Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,366
- 14,167
Kumbe huu Uzi bado upo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeap karibu upo mwingine mwasisi wetu kafanya watu vibaya nasikia etiKumbe huu Uzi bado upo
Mkuu hii ni kwa kila pair yenye.euro ama?on the way to short EU after double tops in 1H it going to break it low maybe
Hapana but imegoma kubreak it low so patienc inahusika imeenda kuform triple ila rrsistance bado ni imaraMkuu hii ni kwa kila pair yenye.euro ama?
boss, unge crop tu hiyo text ya uliyetaka aonekane, sie wengine majina yetu sii vyema yakawa sehemu ya text ya namna hiyo, hatuna tatizo na mtuYani kila nikipitia kwenye hili group nina scroll back hii message nabaki kucheka tu. Ulitaka wanaume wakufate nyuma unawapa majaribu??
View attachment 738776
Habari ndugu nimefata hatua zote za maelezo yako na kuja vipengele vyote ila tatizo linakuja nikikusanya taarifa zangu naletewa neno hilo sijui nakosea wapi? tafadhali msaada na kwa yoyote anipe mwanga wa kufungua akaunti ya bonusKwa urahc zaidi na kuhudumiwa kwa haraka, ningekushauri uwapigie... Lakn hyo itakuwa kesho muda wa kazi.
Nicheck inbox kama huna namba zao.
Kama unataka bonus isiyo na masharti magumu nenda XM ukipata trade unawithdraw bila hata ya kudeposit chochote kama unaona bado hujawa pips hunter mzuri usizikimbilie kwanza cheza na demo au weka hata kuanzia $2 mpaka $10 za kujifunzia hata ukiblow hakuna tatizo ukiiva vizuri nenda XM ukapate mtaji wa bureHabari ndugu nimefata hatua zote za maelezo yako na kuja vipengele vyote ila tatizo linakuja nikikusanya taarifa zangu naletewa neno hilo sijui nakosea wapi? tafadhali msaada na kwa yoyote anipe mwanga wa kufungua akaunti ya bonusView attachment 739994
Asante sana ndugu kwa ushauri wakoKama unataka bonus isiyo na masharti magumu nenda XM ukipata trade unawithdraw bila hata ya kudeposit chochote kama unaona bado hujawa pips hunter mzuri usizikimbilie kwanza cheza na demo au weka hata kuanzia $2 mpaka $10 za kujifunzia hata ukiblow hakuna tatizo ukiiva vizuri nenda XM ukapate mtaji wa bure
Huyu XM ni aina gani ya Broker?: Market Maker brokers au ECN brokers.Kama unataka bonus isiyo na masharti magumu nenda XM ukipata trade unawithdraw bila hata ya kudeposit chochote kama unaona bado hujawa pips hunter mzuri usizikimbilie kwanza cheza na demo au weka hata kuanzia $2 mpaka $10 za kujifunzia hata ukiblow hakuna tatizo ukiiva vizuri nenda XM ukapate mtaji wa bure
[emoji1]Huyu XM ni aina gani ya Broker?: Market Maker brokers au ECN brokers.