Kwanza mkuu sipo kukushawishi uache hio kitu unayofanya, hapa natoa mtazamo wangu
kwanza tuangalie maana ya Biashara,
Business is the activity of making one's living or making money by producing or buying and selling goods or services.
REF:
Business - Wikipedia
kwa hiyo moja ya sifa ya biashara ni uwepo wa huduma au bidhaa, kwa maana ili mtu atoe pesa basi huyu mtu mwingine anatoa kitu ambacho ni tofauti kama malipo ya kile alicho kitoa.
Nikitoa hela nikalipa jamiiforums kuweka tangazo natarajia malipo yangu yatafanya tangazo lionekane hiyo tayari ni huduma, kumbe tayari ili JF ipate pesa inahitaji kufanya matangazo, kwa hiyo mm hata kama pesa yangu imenitoka tayari nimeshapata huduma ambayo inatolewa.
Tuje kwenye Fore.x trading lengo la kwanza broker kama ni market maker au ni liquidity provider ambapo order zinapitia kwa broker ni kupata faida. hivyo hivyo pia kwa "traders" wakubwa na wadogo.
Ili hapo yoyote apate faida ni lazima mtu mwingine apoteze pesa pasipo kupata kitu chochote in return (hii ni moja ya sifa ya kamali).kwa sababu hakuna bidhaa au huduma yoyote inayouzwa ama inayotolewa isipokuwa uki-place odd SELL ili upate hiyo faida mwingine inabidi aende kinyume akosee odd yake aweke BUY wote wawili mkiwa na lengo la kupata faida this is purely kamali. pesa sio bidhaa wala huduma bali ni kitu kinachotumika kama medium of exchange tu.
Jiulize swali kwa nn marekani (USA) mwaka 2008 iliweka sheria inaitwa FIFO ikiwataka mabenk kutotumia pesa za wateja katika hayo mambo ya trading ni hii ilikuja baadhi ya banks kwenda bankrupt.
Ndio maana kwenye fore.x kuna binary options, spread betting, future contract, spot fore.x n.k yote haya ni kamali tu.
Gambling is the wagering of
money or something of
value (referred to as "the stakes") on an
event with an
uncertain outcome with the primary intent of winning money or material goods.
Gambling - Wikipedia
How the forex scandal happened