Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Kuna mwenzako humu jf anaitwa anaitwa CCNP ENGINEER alikua anasema anapiga sio chini ya ma million kila wiki huko FOREX mara paap kafungua thread anaomba ushauri anataka kukopa mil 5 aache kazi akafanye ujasiriamali,hahah
Nyoosha kiswahili mamilioni kwa siku? nadhani umeongeza chumvi, halafu huyo alikuwa muongo tu, FOREX is not for everyone hebu soma vizuri ujue kwanza kilichonikuta mimi kabla sijaanza kupata faida.
 
Nyoosha kiswahili mamilioni kwa siku? nadhani umeongeza chumvi, halafu huyo alikuwa muongo tu, FOREX is not for everyone hebu soma vizuri ujue kwanza kilichonikuta mimi kabla sijaanza kupata faida.
We ndo unyooshe kiswahili vizuri.

Kuna sehemu nimeandika mamilioni kwa siku?Au Kiswahili kinakupiga chenga.
 
Nilijua ni utapeli tuu mwanzoni pale alipoanzisha Uzi wa jamaa yupo SA anafanya ishu za forex na kupiga pesa mara Picha ya BMW mara yupo kwenye Mercedes nikajua tuu kuna watu wanaitwa kwa sababu SA maisha yale ni ya kawaida tuu ila ilitimika mbinu ya kuwavutia wawekezaji wapigwe...poleni maana tukiwaeleza sehemu uende mwenyewe ukanunue bidhaa urudi bongo kuuza unaona tabu bora kumkabidhi fungu huyo....mwingine yule aliweka Tangazo la D 3100 Nikon Camera kwa laki 300,000 hiyo bei hata Thailand haipo yeye alisema anaweza kuuza nikajua ni utapeli tuu...
 
Kuna mijitu mingine humu inaijua vizuri forex inavyofanya kazi (faida na hasara zake) sema tu wamejaliwa kukatisha tamaa wenzao. Jamani mbona vitabu na document nyingi sana zipo kwa nini msisome ili mpate ukweli? Tumechoka na hivi vipost sijui vikoment vyenu kuhusu forex. Forex is there and it's real, if you can't afford trading it leave it but don't disappoint others for the sake of your ignorance or selfishness!

TUMECHOKAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA NEGATIVIVITY ZENU KAMA HAMUWEZI KUTRADE FOREX ACHANENI NAYO MKACHOME MKAA NAYO NI BIASHARA!
 
uki gain ume gain Hakuna anaye loose, ni pesa yako imezaa, na Broker naye ana gain 12% ya pesa yako uliyotumia ku trade, mfano $5 per single trade wewe unapata $4 na Broker $1,uki loose Broker anakula yote $5,FOREX tamu Sana hakyanani.
Anhaa,
Nilifikiri kuna mtu alieliwa ndio zikaja kwangu
 
uki gain ume gain Hakuna anaye loose, ni pesa yako imezaa, na Broker naye ana gain 12% ya pesa yako uliyotumia ku trade, mfano $5 per single trade wewe unapata $4 na Broker $1,uki loose Broker anakula yote $5,FOREX tamu Sana hakyanani.
kama ni hivyo ukiloose broker anashangilia kinyama yaan!!!!...
 
Mkuu Deadbody Forex ilikuwepo kabla hata Ontario hajazaliwa, Forex ipo na itaendelea kuwepo. Wenye akili zao zilizotulia wanapiga hela na wataendelea kupiga hela. Niliwahi kuandika humu, na ninaandika tena, Forex trading is not for everyone.

Biashara ya Forex haifanywi na kila mtu, hii biashara inahitaji uelewa mkubwa sana wa mambo ya kiuchumi yanayotokea kila siku kwenye soko la fedha. Ni Watanzania wachache sana wenye akili ya kujua hivyo vitu na kuvifuatilia kwa karibu. Watanzania wengi wanapenda habari za udaku na umbea, habari za biashara za kimataifa hawazijui wala solo la fedha la kimataifa hawalijui achilia mbali misamiati inayotumiwa katika soko hili kwa Watanzania wengi ni giza nene.

Mimi nilijua tu Wabongo wengi wataanguka katika hii biashara sababu wengi kutokana na kutokuelewa mambo wanaiona Forex kama kamari, na ndivyo ilivyo, kama huna uelewa mzuri Forex trading itakuwa kama kamari kwako, lakini kama unaouelewa mzuri, Forex trading ni biashara kama biashara zingine.

Kuna watu wanavuta mkwanja na wametulia kimya kabisa.
Forex hata usome vitabu 100 bado utaloose tu, haina ujanja...movement ya chart ya forex haina uhusiano wowote ule na vitabu wala formula zake dijui fibbonaci, Moving average zote ni fake..nimesoma vitabu,kufanya reseach muda mrefu na kuistudy movement ya chart nimejridhisha forex ni kamari....Full stop forex haina ujanja wowote zaidi ya kubahatisha tu!!!
 
Forex trading is not for everyone...... Unaweza kuwa umesoma vitabu na vipeperushi lakini ulichokisoma umeshindwa kukifanyia kazi husika. Movement ya chart haitoshi kukufanya upate pesa, kuna mengi sana ambayo unatakiwa uyajumuishe pamoja ili uweze kufanikiwa.
 
Forex hata usome vitabu 100 bado utaloose tu, haina ujanja...movement ya chart ya forex haina uhusiano wowote ule na vitabu wala formula zake dijui fibbonaci, Moving average zote ni fake..nimesoma vitabu,kufanya reseach muda mrefu na kuistudy movement ya chart nimejridhisha forex ni kamari....Full stop forex haina ujanja wowote zaidi ya kubahatisha tu!!!
Ndugu Son of Gamba , usipoteze muda kubishana na mtu anayepingana na ukweli wa jambo, maana upeo wake umefika kikomo na hayuko tayari kujifunza kitu kipya.
upload_2018-5-13_8-22-13.png

Ndugu Son of Gamba soon nitatambulisha project yangu hapa JF, ili kuwashika mkono wale ambao bado hawajawa profitable trader.
Pichani ni Pairs ambazo nazitumia kwenye utafiti wangu wa mwisho.
 
Ndugu Son of Gamba , usipoteze muda kubishana na mtu anayepingana ukweli wa jambo, maana upeo wake umefika kikomo na hayuko tayari kujifunza kitu kipya.
View attachment 775805
Ndugu Son of Gamba soon nitatambulisha project yangu hapa JF, ili kuwashika mkono wale ambao bado hawajawa profitable trader.
Pichani ni Pairs ambazo nazitumia kwenye utafiti wangu wa mwisho.
Sawa mkuu
 
KUNA NJIA NYINGI TU SEMA WATU WA VIVU KU SAKA MATERIAL

SELL NA BUY NJE NJE??/
simpl.JPG
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom