Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
mkuu hii iko poa sana sanaaaaaaa nimeitumia sana hiii huwa sio kama indicator nyingine iko safi sana, naomba hiyoo yako maana yangu haina NEWS
NJO NA BANDO LAKO TU UNALO PENDA NIKUPE ZIPED FILE ZOTE 100
 
Lako si pesa nakutumia analysis hapa isipo tiki ijumaa mods wakupige ban
Mwambie achague "pair" anayoitaka
weka ya USD/EURO....nimetumia indicator zote,,,,signals zaidi ya 20 nimeinstall kwenye simu kutoka kwa mentor zaidi ya 10...ninachoambulia ni notification za STOP LOSS! kila baada ya masaa kadhaa...hahaha wekeni hapa tuone msilete janja janja huku mnaumia
 
Forex ya chuo ni tofauti na hii ya kutegemea chart za scammers wa Ulaya
 
Hahaha, ndio maana nikasema we dogo mweupe sana kwa kichwa, hebu andika hiyo Pair Quotation vizuri alafu tuendelee maana katika Forex hamna pair ya namna hiyo, nina wasiwasi sana hata Intro ya Fx hauna kabisa kama umeshindwa hata kuandika pair
 
Hiyo pair ndio nimeiona kwa mara ya kwanza leo
 
Nani alikwambia indicators ni kufanikiwa forex[emoji1]

Yani forex ingekuwa simple hivyo yani ukipata signals una Buy au Sell ndio ingekuwa biashara rahisi duniani. Wewe bado mweupe sana kichwani unahitaji muda zaidi kusoma.

Ungeendelea na Hayo ma signals yako ipo siku ungekuta si account tu ndio imeungua bali pia nyumba yenu nzima
 
Dogo ni haki yake kulia Kama alifikiri Indicator ndio kila kitu
 
Km vile mtu aliyesomea arts umpe swali la advanced physics, atasema anaona madudu tuu hilo somo baya halifai, ila sio kwamba wote wanaona km yeye, so we fanya linalokufaa kwa upeo wako wewe, usijiingize kwenye biashara usiyo na upeo nayo hata siku moja maana unachezea pesa ambayo inatumika kweli, pata elimu sahihi ya kutosha ndo ufanye forex trading, otherwise unajipotosha na kuupotosha umma
 
We jamaa unafuatiliaga indices, stocks, au hata factors zinazoweza kusababisha currency ikaanguka, if you dont have information you dont have the right to utter, ile ni trading on currency, na siku zote inabid uwe na information za kutosha, hamna kazi ya kujibunia tu kila kazi ina "information" hata mkulima hawezi kulima zao la masika kipindi cha ukame akasema kilimo hakilipi, we km unataka forex bas kuwa mfuatiliaji uwe na taarifa za kutosha
 
Hahaha, ndio maana nikasema we dogo mweupe sana kwa kichwa, hebu andika hiyo Pair Quotation vizuri alafu tuendelee maana katika Forex hamna pair ya namna hiyo, nina wasiwasi sana hata Intro ya Fx hauna kabisa kama umeshindwa hata kuandika pair
haha si umeelewa ni EURO/USD watu wa forex tatiz mnajiona smarts sana lakini ukweli unabaki moyoni..tunaugulia maumivu na stress kila siku
 
Hata ufuatilie hizo stock, indices zote duniani ukija kutrade lazima uangukie pua tu,, ,,Forex haina cha shule wala ujuaji...hii ni bahati nasibu tatizo watu wa Forex mnajifanya mna akili mkiambiwa muweke analysis mnaleta bla bla kwa sababu mnajua mtachemsha ..forex haina cha elimu wala ujuaji ni bahati nasibu kama biko
 
haha si umeelewa ni EURO/USD watu wa forex tatiz mnajiona smarts sana lakini ukweli unabaki moyoni..tunaugulia maumivu na stress kila siku
Hamnaa km stress mbona doctor ana stress kuliko ww, huna information na forex huna hiyo urge to learn, huna interest na forex trading so wenzio wanazo interest wanafuatilia taarifa, trading without information ndo inakuletea hapo ulipo
 
Hiyo pair ndio nimeiona kwa mara ya kwanza leo
Wekeñi analysis ya wiki ijayo tuone.....najua hamuwezi mnajua mtaangukia pua....forex haina ujuaji wala cha elimu ni kubahatisha tu ndio maana mnaogopa kuweka analysis mtapata aibu
 
Hamnaa km stress mbona doctor ana stress kuliko ww, huna information na forex huna hiyo urge to learn, huna interest na forex trading so wenzio wanazo interest wanafuatilia taarifa, trading without information ndo inakuletea hapo ulipo
Information gani mkuu....Wale waxungu matapeli wanaochezesha ile charts hawaangaliagi cha information mkuu Forex haina cha information ni kamari
 
Wekeñi analysis ya wiki ijayo tuone.....najua hamuwezi mnajua mtaangukia pua....forex haina ujuaji wala cha elimu ni kubahatisha tu ndio maana mnaogopa kuweka analysis mtapata aibu
Hahahah, dogo nenda kaandae tu sare kesho shule, Forex imekushinda kabisa hata kuandika currency pair umeshindwa
 
Hahaha jamaa amepiga u-turn moja matata sana.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…