Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Hii ni namba ya watsap templerfx Tanzania 0625541538Ndugu nimebonyeza hapo kwenye support imeniletea hivyo sasa nabonyeza wapi? tafathali View attachment 738411
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni namba ya watsap templerfx Tanzania 0625541538Ndugu nimebonyeza hapo kwenye support imeniletea hivyo sasa nabonyeza wapi? tafathali View attachment 738411
Ahsante Humble AfricanThus pair zenye CAD might be very complex but sometime they can be easily predictable due to the prices of its major commodity Crude oil that's drives economy.
@Mwl.RCT tuko pamoja tuendelee kuelimishana juu ya hii fursa tutaiva tu.. Hakuna aliezaliwa anajua kuandika wala kusoma. We all learned..let's learn tirelessly.Ahsante Humble African
Asante sana kwa hii elimu adhimu, hivi hatuwezi kuanzisha watsap group mzee utupe madiniForex ilivyo imetengenezwa kwenda against na watu walio very intelligent ndio maana maprofesa hawakuweza kuwa billionaire kutokana na Forex but watoto wadogo wenye elimu hafifu kama akina Sandike shezi ndio wamefanikiwa kuwa mamilionea kupitia Forex wakiwa na umri mdogo zaidi wa miaka 20 tu.. Forex inakukataka usiwe na emotional, uwe na disciplines na ujue vitu vidogo muhimu kama hivi ninavyotaka kuelezea ...ukivijua hivi unatrade ukiwa umelegeza mwili bila hata jasho...unajua kwamba kuna pair nyingi zinamoves in correlation na commodities kama Gold, Crude oil, Gas e.t.c na ukiweza kutrack price ya hizi commodities unaweza kusell au kubuy kwa confidence kabisa pair kama za CAD, AUD, USD e.t.c kirahisi sana!?
Nikusaidie hili unajua pair Zote zenye CAD yaani Canadian dollar zinakuwa influenced na commodity ya crude oil? Na Canada ni miongoni mwa wazalishaji wazuri wa oil kwao wanayaita kwa maana ya kwamba ni kuwa na dhahabu nyeusi ya mafuta ndio ikawa " black gold" ikiuza mapipa yake zaidi ya 3 million kwa marekani kila siku...ndio largest supplier wa oil kwa mmarekani?
Sasa hii inaafect vipi soko la Forex?
Iko hivi USA ikinunua oil inaamanisha wanatoa dollar ambazo zinakuwa converted kwenye Canadian dollar ili ziweze kutumika nchini mwao hivyo wanaenda exchange na kubadilisha hizo fedha za kigeni na kuwa Canadian dollar it means wanabuy more CAD then currency yao ya CAD inapanda thamani na kuwa na nguvu sokoni. Hapo sasa ndio traders tunapata volatility ya kwenda kubuy au kusell sokoni.
Binafsi huwa nikitaka kujua hali ya CAD na jinsi ya kuitrade huwa nazaman Bloomberg fasta naangalia price ya oil nikiona iko around $46-57 per barrel(pipa) najua CAD itakuwa weak but nikiona imeanza kuscore price ya $60-63 najua soon itakuwa strong enough kiasi cha kusumbua pair zingine..so nikiingia Blomberg mixer na technical analysis zangu nilizofanya ndio huwa najua nibuy au nisell pair zenye CAD.
Thus pair zenye CAD might be very complex but sometime they can be easily predictable due to the prices of its major commodity Crude oil that's drives its economy.
Naogopa mkuu! Wasije kuona nimekuja kutafuta misukule wa kuwapiga..tukomae hapa hapa kwenye hii platform. Tutatoka tu.Asante sana kwa hii elimu adhimu, hivi hatuwezi kuanzisha watsap group mzee utupe madini
[emoji1] [emoji1]Naogopa mkuu! Wasije kuona nimekuja kutafuta misukule wa kuwapiga..tukomae hapa hapa kwenye hii platform. Tutatoka tu.
Tutafika tu!
Mkuu nimezama Bloomberg.com ila nimeshindwa kung'amua ulichoeleza... Nataka nipate maelezo ya crude oil inavyoifluence CAD ila sijaelewa namna gani naweza pata hayo maelezo direct from BloombergForex ilivyo imetengenezwa kwenda against na watu walio very intelligent ndio maana maprofesa hawakuweza kuwa billionaire kutokana na Forex but watoto wadogo wenye elimu hafifu kama akina Sandike shezi ndio wamefanikiwa kuwa mamilionea kupitia Forex wakiwa na umri mdogo zaidi wa miaka 20 tu.. Forex inakukataka usiwe na emotional, uwe na disciplines na ujue vitu vidogo muhimu kama hivi ninavyotaka kuelezea ...ukivijua hivi unatrade ukiwa umelegeza mwili bila hata jasho...unajua kwamba kuna pair nyingi zinamoves in correlation na commodities kama Gold, Crude oil, Gas e.t.c na ukiweza kutrack price ya hizi commodities unaweza kusell au kubuy kwa confidence kabisa pair kama za CAD, AUD, USD e.t.c kirahisi sana!?
Nikusaidie hili unajua pair Zote zenye CAD yaani Canadian dollar zinakuwa influenced na commodity ya crude oil? Na Canada ni miongoni mwa wazalishaji wazuri wa oil kwao wanayaita kwa maana ya kwamba ni kuwa na dhahabu nyeusi ya mafuta ndio ikawa " black gold" ikiuza mapipa yake zaidi ya 3 million kwa marekani kila siku...ndio largest supplier wa oil kwa mmarekani?
Sasa hii inaafect vipi soko la Forex?
Iko hivi USA ikinunua oil inaamanisha wanatoa dollar ambazo zinakuwa converted kwenye Canadian dollar ili ziweze kutumika nchini mwao hivyo wanaenda exchange na kubadilisha hizo fedha za kigeni na kuwa Canadian dollar it means wanabuy more CAD then currency yao ya CAD inapanda thamani na kuwa na nguvu sokoni. Hapo sasa ndio traders tunapata volatility ya kwenda kubuy au kusell sokoni.
Binafsi huwa nikitaka kujua hali ya CAD na jinsi ya kuitrade huwa nazaman Bloomberg fasta naangalia price ya oil nikiona iko around $46-57 per barrel(pipa) najua CAD itakuwa weak but nikiona imeanza kuscore price ya $60-63 najua soon itakuwa strong enough kiasi cha kusumbua pair zingine..so nikiingia Blomberg mixer na technical analysis zangu nilizofanya ndio huwa najua nibuy au nisell pair zenye CAD.
Thus pair zenye CAD might be very complex but sometime they can be easily predictable due to the prices of its major commodity Crude oil that's drives its economy.
Crude oil ina Confluence CAD strength pale USA wanaponunua oil nyingi then wanatoa dola nyingi sasa Canada wanazibadilisha Kwenye exchange zao kwenda Canadian dollar it means kwmeye exchange nwatabuy more Canadian dollar hence kwenye world foreign exchange market CAD pair inakuwa na strong buy. USA wasiponunua oil kwa wingi CAD inakuwa weak.Mkuu nimezama Bloomberg.com ila nimeshindwa kung'amua ulichoeleza... Nataka nipate maelezo ya crude oil inavyoifluence CAD ila sijaelewa namna gani naweza pata hayo maelezo direct from Bloomberg
View attachment 738690
Maelezo kidogo tafadhali
Nekupata mkuu asante sana, tupe maujanjaCrude oil ina Confluence CAD strength pale USA wanaponunua oil nyingi then wanatoa dola nyingi sasa Canada wanazibadilisha Kwenye exchange zao kwenda Canadian dollar it means kwmeye exchange nwatabuy more Canadian dollar hence kwenye world foreign exchange market CAD pair inakuwa na strong buy. USA wasiponunua oil kwa wingi CAD inakuwa weak.
Like that kwa hiyo nikizama Blomberg ni kwa ajili ya kujua today oil price basi then naangalia chart nafanya yangu.
Naogopa mkuu! Wasije kuona nimekuja kutafuta misukule wa kuwapiga..tukomae hapa hapa kwenye hii platform. Tutatoka tu.
Tutafika tu!
Mimi ndie spiritual mwenyewe hujakosea..kila mtu anayo namba yangu na kama vipi iweke hapa nipate wana wa kuchart nao si unaona wananielewa wanataka tufungue na WhatsApp tuyajenge kijamaa kuhusu Forex bila kuhibiana. Sema Mimi sitaki wizi wala utapeli tunamalizana hapa hapa kijiweni.Usiseme unaogopa.
Sema kuwa ushajulikana unafiki wako.
Wewe Humble African ndie unajiita Spiritual kwenye magroup ya WhatsApp na namba yako ya cm tunayo.
Tutajiunga na sie tusanue unafiki wako.
Ndicho unachoogopa.
Mtanikumbuka siku moja but itakuwa too late.
Na bado unaenda kwake! Kweli una moyo. Nina imani utu wangu una thamani zaidi ya elimu anayotoa.Ata ukienda pale tmt ukimpa hai anakujibu kama hakuoni vile alafu anakuacha hapo anasepa hajali, ata ukitaka kuongea naye unaona ha jali unacho ongea utamuona anaendele kuelekea anakoenda.. Kwamba wewe sichochote kwake.. Ila time will tell
Sadly sijaona mtu yeyote aliepunch hoja au allegations zilizoletwa hapa dhidi ya TMT.Yani kila nikipitia kwenye hili group nina scroll back hii message nabaki kucheka tu. Ulitaka wanaume wakufate nyuma unawapa majaribu??
View attachment 738776
Japo umemmaliza moja wa waasisi muhimu wa forex, ule uzi wako umechangia hofu kwa trader wapya kwa kiasi kikubwa umewarudisha nyuma@Mwl.RCT tuko pamoja tuendelee kuelimishana juu ya hii fursa tutaiva tu.. Hakuna aliezaliwa anajua kuandika wala kusoma. We all learned..let's learn tirelessly.
That's why this midnight tuko awake..tukaze mkuu! If you want to be strong learn how to fight alone.
Deuce!
Hapo sawaNaogopa mkuu! Wasije kuona nimekuja kutafuta misukule wa kuwapiga..tukomae hapa hapa kwenye hii platform. Tutatoka tu.
Tutafika tu!
Kufa kufaana mkuuYani kila nikipitia kwenye hili group nina scroll back hii message nabaki kucheka tu. Ulitaka wanaume wakufate nyuma unawapa majaribu??
View attachment 738776