 
Kwa wale wazoefu TemplerFX. Nime deposit some amount into real account ya TemplerFX via MPESA. Nawezaje kuamisha hiyo amount kwenye kwenye real account ya MT4 ili niweze Kutrade??
Pls I need your help
How mkuu??uliopen live account kwenye hyo templerfx??hapo hapo unapewa log in details za kukuwezesha kuingilia kwenye mt4
 
H
How mkuu??uliopen live account kwenye hyo templerfx??hapo hapo unapewa log in details za kukuwezesha kuingilia kwenye mt4
May be hili tatizo pekee yangu. Nilivyo open Live account kwenye TemplerFX walinitumia links zao kwenye email yang za kuniwezesha kudownload trading platform via play store. Unavyosema unapewa Log in details sijakuelewa mkuu naomba msaada wako
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…