Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Nyie nao mnatuboa na link zenu za referral acheni njaa, mtu unaona notification kwenye uzi huu unadhani ni jambo la msingi kumbe ni matangazo yenu ya njaa za referral

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 

Mkuu ukishaona mtu anamquote "Mtume na nabii" achana naye. Kwamba "Mtume na nabii" ana wafuasi milioni 20+ sio hoja kabisa. Nashukuru kwa kuwashtua watu kuhusu utapeli wao. Hawa mitume na manabii bwana wanateka tu hisia na imani za watu na kuwakamua pesa zao. Kwenye dini kuna ujinga mwingi sana unaendelea.
 
Habari wadau wa Forex, broker tajwa hapo juu mnamzungumziaje maana nae anavitu kama templer kwenye swala ya kuweka na kutoa.

Nawasilisha kwenu wadau maoni tafadhali.
 
Umeleta tangazo au unauliza?

Kama unauliza nikushauri tu rudi kasome basics za forex trading
 
Habari wakuu..naomba msaada wa maelezo ya kujitosheleza na ikiwezekana mfano kwa anaejua maneno haya juu ya forex:LOT,LEVERAGE, MARGIN
 
Habari wakuu..naomba msaada wa maelezo ya kujitosheleza na ikiwezekana mfano kwa anaejua maneno haya juu ya forex:LOT,LEVERAGE, MARGIN
Kasome kitabu cha 17 strategies of trading Forex ...... Cha Mario
Au kagoogle website ya babypips.
 
Me nilidhani kuwa huyu Ontario na malaika fulani hiki ametumwa na mungu aje aniondolee tatizo la pesa.
Nikasoma page 1 baada ya nyingine aisee.Kwa kifupi nilikesha nikiwaza kuwa baada ya miezi kadhaa walionidharau wataniheshimu sasa.

Ukifungua threads za FOREX namwona malaika wangu anasisitizo tena ni kwamba kama halazimishi watu kuhudhulia class maana mahela aliyokuwa nayo yanamtosha.

Habari zikaenea kila kona JF ni FOREX.Hata ukifungua jukwaa la mapenzi huko utaona wakina SHUNIE wanachati FOREX.Yaani kwa kifupi niliona bomba la mihela inaellekea kwangu.

Haijakaa sawa namuona mahondaw anatumiwa reply za FOREX na MARIO wake Smart911 kuhusu FOREX hadi ikawa sio siri tena .

Mtaani kwetu Ukonga hadi Bombani namsikia jamaa yangu Stereo ananielezea kuwa tujiunge Forex baada ya kuona mziki haulipi.Yani wa kifupi ilikuwa ni mchakamchaka nguo kuchanika kuelekea safari mpya ya kuitwa boss kupitia TMT.

Dah na hii sehemu ikanifanya niamini hata urais haulipi



Maisha yakaanza kuchange pale tu tulipoanza kutrade "Live ".

Kasha nyingi zikaibuliwa mapema kabisa kama hizi zifuatavyo:

SHAHIDI: Majibu kwa Ontario kuhusu kuitwa tapeli wa Biashara ya Forex kupitia TMT (II)

Majibu kwa Ontario kuhusu kuitwa tapeli wa Biashara ya Forex kupitia TMT




Soma zaidi>>>Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!


 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…