Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,415
Huwa situmii laptop Kwenye trading zangu kutokana na kuwa on movement Mara Kwa Mara hivyo nilijizoesha kumaster kufanya analysis kwenye simu yangu bila kutegemea PC hivyo simu yangu inatosha kufanya analysis zote kwenye simu huwa tunatumia stop loss the same as trailing stop Kwa wanaotumia PC.Mkuu kulikoni trailing order haipo kwa watumiaji wa simu/Android? Na je ni kweli kwa watumiaji wa pc trailing order ni lazima data iwe on masaa yote?
Pamoja sana nimeelewa!Huwa situmii laptop Kwenye trading zangu kutokana na kuwa on movement Mara Kwa Mara hivyo nilijizoesha kumaster kufanya analysis kwenye simu yangu bila kutegemea PC hivyo simu yangu inatosha kufanya analysis zote kwenye simu huwa tunatumia stop loss the same as trailing stop Kwa wanaotumia PC.
Hivyo ukiwa na android unaweza kutumia stop loss kuihamisha juu ya profit yako ili graph ikishuka ina hit stop loss then unakuwa out of business with your profit.
Jamaa bado hawajajiunga na tigopesaKwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.
Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.
Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura na namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker.
JISAJILI SASA
Usisite kuomba msaada
TemplerFX | Promo
Huyo jamaa ananichosha anavyojiproud kati mm namjua ni msukule Wa Ontario , muda mwngine anaongea point ila tatizo ni kujiproud na kujifanya yeye kazaliwa na forex .. Humu ndani anataka asikike yeye tuMkuu kama uliijua forex kitambo kabla ya Ontario je tmt ulienda kujifunza au ulienda kuchunguza utapeli wao?
Xm ni bonge LA market maker hata ye mwenyewe anajieleza kwenye profile yakeHuyu XM ni aina gani ya Broker?: Market Maker brokers au ECN brokers.
Kwanza kumpata broker mzur ni changamoto maana wako wengi na wanabadilisha majina yao na nk.
Je waweza tutajia japo mmoja ECN broker?True ecn broker ambaye amekuwa regulated UK kwa mfano au marekani,
Je haiwezekanani kufanya kazi na market maker na ukaweza ku win trades zako?So tunaishia kwa hao pure market makers ambao sehem ingine utaona pips zimeenda hivi lakin yeye atadai anakochukua yeye zinaenda kivingine
Inaonekana changamto kubwa ni kumpata broker sahihi - JE KWA UTAFITI WAKO NI BROKER GANI UNAPENDEKEZA ZAIDI?Hela kwenye biashara ya forex ipo nyingi tu, namini hivyo ila yataka umpate broker mzur na ujue kiundani hii biashara.
Msaada jinsi ya Kufunga soko kwenye software ya metatrade 4Nicheck inbox, kama bado hujafund account yako ya templer
Msaada jinsi ya Kufunga soko kwenye software ya metatrade 4
Je waweza tutajia japo mmoja ECN broker?
Je haiwezekanani kufanya kazi na market maker na ukaweza ku win trades zako?
Inaonekana changamto kubwa ni kumpata broker sahihi - JE KWA UTAFITI WAKO NI BROKER GANI UNAPENDEKEZA ZAIDI?
Kwa uzoefu wangu nimeona changamoto kubwa si kumpata broker sahihi, ila ni kupata analysis sahihi na entry points sahihi. Unaweza ukawa na broker ana spread 0, hana comission ila ukachezea za uso na kuunguza acc. Analysis mwanangu ndo shida ... ingawa ni kweli broker naye anatakiwa asiwe tapeli. Brokers wengi nimegundua wana uwezo wa kunyanyasa watu wenye mitaji midogo ambapo wakiamua kupeleka price upande tofauti kidogo tu, you are in trouble.Je waweza tutajia japo mmoja ECN broker?
Je haiwezekanani kufanya kazi na market maker na ukaweza ku win trades zako?
Inaonekana changamto kubwa ni kumpata broker sahihi - JE KWA UTAFITI WAKO NI BROKER GANI UNAPENDEKEZA ZAIDI?
Umeongea mengi ya msingi, lakn pia umekosea mengi...Hao mabroker wanafanya biashara. Wanataka faida. Hawawezi kubali ile kwao. Watafanya chochote ikiwamo kufreeze system na nk ili upate hasara. Na hata ukipata faida unaweza usiitoe hiyo hela vile vile. Ni full ujambazi kwa wengi wao
Haya maneno niliyaweka humu kitambo na naona wengi wamejionea
Nenda Google au search engine zingine soma sana hao market makers wanavyo liza watu na jinsi wanavyoendesha hii shughuli. Kuna vilio vingi sana na kuna namna na namna jinsi ya kula hela yako
Kwanza kumpata broker mzur ni changamoto maana wako wengi na wanabadilisha majina yao na nk. True ecn broker ambaye amekuwa regulated UK kwa mfano au marekani, angeweza kuwa afadhali lakini unaambiwa ni ghali sana kuendesha hiyo na hivyo inakutaka uwe na minimum deposit kubwa ambayo wengi wetu hatuna. So tunaishia kwa hao pure market makers ambao sehem ingine utaona pips zimeenda hivi lakin yeye atadai anakochukua yeye zinaenda kivingine
Una kuwa na broker amekuwa regulated Belize au Cyprus, Dah. Ukiliwa sijui utaenda kumlilia nani kule
Hela kwenye biashara ya forex ipo nyingi tu, namini hivyo ila yataka umpate broker mzur na ujue kiundani hii biashara. Ujue kiundani biashara inavyoenda kimataifa. Ufuatilie habari kubwa kubwa duniani. Ujue hao brokers wanafanyaje biashara hii - ma market cycle etc. Etc. Kwa weng wetu hii ni changamoto haswaaa na si haba
Unafikir George soros alipigaje hela? Ni kwa kujua hali ya uchumi au biashara ya dunia, ni kwa kujua masoko ya fedha yanavyokwenda. Na nk. Na ni mtu aliye kaa miaka mingi kwenye hili gemu. Hii si kitu ya kulala na kuamka tajiri. Kazi kwako