Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Mkuu kulikoni trailing order haipo kwa watumiaji wa simu/Android? Na je ni kweli kwa watumiaji wa pc trailing order ni lazima data iwe on masaa yote?
Huwa situmii laptop Kwenye trading zangu kutokana na kuwa on movement Mara Kwa Mara hivyo nilijizoesha kumaster kufanya analysis kwenye simu yangu bila kutegemea PC hivyo simu yangu inatosha kufanya analysis zote kwenye simu huwa tunatumia stop loss the same as trailing stop Kwa wanaotumia PC.

Hivyo ukiwa na android unaweza kutumia stop loss kuihamisha juu ya profit yako ili graph ikishuka ina hit stop loss then unakuwa out of business with your profit.
 
Pamoja sana nimeelewa!
 
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura na namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker.

JISAJILI SASA
Usisite kuomba msaada

TemplerFX | Promo
 
Jamaa bado hawajajiunga na tigopesa
 
Hao mabroker wanafanya biashara. Wanataka faida. Hawawezi kubali ile kwao. Watafanya chochote ikiwamo kufreeze system na nk ili upate hasara. Na hata ukipata faida unaweza usiitoe hiyo hela vile vile. Ni full ujambazi kwa wengi wao

Haya maneno niliyaweka humu kitambo na naona wengi wamejionea

Nenda Google au search engine zingine soma sana hao market makers wanavyo liza watu na jinsi wanavyoendesha hii shughuli. Kuna vilio vingi sana na kuna namna na namna jinsi ya kula hela yako

Kwanza kumpata broker mzur ni changamoto maana wako wengi na wanabadilisha majina yao na nk. True ecn broker ambaye amekuwa regulated UK kwa mfano au marekani, angeweza kuwa afadhali lakini unaambiwa ni ghali sana kuendesha hiyo na hivyo inakutaka uwe na minimum deposit kubwa ambayo wengi wetu hatuna. So tunaishia kwa hao pure market makers ambao sehem ingine utaona pips zimeenda hivi lakin yeye atadai anakochukua yeye zinaenda kivingine

Una kuwa na broker amekuwa regulated Belize au Cyprus, Dah. Ukiliwa sijui utaenda kumlilia nani kule

Hela kwenye biashara ya forex ipo nyingi tu, namini hivyo ila yataka umpate broker mzur na ujue kiundani hii biashara. Ujue kiundani biashara inavyoenda kimataifa. Ufuatilie habari kubwa kubwa duniani. Ujue hao brokers wanafanyaje biashara hii - ma market cycle etc. Etc. Kwa weng wetu hii ni changamoto haswaaa na si haba

Unafikir George soros alipigaje hela? Ni kwa kujua hali ya uchumi au biashara ya dunia, ni kwa kujua masoko ya fedha yanavyokwenda. Na nk. Na ni mtu aliye kaa miaka mingi kwenye hili gemu. Hii si kitu ya kulala na kuamka tajiri. Kazi kwako
 
Forex Trading with TemplerFx!!

- Anza Forex kwa kutumia broker bora na mwenye uhakika.
- Broker pekee anayetumia miamala ya M-pesa kuweka na kutoa pesa kwa dakika 5 tu!!
- Hauhitaji kwenda benki wala kusumbuka na benki, ni simu yako tu.
-Kiwango cha chini (minimum) kuweka Pesa ni kuanzia $1

JINSI YA KUJISAJILI:

-Kujisajili bonyeza link: Templer FX Trader
-Utajaza majina sawa na yaliyo kwenye kitambulisho chako(Cha taifa, kura, leseni ya udereva, pasi ya kusafiria)
- Utajaza email yako unayotumia
- Utatuingiza namba ya simu (ikiwa vodacom itapendeza) na utaanza na +255....
- Utabonyeza sehemu iliyoandikwa 'I am not a robot '
- Utabonyeza Confirm na Agree to Terms & Conditions.
- Mwisho bonyeza START TRADING na utakuwa umemaliza na kutumia email na password ya kuingilia kwenye brokers account.

Nichek inbox kwa msaada zaidi

Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kama uliijua forex kitambo kabla ya Ontario je tmt ulienda kujifunza au ulienda kuchunguza utapeli wao?
Huyo jamaa ananichosha anavyojiproud kati mm namjua ni msukule Wa Ontario , muda mwngine anaongea point ila tatizo ni kujiproud na kujifanya yeye kazaliwa na forex .. Humu ndani anataka asikike yeye tu

Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app
 
Kwanza kumpata broker mzur ni changamoto maana wako wengi na wanabadilisha majina yao na nk.
True ecn broker ambaye amekuwa regulated UK kwa mfano au marekani,
Je waweza tutajia japo mmoja ECN broker?
So tunaishia kwa hao pure market makers ambao sehem ingine utaona pips zimeenda hivi lakin yeye atadai anakochukua yeye zinaenda kivingine
Je haiwezekanani kufanya kazi na market maker na ukaweza ku win trades zako?
Hela kwenye biashara ya forex ipo nyingi tu, namini hivyo ila yataka umpate broker mzur na ujue kiundani hii biashara.
Inaonekana changamto kubwa ni kumpata broker sahihi - JE KWA UTAFITI WAKO NI BROKER GANI UNAPENDEKEZA ZAIDI?
 
Msaada jinsi ya Kufunga soko kwenye software ya metatrade 4

Mkuu, wakitaka kukupiga hata option ya kufunga soko wanaweza kuifreeze - isifanye kazi, au huenda hata isionekane. Lengo ile kwako tu. Wana tekniki za aina zote. Na wewe unabaki hopeless ukiona soko likila upande wako. Kuna watu wanazimia. Soma kwenye comments, discussion mitandaoni jinsi jamaa wanavyopiga watu. Chukua tahadhar
 
Je waweza tutajia japo mmoja ECN broker?

Je haiwezekanani kufanya kazi na market maker na ukaweza ku win trades zako?

Inaonekana changamto kubwa ni kumpata broker sahihi - JE KWA UTAFITI WAKO NI BROKER GANI UNAPENDEKEZA ZAIDI?

Unajua mkuu, husemwa kuwa market makers wana trade against their customers - wew na mim. True ecn broker husemwa anapenda customers wake washinde Na hasa anaishi kwa commission. Ukipata zaid nayeye ndo hupata, zaidi.

Sasa MM anaenda kinyume na sisi halafu yeye ndo ana i control hiyo metatrader system. Unategemea nin?

Any way concept iko katika kumpiga MM kwenye game yake. Yaani, yeye ana kila kitu ila bado umpige. Ndo hivyo

Sijachunguza zaid maana niliona kama minimum deposit ya true ecn ni kubwa sana kwangu, so I left. Ukichunguza vya kutosha utawajua tu. Tembea tembea mitandaoni

Saa hizi najipanga upya kuhangaika na akina MM.

Wako wengi wanajifanya ni true ecn lakin hamna kitu. Ni feki tu

Cha muhimu ni kupata genuine MM ambaye ni properly regulated kwenye nchi za maana. Tafuta rekodi na skendo zake. Wenzetu wazungu wanabwabwaja sana wakipigwa. Itakusaidia

Kuna kesi imewahi kufunguliwa UK dhidi ya reputable MM mmoja. Na mara ingine utasikia hata OANDA anashutumiwa kwa wrong doings. Yaani ndo hivyo. Take care
 
Je waweza tutajia japo mmoja ECN broker?

Je haiwezekanani kufanya kazi na market maker na ukaweza ku win trades zako?

Inaonekana changamto kubwa ni kumpata broker sahihi - JE KWA UTAFITI WAKO NI BROKER GANI UNAPENDEKEZA ZAIDI?
Kwa uzoefu wangu nimeona changamoto kubwa si kumpata broker sahihi, ila ni kupata analysis sahihi na entry points sahihi. Unaweza ukawa na broker ana spread 0, hana comission ila ukachezea za uso na kuunguza acc. Analysis mwanangu ndo shida ... ingawa ni kweli broker naye anatakiwa asiwe tapeli. Brokers wengi nimegundua wana uwezo wa kunyanyasa watu wenye mitaji midogo ambapo wakiamua kupeleka price upande tofauti kidogo tu, you are in trouble.
 
Broker sio tatizo wala mtaji sio tatizo tatizo ni skills tu. Ukiwa na skills nzuri hata broker afanyaje hawezi kukupa loss kama umeingia entry sahihi, Tupambane tupate enough and right skills basi, huyo templer pamoja na kuwa MM watu wanawithdraw kila siku.
 
Screenshot_20180424-092502.png
 
Hao mabroker wanafanya biashara. Wanataka faida. Hawawezi kubali ile kwao. Watafanya chochote ikiwamo kufreeze system na nk ili upate hasara. Na hata ukipata faida unaweza usiitoe hiyo hela vile vile. Ni full ujambazi kwa wengi wao

Haya maneno niliyaweka humu kitambo na naona wengi wamejionea

Nenda Google au search engine zingine soma sana hao market makers wanavyo liza watu na jinsi wanavyoendesha hii shughuli. Kuna vilio vingi sana na kuna namna na namna jinsi ya kula hela yako

Kwanza kumpata broker mzur ni changamoto maana wako wengi na wanabadilisha majina yao na nk. True ecn broker ambaye amekuwa regulated UK kwa mfano au marekani, angeweza kuwa afadhali lakini unaambiwa ni ghali sana kuendesha hiyo na hivyo inakutaka uwe na minimum deposit kubwa ambayo wengi wetu hatuna. So tunaishia kwa hao pure market makers ambao sehem ingine utaona pips zimeenda hivi lakin yeye atadai anakochukua yeye zinaenda kivingine

Una kuwa na broker amekuwa regulated Belize au Cyprus, Dah. Ukiliwa sijui utaenda kumlilia nani kule

Hela kwenye biashara ya forex ipo nyingi tu, namini hivyo ila yataka umpate broker mzur na ujue kiundani hii biashara. Ujue kiundani biashara inavyoenda kimataifa. Ufuatilie habari kubwa kubwa duniani. Ujue hao brokers wanafanyaje biashara hii - ma market cycle etc. Etc. Kwa weng wetu hii ni changamoto haswaaa na si haba

Unafikir George soros alipigaje hela? Ni kwa kujua hali ya uchumi au biashara ya dunia, ni kwa kujua masoko ya fedha yanavyokwenda. Na nk. Na ni mtu aliye kaa miaka mingi kwenye hili gemu. Hii si kitu ya kulala na kuamka tajiri. Kazi kwako
Umeongea mengi ya msingi, lakn pia umekosea mengi...

Inaonekana kwako anayemiliki genge la nyanya hana maana, na afunge tu biashara, mana dabaga tayari wana tomato sauce!!!! Yan n sawa na kusema pub zifungwe sbb kuna maduka ya jumla ya bia!

Unapotukandia sisi, na kumsifia Soros, kwamba ana miaka mingi katika game, unasahau kitu kimoja kikubwa...... Hata yeye alianziaga huku, hata yeye alimwambia mtu, "jana nimesikia kuhusu stock markets", hata yeye alikuwaga mwanafunzi, newbie...

Hakuna aliyezaliwa anajua, Labda kama Soros atakuwa wa kwanza![emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom