sky walker
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 1,160
- 831
hahaaa "" mkuu hivi umesahau kuwa Humu Jf kuna sifa ya watu/mtu"" kuweza kuwa na ids zaidi ya 5 ''' usikute huyo ndio Ontario mwenyew kaamua kiwajaza watu ujinga"" kama aliweza kufanya hivyo tokea mwanzo "" atashindwa vipi kufanya hivi kwa sasa"" maana nasikia soko lake limeyumba kiasi ...wale so called wajinga ndio waliwao "" badhi wameaanza kuwa werevu hawaibiwiNaomba hii post imfikie hearly akiwa anamalizia chukua mkopo wake [emoji23][emoji23]
Forex trading is not for everyone...... Unaweza kuwa umesoma vitabu na vipeperushi lakini ulichokisoma umeshindwa kukifanyia kazi husika. Movement ya chart haitoshi kukufanya upate pesa, kuna mengi sana ambayo unatakiwa uyajumuishe pamoja ili uweze kufanikiwa.
acheni uongo wenu...kungekuwa na njia sahihi kwenye forex hakuna mtu angechoma account....wala brokers wasingekuwepo maana na wwnyewe wangekuwa wanatrade...Forex hata upate faida leo but in the long run your going to be a loser!...Profitable trader ni wa muda tu ni kama vile biko na tatu mzuka nako kuna washindi....Mtabisha lakini Forex ni kamari......leo unawin kesho unaloose wenye bahati wana win nyingi kuliko kuloose na wenye mkosi wana loose zaidi kuliko kugaiNdugu Son of Gamba , usipoteze muda kubishana na mtu anayepingana na ukweli wa jambo, maana upeo wake umefika kikomo na hayuko tayari kujifunza kitu kipya.
View attachment 775805
Ndugu Son of Gamba soon nitatambulisha project yangu hapa JF, ili kuwashika mkono wale ambao bado hawajawa profitable trader.
Pichani ni Pairs ambazo nazitumia kwenye utafiti wangu wa mwisho.
Tuko pamoja mkuu. Project yako ikiwa tayari, uni-tag na mimi.Ndugu Son of Gamba , usipoteze muda kubishana na mtu anayepingana na ukweli wa jambo, maana upeo wake umefika kikomo na hayuko tayari kujifunza kitu kipya.
View attachment 775805
Ndugu Son of Gamba soon nitatambulisha project yangu hapa JF, ili kuwashika mkono wale ambao bado hawajawa profitable trader.
Pichani ni Pairs ambazo nazitumia kwenye utafiti wangu wa mwisho.
Kama wewe unaiona Forex trading kama "kamari" ni sawa tu maana hakuna mtu anayekulazimisha ku-trade, waache wale wenye uwezo wa ku-trade wafanye yao, na wewe nenda kafanye yale unayoweza kufanya.acheni uongo wenu...kungekuwa na njia sahihi kwenye forex hakuna mtu angechoma account....wala brokers wasingekuwepo maana na wwnyewe wangekuwa wanatrade...Forex hata upate faida leo but in the long run your going to be a loser!...Profitable trader ni wa muda tu ni kama vile biko na tatu mzuka nako kuna washindi....Mtabisha lakini Forex ni kamari......leo unawin kesho unaloose wenye bahati wana win nyingi kuliko kuloose na wenye mkosi wana loose zaidi kuliko kugai
Huu muda (na nguvu) unaoupoteza hapa si ungeutumia kutafakari njia zingine za kukuingizia kipato kama ufugaji, kilimo, uvuvi na shughuli zingine.acheni uongo wenu...kungekuwa na njia sahihi kwenye forex hakuna mtu angechoma account....wala brokers wasingekuwepo maana na wwnyewe wangekuwa wanatrade...Forex hata upate faida leo but in the long run your going to be a loser!...Profitable trader ni wa muda tu ni kama vile biko na tatu mzuka nako kuna washindi....Mtabisha lakini Forex ni kamari......leo unawin kesho unaloose wenye bahati wana win nyingi kuliko kuloose na wenye mkosi wana loose zaidi kuliko kugai
Huu ndiyo ukweli wenyewe, you have nailed it bro! Bravo!Angalizo
Forex sio kwa kila mtu
Forex si get rich quick scheme
Forex need skills ,patience and persavarence
Forex is high risk business(without proper skills )
Forex is the real deal( with appropiate skills)
Jamaa aliweka ushihuda anapiga Millioni FX baadae akaja uliza akichukua mkopo itakuaje!?.. Dah!.hahaaa "" mkuu hivi umesahau kuwa Humu Jf kuna sifa ya watu/mtu"" kuweza kuwa na ids zaidi ya 5 ''' usikute huyo ndio Ontario mwenyew kaamua kiwajaza watu ujinga"" kama aliweza kufanya hivyo tokea mwanzo "" atashindwa vipi kufanya hivi kwa sasa"" maana nasikia soko lake limeyumba kiasi ...wale so called wajinga ndio waliwao "" badhi wameaanza kuwa werevu hawaibiwi
Utapinga Forex sio kamari kwa sababu umeshakuwa addicted..addiction ya Forex haina tofauti na addiction ya betting....Hata wale jamaa zangu wa Forever living wako addicted kama wewe huwaambii kitu wakakuelewa wanawaza utajiri tu wa kufikirika...Cmon man. ....iko siku utaelewa tu na kujutia muda na pesa uliyopoteza ..jitambue ndugu umeshakuwa addicted...mi mwenyewe nimedeal sana na hii kitu nimeona napoteza tu muda kuhangaika na kitu kisichoelewekaKama wewe unaiona Forex trading kama "kamari" ni sawa tu maana hakuna mtu anayekulazimisha ku-trade, waache wale wenye uwezo wa ku-trade wafanye yao, na wewe nenda kafanye yale unayoweza kufanya.
Iko hivi; kama hakuna kitu unaelewa kuhusu forex trading, kwako itaonekana kama kamari, lakini kama umekaa darasani ukajifunza kuhusu forex trading na ukaelewa kile ulichojifunza na kufundishwa, forex trading hautaiona kama kamari, bali forex is an art, its a skill you need to master!
Kuna mahali niliwahi kuandika kuwa huwezi ukajifunza Forex kwa wiki mbili na ukawa profitable trader, achilia mbali wiki mbili hata miezi sita ni kidogo sana. Forex trading in mambo mengi sana, unahitaji miaka miwili kujifunza, mwaka mmoja kusoma materials na mwaka mmoja wa kufanya practical kwenye demo account. Asikudanganye mtu, kuna vitu vingi sana vya kujifunza na kufanyia mazoezi. Mkuu laki si pesa. huu ndiyo ukweli wenyewe. Tatizo Watanzania wengi wanapenda vitu vya haraka haraka, kwenye forex hakuna haraka; hakuna short-cut!
haha haha kumbe ...kesha sahau " alicho deliver kwetu awali ""Jamaa aliweka ushihuda anapiga Millioni FX baadae akaja uliza akichukua mkopo itakuaje!?.. Dah!.
Hapa tunaeleweshana mkuu changamoto za Forex....ni kujidanganya kusema Forex ni real business ....hii ni biashara ya matapeli kuibia watu..Huu muda (na nguvu) unaoupoteza hapa si ungeutumia kutafakari njia zingine za kukuingizia kipato kama ufugaji, kilimo, uvuvi na shughuli zingine.
Hoja unayoijenga ni sawa na hizi dhana
Je kwanini usichukue muda wako na kuendelea na maswala yako, Tuache sisi tuliopotea kwenye forex, tuendelee kupotea zaidi katika hii kamari, kama unavyoiita.
- Magari kila kukicha yanapata ajari; Hivyo usinunue gari utapata ajari.
- Ndege huwa zinaanguka na hakuna anayepona; Hivyo tusipande ndege, makampuni yasitengeneze ndege, tuendelee kutumia safari zetu kwa miguu.
Duhh, hahaahhaHapa tunaeleweshana mkuu changamoto za Forex....ni kujidanganya kusema Forex ni real business ....hii ni biashara ya matapeli kuibia watu..
Hahah we jamaa bana kama ambavyo ulikua unamdekia barabara Lowassa kwny uchaguzi 2015 then ukaja ukamgeuka mbaya kabisaa na matusi juu naona umefanya hivyo hivyo na kwny FOREX maana moja kati ya watu waliokua wanatukana wenzao kwamba ni nyumbu na hawajui huko forex mnapiga mamilion ulikua ni wewe humu jf,hahahUtapinga Forex sio kamari kwa sababu umeshakuwa addicted..addiction ya Forex haina tofauti na addiction ya betting....Hata wale jamaa zangu wa Forever living wako addicted kama wewe huwaambii kitu wakakuelewa wanawaza utajiri tu wa kufikirika...Cmon man. ....iko siku utaelewa tu na kujutia muda na pesa uliyopoteza ..jitambue ndugu umeshakuwa addicted...mi mwenyewe nimedeal sana na hii kitu nimeona napoteza tu muda kuhangaika na kitu kisichoeleweka
Kumbe umemkumbuka huyo boya ndie alikuwa anapiga Promo kablaHahah we jamaa bana kama ambavyo ulikua unamdekia barabara Lowassa kwny uchaguzi 2015 then ukaja ukamgeuka mbaya kabisaa na matusi juu naona umefanya hivyo hivyo na kwny FOREX maana moja kati ya watu waliokua wanatukana wenzao kwamba ni nyumbu na hawajui huko forex mnapiga mamilion ulikua ni wewe humu jf,hahah
Nakumbuka sana Mkuu ila eti leo anajifanya naye anageuka kama vile hakua mpiga promo no. 1 humu jfKumbe umemkumbuka huyo boya ndie alikuwa anapiga Promo kabla