Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Aisee nilifikiri kila mtu kashajua position yake regarding forex...!
 
Hivi "Double Entry" system ya Forex imekaaje?
Niki-Debit kwangu, wapi kunakua Credited?
Yaani niki-gain, nani ana loose?, na niki-loose nani ana-gain?
 
Ndo mana wengine ni matomaso mwanzo mwisho...hali ilivyo nikachezee jasho langu... Pole /poleni...... Enheee ikawaje
 
hahaha dogo ontario napendekeza apewe ubunge wa upendeleo.
kuwashawishi wabongo wabishi kirahisi vile, anaweza kutumika kisaidia kushawishi mambo mengine ya msingi hapa nchini.

ukweli forex ni kweli lkn inahitaji intellectual investment sio pupa. hata yeye alisema hapo tusimlaumu.
 
Mkuu Deadbody Forex ilikuwepo kabla hata Ontario hajazaliwa, Forex ipo na itaendelea kuwepo. Wenye akili zao zilizotulia wanapiga hela na wataendelea kupiga hela. Niliwahi kuandika humu, na ninaandika tena, Forex trading is not for everyone.

Biashara ya Forex haifanywi na kila mtu, hii biashara inahitaji uelewa mkubwa sana wa mambo ya kiuchumi yanayotokea kila siku kwenye soko la fedha. Ni Watanzania wachache sana wenye akili ya kujua hivyo vitu na kuvifuatilia kwa karibu. Watanzania wengi wanapenda habari za udaku na umbea, habari za biashara za kimataifa hawazijui wala solo la fedha la kimataifa hawalijui achilia mbali misamiati inayotumiwa katika soko hili kwa Watanzania wengi ni giza nene.

Mimi nilijua tu Wabongo wengi wataanguka katika hii biashara sababu wengi kutokana na kutokuelewa mambo wanaiona Forex kama kamari, na ndivyo ilivyo, kama huna uelewa mzuri Forex trading itakuwa kama kamari kwako, lakini kama unaouelewa mzuri, Forex trading ni biashara kama biashara zingine.

Kuna watu wanavuta mkwanja na wametulia kimya kabisa.
 
Not only FOXEX mkuu, si kila fundi viatu atakua kama Bahressa. Tatizo la Tanzania ni Watanzania Wenyewe, tunamihemko sana kwenye Biashara za Mezani bila kufanya analysis.
 
Utajiri ni kweli upo forex mkuu, sema ni sio rahisi kuupata kama alivyokuwa akiaminisha watu, japo pia alitoa tahadhari kubwa pia

Forex ni kweli ina mzunguko mkubwa sana wa fedha wala hajadanganya, ila kwa mtanzania avarage ambaye ameshindwa kufanikiwa sehemu nyingine, sidhani kama ataweza kufanikiwa kwenye forex, maana inahitaji nidhamu kubwa na uvumilivu sana....watanzania wengi hatuna nidhamu na watu walitarajia kuvuna fedha za haraka wakati unaambiwa kabisa ina risk kubwa
 
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura na namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker.

JISAJILI SASA
Usisite kuomba msaada

TemplerFX | Promo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…