mimi sio mcheza kamari sir. Na ndio maana hii mnayoita hii kitu mnayofanya ni advanced form of betting. Lakini kama kamari hii inakulipa na kamali kwako ww haina tatizo basi sawa endelea kuchota pesa za fo.rex.Uko sahihi sana... Sasa kama wewe wajua upande papa wanaelekea, na kila cku unaona waonewa... Why don't you swim with the sharks?
Unasubiri movers wafanye yao, and you move with them!!!
Hakuna kitu chochote kile kinachowezwa kufanywa na kila mtu hivyo hivyo kwenye kamali ikiwemo hii "fore.x" sio kila mtu anaweza kucheza kamali kutokana na sababu mbalimbali.Haya ni maneno ya mtu aliyeshindwa alaf unaonekana umeshashindwa tayari, forex is not for everyone
Ninaomba kujua kwanini uite forex kamari... Najua kamari, na sichezi kamari, kama kweli ukifanikiwa kuniconvice kwamba forex ni kamari, haki ntaiachamimi sio mcheza kamari sir. Na ndio maana hii mnayoita hii kitu mnayofanya ni advanced form of betting. Lakini kama kamari hii inakulipa na kamali kwako ww haina tatizo basi sawa endelea kuchota pesa za fo.rex.
Acha kupoteza muda wako na wajinga. Huwa nawashangaa sema nyie trader wenzetu mnaopata muda wa kujibizana ujinga na hawa Empty set...Hivi huwa mnapata muda wa kufanya analysis kweli ?Ninaomba kujua kwanini uite forex kamari... Najua kamari, na sichezi kamari, kama kweli ukifanikiwa kuniconvice kwamba forex ni kamari, haki ntaiacha
Sahz nko nafanya backtest, najiandaa kwa j3Acha kupoteza muda wako na wajinga. Huwa nawashangaa sema nyie trader wenzetu mnaopata muda wa kujibizana ujinga na hawa Empty set...Hivi huwa mnapata muda wa kufanya analysis kweli ?
Safi sana ,achaneni na hao wajinga.Sahz nko nafanya backtest, najiandaa kwa j3
Safi sana ,achaneni na hao wajinga.
Acha waseme hii kitu ni betting kila mtu ana maisha yake. Wameamua kuiita forex ni betting. Tuwaheshimu mawazo yao. Nao pia waheshimu maamuzi yetu ya kuchagua forex Betting...
......End of story.....
Kwanza mkuu sipo kukushawishi uache hio kitu unayofanya, hapa natoa mtazamo wanguNinaomba kujua kwanini uite forex kamari... Najua kamari, na sichezi kamari, kama kweli ukifanikiwa kuniconvice kwamba forex ni kamari, haki ntaiacha
Thanks, tukirudi katika maisha halisi.Kwanza mkuu sipo kukushawishi uache hio kitu unayofanya, hapa natoa mtazamo wangu
kwanza tuangalie maana ya Biashara,
Business is the activity of making one's living or making money by producing or buying and selling goods or services.
REF: Business - Wikipedia
kwa hiyo moja ya sifa ya biashara ni uwepo wa huduma au bidhaa, kwa maana ili mtu atoe pesa basi huyu mtu mwingine anatoa kitu ambacho ni tofauti kama malipo ya kile alicho kitoa.
Nikitoa hela nikalipa jamiiforums kuweka tangazo natarajia malipo yangu yatafanya tangazo lionekane hiyo tayari ni huduma, kumbe tayari ili JF ipate pesa inahitaji kufanya matangazo, kwa hiyo mm hata kama pesa yangu imenitoka tayari nimeshapata huduma ambayo inatolewa.
Tuje kwenye Fore.x trading lengo la kwanza broker kama ni market maker au ni liquidity provider ambapo order zinapitia kwa broker ni kupata faida. hivyo hivyo pia kwa "traders" wakubwa na wadogo.
Ili hapo yoyote apate faida ni lazima mtu mwingine apoteze pesa pasipo kupata kitu chochote in return (hii ni moja ya sifa ya kamali).kwa sababu hakuna bidhaa au huduma yoyote inayouzwa ama inayotolewa isipokuwa uki-place odd SELL ili upate hiyo faida mwingine inabidi aende kinyume akosee odd yake aweke BUY wote wawili mkiwa na lengo la kupata faida this is purely kamali. pesa sio bidhaa wala huduma bali ni kitu kinachotumika kama medium of exchange tu.
Jiulize swali kwa nn marekani (USA) mwaka 2008 iliweka sheria inaitwa FIFO ikiwataka mabenk kutotumia pesa za wateja katika hayo mambo ya trading ni hii ilikuja baadhi ya banks kwenda bankrupt.
Ndio maana kwenye fore.x kuna binary options, spread betting, future contract, spot fore.x n.k yote haya ni kamali tu.
Gambling is the wagering of money or something of value (referred to as "the stakes") on an event with an uncertain outcome with the primary intent of winning money or material goods.
Gambling - Wikipedia
How the forex scandal happened
The primary aim ya bureau de change ni kwa ajili ubadilishaji wa pesa za kigeni ambao pesa huwa ni kwa ajili ya matumizi mengine mfano kufacilitate international trade. ukienda kwa lengo la "speculative" ww tayari umeshajiingiza kwenye kamali.Thanks, tukirudi katika maisha halisi.
Nkienda na dola zangu pale bureau dé change, nkaziuza, nakuwa nimecheza kamari? Kama ndio, kwanini, kama sio, kwanini?
Wengi wanaofilisika wanacheza na GBP/USD hiii inafilisi mara kwa mara....Hii biashara haina tofauti na Gambling aiseeh wengi wataumia kuliko watakaonufaika, the easy money kwenye hii betting ni pesa ya training, kuuza signal,indicators na pesa za commissions kupitia IB links. kwa wale wanaojiita retail traders wengi wao ni maumivu maana wao sio movers wa market.
Hiyo pair sinaga habari nayo kabisa.Wengi wanaofilisika wanacheza na GBP/USD hiii inafilisi mara kwa mara....
Speculation - WikipediaThe primary aim ya bureau de change ni kwa ajili ubadilishaji wa pesa za kigeni ambao pesa huwa ni kwa ajili ya matumizi mengine mfano kufacilitate international trade. ukienda kwa lengo la "speculative" ww tayari umeshajiingiza kwenye kamali.
Kwanza mkuu sipo kukushawishi uache hio kitu unayofanya, hapa natoa mtazamo wangu
kwanza tuangalie maana ya Biashara,
Business is the activity of making one's living or making money by producing or buying and selling goods or services.
REF: Business - Wikipedia
kwa hiyo moja ya sifa ya biashara ni uwepo wa huduma au bidhaa, kwa maana ili mtu atoe pesa basi huyu mtu mwingine anatoa kitu ambacho ni tofauti kama malipo ya kile alicho kitoa.
Nikitoa hela nikalipa jamiiforums kuweka tangazo natarajia malipo yangu yatafanya tangazo lionekane hiyo tayari ni huduma, kumbe tayari ili JF ipate pesa inahitaji kufanya matangazo, kwa hiyo mm hata kama pesa yangu imenitoka tayari nimeshapata huduma ambayo inatolewa.
Tuje kwenye Fore.x trading lengo la kwanza broker kama ni market maker au ni liquidity provider ambapo order zinapitia kwa broker ni kupata faida. hivyo hivyo pia kwa "traders" wakubwa na wadogo.
Ili hapo yoyote apate faida ni lazima mtu mwingine apoteze pesa pasipo kupata kitu chochote in return (hii ni moja ya sifa ya kamali).kwa sababu hakuna bidhaa au huduma yoyote inayouzwa ama inayotolewa isipokuwa uki-place odd SELL ili upate hiyo faida mwingine inabidi aende kinyume akosee odd yake aweke BUY wote wawili mkiwa na lengo la kupata faida this is purely kamali. pesa sio bidhaa wala huduma bali ni kitu kinachotumika kama medium of exchange tu.
Jiulize swali kwa nn marekani (USA) mwaka 2008 iliweka sheria inaitwa FIFO ikiwataka mabenk kutotumia pesa za wateja katika hayo mambo ya trading ni hii ilikuja baadhi ya banks kwenda bankrupt.
Ndio maana kwenye fore.x kuna binary options, spread betting, future contract, spot fore.x n.k yote haya ni kamali tu.
Gambling is the wagering of money or something of value (referred to as "the stakes") on an event with an uncertain outcome with the primary intent of winning money or material goods.
Gambling - Wikipedia
How the forex scandal happened
Nilitaraji utaleta hii tofauti ya speculation na gambling, speculating kwenye currency huku kukiwa hakuna huduma wala bidhaa yoyote ni gambling.
Mbona maelezo yangu nimeeleza mengi tu na nimetolea mpaka sheria iliyopitishwa US ya FIFO, spread betting kwa mfano ipo inasimamiwa FCA ya UK.Brother I have a question..if forex is a form of gambling why is not regulated by Gambling regulating Commisions?..and if it is a gambling...do u want to convince me that ...to retail traders is a Gamble..but to big banks like Barclays it is not???enlighten brother ..am all ears
Unakosea, humu bidhaa ni currency moja, na unainunua kwa currency ya pili katika pair.Nilitaraji utaleta hii tofauti ya speculation na gambling, speculating kwenye currency huku kukiwa hakuna huduma wala bidhaa yoyote ni gambling.
Swali langu lilikuwa...kama forex ni gambling ilibidi isimamiwe na Gambling. Regulating commisions ambazo zipo na zinatambulika kisheria...sasa hiyo FCA inaregulate gambling brokers and instituions au inaregulate financial speculaters and brokers??...pili...nimeulizia kwa upande wa biashara yenyewe..kama ni kamari je ni sahihi kusema Barclays nao wanacheza kamari...maana hawa nao ni one of big players...au ni kamari tu kwa Retail traders wadogo?(kuzuiwa kwa benki kutumiwa hela za wateja kwenye kutrade bado siamini inaifanya hii iwe kamari...kuna matukio mengi sana ambapo benki zilikuwa zinafanya uzembe kwa kuwaamini watu wao wachache ambapo ilipelekea nyingi kula hasara hadi kufilisika..na hapa ndipo serikali zilipoamua kuweka regulations kwenye trading currencies kwa banks)Mbona maelezo yangu nimeeleza mengi tu na nimetolea mpaka sheria iliyopitishwa US ya FIFO, spread betting kwa mfano ipo inasimamiwa FCA ya UK.
Pamoja na hilo fore.x wala haiendani na muktadha mzima wa maana ya biashara kama nilivyoeleza.
Mhhh brother naomba ushahidi zaidi wa kuamini speculation ni gambling...huko huko wikipedia ulikotuletea maanaya gambling..ndo mdau kaleta maana ya speculation...na hawajasema popote kuwa ni gambling...ukiweza kutuaminisha speculation ni gambling basi utakuwa umetufungua macho wengi wetuNilitaraji utaleta hii tofauti ya speculation na gambling, speculating kwenye currency huku kukiwa hakuna huduma wala bidhaa yoyote ni gambling.
Mkuu mimi naona pair zote zinalipa tu na mojawapo ya pairs zinazolipa sana ni hizi zenye GBP/USD, GBP/JPY na hata GBP/CHF. Issue hapa ni kufanya analysis nzuri na kufuatilia news zinzaohusu hizo currency + Entry point yako na money management basi. Unaweza kutrade currency pair yoyote ile kama utazingatia hayo na infact hakuna pair hata moja kwenye forex inyofanya vizuri muda wote! Kila pair kuna kipindi inabehave kiajabu ajabu hii inatokana na sababu mbalimbali za kiuchumi, kisiasa, etc. So usiogope kutrade hizi pair za GBP. Kwangu mimi hizi pairs ni mojawapo ya my favourite pairs zinazonipa profit nzuri tu kama uta enter trade at the right time!Wengi wanaofilisika wanacheza na GBP/USD hiii inafilisi mara kwa mara....