Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Kaka wewe ulishawahi kutrade?
 
Sitaki hii fursa inipite , mi bado kijana tena under 25 fresh graduate hii financial independent ni kitu ambacho kipo akilin mwangu mda sana, sijui najihakikishia vp nafasi ya mm kuwepo kwenye list ya wateule hao 300, sijui ni method gan BOSS@ONTARIO atatumia ili kutupata wafuasi lakin nitaiweka kwenye maombi yangu usiku
lakin kamani random basi mi najitoa mhanga my contact ni 0716 228 588
Watsup ingekuwa njia nzuri but ONTARIO now best i leave the rest to you.....
 
Mkuu ONTARIO katumia mtego mzuri sana ,
Katoka idadi kubwa ya waalikwa , najua wajanja washaanza kupaua vitabu na kuanza kuperuzi mapeeeema

  • Ingawa najua wataofanikiwa kufuzu watakuwa labda 30% kwa sababu wengi shule ni shida (hii kitu inahitaji mtu ambaye kichwani kuna content na sio null & void content). U must be an avid learner so as to enjoy the game.

  • Hata wasomi au wanaojiita wasomi bado kuna ishu ya language barrier (Lugha gongana) maana material ya kujifunza hii kitu yanakuhitaji uwe mwerewa wa yai la malkia na mambo ya uchumu wa fedha Kiasi Flani. Ila wale wenzangu na mim tunapenda slope sijui kama tuta enjoy na kuelewa somo hili kwa ufasaha. Maana naohofia wale wataokwama njiani wasije sema jamaa mleta Uzi kawapiga kisha kasepa zake.
  • Nimeona nitoe angalizo tu maana hapa itakuwa ni mwendo wa survival for the fittest tu ndo itatoa majibu, the stronger ones will survive and the weak one will quite the game.
  • Subirini mtaona wataovyobaki wachache, maana mi naamini siku zote mambo mamzuri na makubwa hayahitaji papara ila utulivu na uelewa wa hali ya juu katika kile unchodhamiria kufanya. Wazo la FOREX ni zuri sana , nami naliunga mkono.
 
Ndo nasoma kitabu cha currency trading for dummies,napata shida kuelewa hizi regional sessions,naomba msaada hapa,hasa asian/pacific.
 
Mkuu umeelezea maswala ya maana sana na kuchambua vizuri malengo ya training. Watu wanatakiwa wasome vizuri hulicho andika kabla ya kukurupuka.
 
Waambie inahitaji utulivu Na kujifunza kwa juhudi tu!
Ila hapo uliposema wale wa PCB,PCM,HKL hudhani kama wataambulia chochote nafikiri sio sawa coz hata Ontario mwenyewe alisoma science (pcm) ila alitulia akasoma leo yupo hapo!
 
Huu uzi unakimbia kuliko kawaida lakini siachi hata comment ya single line niwashukuru mkuu MVB.jr, Bavaria na ONTARIO
 
Waambie inahitaji utulivu Na kujifunza kwa juhudi tu!
Ila hapo uliposema wale wa PCB,PCM,HKL hudhani kama wataambulia chochote nafikiri sio sawa coz hata Ontario mwenyewe alisoma science (pcm) ila alitulia akasoma leo yupo hapo!
Sawa mkuu , umesomeka.
Ova
...ova
 
Yeah mkuu tutajiunga wengi tu tupige hela
 
Hadi povu linakutoka chali ang duh pole sana
 
Hadi povu linakutoka chali ang duh pole sana
Did you eat stupidity for breakfast?

Hapo nilikupa challenge uwe unasoma na kupitia comments za wachangiaji wengine.

Ipo wapi common sense kuuliza kitu kilichoulizwa na kujibiwa tena na tena?

Hapa JF kuna kauli mbiu "where we dare to talk openly"

Niliyoyaandika kwenye komenti iliyopita ni moja ya ukweli huo

Take a chill pill bredren!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…