Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Nyie nao mnatuboa na link zenu za referral acheni njaa, mtu unaona notification kwenye uzi huu unadhani ni jambo la msingi kumbe ni matangazo yenu ya njaa za referralKwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.
Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.
Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura na namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker.
JISAJILI SASA
Usisite kuomba msaada
TemplerFX | Promo
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app