Nelson Mwombeki
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 2,933
- 3,397
Hapo umesha summarize makelele yote nayompigia mchizimox hapo juu,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo umesha summarize makelele yote nayompigia mchizimox hapo juu,
Kwa akili yako hii inaonyesha kwamba kila kitu kwako ni kamari hata uhai wako pia ni kamari maana hujui saa wala muda utakaokufa! Hata bisahara nyingine pia ni kamari tu kwako maana kama unafungua duka au ofisi lakini hujui kama kuna mteja atakuja kununua au kupata huduma kwako hiyo pia ni kamari! SO KILA KITU KWAKO NI KAMARI KWA SABABU KWA MTAZAMO WAKO HUWEZI KUPRIDECT FUTURE! I SEE ALIYEKUZAA AMEPATA MTOTO KWELI KWELI!watu wa Forex tunajijua...tunajifanya tuko smart, bright, tuna akili lakini ukweli tunaujua moyoni haha acha kufa na tai shingoni....tunaugulia maumivu moyoni ..nina uhakika kama kweli unafanya Forex hauna uhakika hata Pair moja kesho soko likifunguliwa uelekeo wake ukoje...tunabahatisha tu...hakuna hata trader mmoja anaejua uelekeo wa chart dakika tano zijazo utakuwaje hata ufanye analysis ya namna gani hakuna..tunachofanya ni kubahatisha tu.....Kama huamini nyie mnaojiita magwiji wa Forex mko smart kichwani tufanye analysis ya trade ya wiki moja tu kuanzia kesho jumatatu mpaka ijumaa kama hamjaangukia pua !!!! acheni kutudanganya forex ni bahati nasibu
Sasa kama ni bahati nasibu kwanini umeenda kwenye football betting na kuiacha forex ambayo na yenyewe ni betting pia kwa mujibu wako.Hata ufuatilie hizo stock, indices zote duniani ukija kutrade lazima uangukie pua tu,, ,,Forex haina cha shule wala ujuaji...hii ni bahati nasibu tatizo watu wa Forex mnajifanya mna akili mkiambiwa muweke analysis mnaleta bla bla kwa sababu mnajua mtachemsha ..forex haina cha elimu wala ujuaji ni bahati nasibu kama biko
Anaanzia na dola ngapi?Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.
Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.
Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura, namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker pamoja na E-mail.
Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.
JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.
TemplerFX | Promo
$1 mkuu
itakuwa hauja confirm mobile number yako kwa tmplr mbona nenda ka create ticket ya malalamiko au wafate whatsappTempler ni broker wa hovyo kwenye upande wa customer service, kuweni makini sana. Nimedeposit hela tangu wiki iliyopita kwa kutumia Vodacom il haijasoma.
Kila siku wananizungusha. Wao templer na ipay africa hawajanisaidia chochote na sijapata msaada wowote kutoka templer zaidi ya kupigwa sound tu.
Please kuweni makini na templer hii sio mara ya kwanza kusumbuliwa. Ni broker tunaepaswa kufanya nae kazi kwa jicho la tahadhari kubwa mno.
Mwisho wa siku watanzania tutafute broker makini hawa wakina templer ipo siku tutakuja kusaga meno.
We utakuwa mtu wa kwanza kumlalamikia Templerfx hata wengine watakuja kukushangaa, huenda hukufuata utaratibu rasmi unaotakiwa, binafsi among the best brokers kwa mazingira yetu ya Tanzania basi Templerfx hana mpinzaniTempler ni broker wa hovyo kwenye upande wa customer service, kuweni makini sana. Nimedeposit hela tangu wiki iliyopita kwa kutumia Vodacom il haijasoma.
Kila siku wananizungusha. Wao templer na ipay africa hawajanisaidia chochote na sijapata msaada wowote kutoka templer zaidi ya kupigwa sound tu.
Please kuweni makini na templer hii sio mara ya kwanza kusumbuliwa. Ni broker tunaepaswa kufanya nae kazi kwa jicho la tahadhari kubwa mno.
Mwisho wa siku watanzania tutafute broker makini hawa wakina templer ipo siku tutakuja kusaga meno.
itakuwa hauja confirm mobile number yako kwa tmplr mbona nenda ka create ticket ya malalamiko au wafate whatsapp
Mjinga wewe, ndio maaana nasema you have poor customer service ever. Kutokuwa na record za lawama za wateja wenu ndio kigezo cha mteja kutokupa mtatizo ya huduma zenu???, yani nyie kuwa friendly na mazingira ya Tanzania ndio kigezo nyie kutokuwa wabovu. Hamjielewi.We utakuwa mtu wa kwanza kumlalamikia Templerfx hata wengine watakuja kukushangaa, huenda hukufuata utaratibu rasmi unaotakiwa, binafsi among the best brokers kwa mazingira yetu ya Tanzania basi Templerfx hana mpinzani
We endelea kulalamika huku wenzio wanaendelea kufurahia huduma bora kabisa za Templerfx, have a good day bossMjinga wewe, ndio maaana nasema you have poor customer service ever. Kutokuwa na record za lawama za wateja wenu ndio kigezo cha mteja kutokupa mtatizo ya huduma zenu???, yani nyie kuwa friendly na mazingira ya Tanzania ndio kigezo nyie kutokuwa wabovu. Hamjielewi.
Nawaomba watu mjifunze kutoka kwangu kwa ushuhuda wangu, nasema tena hawa templer si mara ya kwanza kunisumbua na sio kwamba sijui process za kudeposit najua ila linapokuja suala la kusaidiwa pindi unapopata tatizo hawa watu hawafai.
Trade at your own risk guys, kitakachokupata usiseme hukuambiwa. Achaneni na maneno ya hawa wapenda hela za referral links
Kwa majibu yako kwa watu wenye akili timamu wanajua templer ni broker wa namna gani. Tena haya majibu yanatoka kwa mtu wa templer anaenufaika na hela zetu za referral links.We endelea kulalamika huku wenzio wanaendelea kufurahia huduma bora kabisa za Templerfx, have a good day boss
Naona Jp Market kashakupa za uso huko, sasa unataka kumalizia hasira zako kwa Templerfx, nikuambie tu Templerfx watu wanafurahia huduma zake kivitendoKwa majibu yako kwa watu wenye akili timamu wanajua templer ni broker wa namna gani. Tena haya majibu yanatoka kwa mtu wa templer anaenufaika na hela zetu za referral links.
Please Guys Avoid this Broker mtakuja kulia siku moja. Sasa ili ujue mimi akili yangu ni kubwa kukushinda wewe na misukule wenzako hao templer nimeshawawashia moto The Financial Service Authority (FSA) ya Uingereza, sasa wewe msukule kaa tu hapo
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Broker wangu ni Tickmil na Templer tu, huyo Jp Markets hata sijui ni mdudu ganiNaona Jp Market kashakupa za uso huko, sasa unataka kumalizia hasira zako kwa Templerfx, nikuambie tu Templerfx watu wanafurahia huduma zake kivitendo
Hata Tickmill namtumia, ila Templerfx kanifaa zaidi! Kila mtu ana choice yake mkuuBroker wangu ni Tickmil na Templer tu, huyo Jp Markets hata sijui ni mdudu gani
So what?????Hata Tickmill namtumia, ila Templerfx kanifaa zaidi! Kila mtu ana choice yake mkuu
Jiulize mwenyewe povu unalotoa la niniSo what?????
Ni hela yangu lofa wewe lazima nitokwe povu, sio wewe unatawanya miguu kwa vihela uchwara vya referral kama mwanamke kahaba.Jiulize mwenyewe povu unalotoa la nini
Hahahha, wenye pesa hawana muda wa kuja kutukana watu JF , tangu lini ukasolve matatizo yako kwa kuwatukana watu! HopelessNi hela yangu lofa wewe lazima nitokwe povu, sio wewe unatawanya miguu kwa vihela uchwara vya referral kama mwanamke kahaba.
Hela niliyodeposit sidhani kama umewahi kuipata kwenye hizo njaa zako za kutafuta hela za referral.