Mberoya
JF-Expert Member
- Mar 5, 2017
- 1,314
- 826
Tokeni hapa na longo longo zenu. Je umetajirika tangu uanze huo ushuzi wako? What is 1000+usd? That's nothing! Subiri uliwe ndiyo utaelewa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tokeni hapa na longo longo zenu. Je umetajirika tangu uanze huo ushuzi wako? What is 1000+usd? That's nothing! Subiri uliwe ndiyo utaelewa!
Sasa yuko kimya haongelei forex tena.Ontario kazivuna za Mazombi wapenda mteremko
mkuu ukiitwa mchawi huwa unagoma sijui kwa nini.Ndio maana niliamua kuwekeza kwenye uchawi
Pole Sana mkuu, FOREX ni biashara ya ukweli Sana, tatizo Ontario aliwaonyesha Dalali tapeli (fake Broker) wapo madalali wazuri mno wa FOREX, Ontario pumbavu sana akashawishi watu wajiunge na JP markets kumbe ana kamisheni kila watu wakiunguziwa akaunt, FOREX ni lazima uijue vizuri kwanza inahitaji ujisomee sana kuijua FOREX na uwe na smart mind, na siyo kukurupuka tu hapo lazima uichukie FOREX, ukiijua vyema, hakuna biashara yenye pesa Duniani kama FOREX, yaani Hakuna.Me nilidhani kuwa huyu Ontario na malaika fulani hiki ametumwa na mungu aje aniondolee tatizo la pesa.
Nikasoma page 1 baada ya nyingine aisee.Kwa kifupi nilikesha nikiwaza kuwa baada ya miezi kadhaa walionidharau wataniheshimu sasa.
Ukifungua threads za FOREX namwona malaika wangu anasisitizo tena ni kwamba kama halazimishi watu kuhudhulia class maana mahela aliyokuwa nayo yanamtosha.
Habari zikaenea kila kona JF ni FOREX.Hata ukifungua jukwaa la mapenzi huko utaona wakina SHUNIE wanachati FOREX.Yaani kwa kifupi niliona bomba la mihela inaellekea kwangu.
Haijakaa sawa namuona mahondaw anatumiwa reply za FOREX na MARIO wake Smart911 kuhusu FOREX hadi ikawa sio siri tena .
Mtaani kwetu Ukonga hadi Bombani namsikia jamaa yangu Stereo ananielezea kuwa tujiunge Forex baada ya kuona mziki haulipi.Yani wa kifupi ilikuwa ni mchakamchaka nguo kuchanika kuelekea safari mpya ya kuitwa boss kupitia TMT.
Dah na hii sehemu ikanifanya niamini hata urais haulipi
View attachment 773863
Maisha yakaanza kuchange pale tu tulipoanza kutrade "Live ".
Kasha nyingi zikaibuliwa mapema kabisa kama hizi zifuatavyo:
SHAHIDI: Majibu kwa Ontario kuhusu kuitwa tapeli wa Biashara ya Forex kupitia TMT (II)
Majibu kwa Ontario kuhusu kuitwa tapeli wa Biashara ya Forex kupitia TMT
Soma zaidi>>>Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!
View attachment 773851
uki gain ume gain Hakuna anaye loose, ni pesa yako imezaa, na Broker naye ana gain 12% ya pesa yako uliyotumia ku trade, mfano $5 per single trade wewe unapata $4 na Broker $1,uki loose Broker anakula yote $5,FOREX tamu Sana hakyanani.Hivi "Double Entry" system ya Forex imekaaje?
Niki-Debit kwangu, wapi kunakua Credited?
Yaani niki-gain, nani ana loose?, na niki-loose nani ana-gain?
Nadhani sasa amekuelewa, Hakuna biashara tamu na yenye pesa Kama FOREX Duniani, mimi kwa mtaji wa $100 tu kila siku nakuja $45 faida sawa na sh 110,000 Kwa siku, niliteseka Sana kujifunza na wakati naanza nilikula loss zaidi ya mara tatu lakini sikukata tamaa, Leo nakula bata tu.Mkuu Deadbody Forex ilikuwepo kabla hata Ontario hajazaliwa, Forex ipo na itaendelea kuwepo. Wenye akili zao zilizotulia wanapiga hela na wataendelea kupiga hela. Niliwahi kuandika humu, na ninaandika tena, Forex trading is not for everyone.
Biashara ya Forex haifanywi na kila mtu, hii biashara inahitaji uelewa mkubwa sana wa mambo ya kiuchumi yanayotokea kila siku kwenye soko la fedha. Ni Watanzania wachache sana wenye akili ya kujua hivyo vitu na kuvifuatilia kwa karibu. Watanzania wengi wanapenda habari za udaku na umbea, habari za biashara za kimataifa hawazijui wala solo la fedha la kimataifa hawalijui achilia mbali misamiati inayotumiwa katika soko hili kwa Watanzania wengi ni giza nene.
Mimi nilijua tu Wabongo wengi wataanguka katika hii biashara sababu wengi kutokana na kutokuelewa mambo wanaiona Forex kama kamari, na ndivyo ilivyo, kama huna uelewa mzuri Forex trading itakuwa kama kamari kwako, lakini kama unaouelewa mzuri, Forex trading ni biashara kama biashara zingine.
Kuna watu wanavuta mkwanja na wametulia kimya kabisa.
We jamaa unanifurahishaga sanaNdio maana niliamua kuwekeza kwenye uchawi
Mkuu, kuishi kote huko Ulaya bado hujajua utamu wa FOREX? Aisee ukiijua hiyo biashara, unaweza kuiona Bongo Kama Denmark na ugumu wote wa Bongo ulivyo.Yani dume zima tena una familia unachukua hela nakumkabidhi mwanamme mwenzako!
Wewe unajitosheleza kwa kila kitu hata dawa ya meno unajitengenezea mwenyewe, hununui?Yani dume zima tena una familia unachukua hela nakumkabidhi mwanamme mwenzako!
Ukiwa na akili kama za jiwe utaichukia mno FOREX, lakini ukiwa na bongo iliyotulia Kama ya Obama au Clinton ,aisee FOREX ni tamu mno, "you should treat FOREX just like any other business that has Profit and Loss".Ukijua hiyo slogan, FOREX inakutajirisha asubuhi tu.Forex iko na faida kama utakubali kufuata taratibu zake.
Ila ukiingia kwa pupa, umeliwa
Mkuu achana nae huyoMkuu, kuishi kote huko Ulaya bado hujajua utamu wa FOREX? Aisee ukiijua hiyo biashara, unaweza kuiona Bongo Kama Denmark na ugumu wote wa Bongo ulivyo.
Kuna mwenzako humu jf anaitwa anaitwa CCNP ENGINEER alikua anasema anapiga sio chini ya ma million kila wiki huko FOREX mara paap kafungua thread anaomba ushauri anataka kukopa mil 5 aache kazi akafanye ujasiriamali,hahahNadhani sasa amekuelewa, Hakuna biashara tamu na yenye pesa Kama FOREX Duniani, mimi kwa mtaji wa $100 tu kila siku nakuja $45 faida sawa na sh 110,000 Kwa siku, niliteseka Sana kujifunza na wakati naanza nilikula loss zaidi ya mara tatu lakini sikukata tamaa, Leo nakula bata tu.
AhahaaaaKuna mwenzako humu jf anaitwa anaitwa CCNP ENGINEER alikua anasema anapiga sio chini ya ma million kila wiki huko FOREX mara paap kafungua thread anaomba ushauri anataka kukopa mil 5 aache kazi akafanye ujasiriamali,hahah
Mkuu, leo umeamua kujidhihirisha hadharani?Ndio maana niliamua kuwekeza kwenye uchawi
Hahah ndo kilichotokea mkuu.Ahahaaaa
Hahahahahaha mkuuuNdio maana niliamua kuwekeza kwenye uchawi