Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
watu wa Forex tunajijua...tunajifanya tuko smart, bright, tuna akili lakini ukweli tunaujua moyoni haha acha kufa na tai shingoni....tunaugulia maumivu moyoni ..nina uhakika kama kweli unafanya Forex hauna uhakika hata Pair moja kesho soko likifunguliwa uelekeo wake ukoje...tunabahatisha tu...hakuna hata trader mmoja anaejua uelekeo wa chart dakika tano zijazo utakuwaje hata ufanye analysis ya namna gani hakuna..tunachofanya ni kubahatisha tu.....Kama huamini nyie mnaojiita magwiji wa Forex mko smart kichwani tufanye analysis ya trade ya wiki moja tu kuanzia kesho jumatatu mpaka ijumaa kama hamjaangukia pua !!!! acheni kutudanganya forex ni bahati nasibu
Kwa akili yako hii inaonyesha kwamba kila kitu kwako ni kamari hata uhai wako pia ni kamari maana hujui saa wala muda utakaokufa! Hata bisahara nyingine pia ni kamari tu kwako maana kama unafungua duka au ofisi lakini hujui kama kuna mteja atakuja kununua au kupata huduma kwako hiyo pia ni kamari! SO KILA KITU KWAKO NI KAMARI KWA SABABU KWA MTAZAMO WAKO HUWEZI KUPRIDECT FUTURE! I SEE ALIYEKUZAA AMEPATA MTOTO KWELI KWELI!
 
Hata ufuatilie hizo stock, indices zote duniani ukija kutrade lazima uangukie pua tu,, ,,Forex haina cha shule wala ujuaji...hii ni bahati nasibu tatizo watu wa Forex mnajifanya mna akili mkiambiwa muweke analysis mnaleta bla bla kwa sababu mnajua mtachemsha ..forex haina cha elimu wala ujuaji ni bahati nasibu kama biko
Sasa kama ni bahati nasibu kwanini umeenda kwenye football betting na kuiacha forex ambayo na yenyewe ni betting pia kwa mujibu wako.
 
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura, namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker pamoja na E-mail.

Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.

JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.

TemplerFX | Promo
 
Anaanzia na dola ngapi?

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Templer ni broker wa hovyo kwenye upande wa customer service, kuweni makini sana. Nimedeposit hela tangu wiki iliyopita kwa kutumia Vodacom il haijasoma.

Kila siku wananizungusha. Wao templer na ipay africa hawajanisaidia chochote na sijapata msaada wowote kutoka templer zaidi ya kupigwa sound tu.

Please kuweni makini na templer hii sio mara ya kwanza kusumbuliwa. Ni broker tunaepaswa kufanya nae kazi kwa jicho la tahadhari kubwa mno.

Mwisho wa siku watanzania tutafute broker makini hawa wakina templer ipo siku tutakuja kusaga meno.
 
itakuwa hauja confirm mobile number yako kwa tmplr mbona nenda ka create ticket ya malalamiko au wafate whatsapp
 
We utakuwa mtu wa kwanza kumlalamikia Templerfx hata wengine watakuja kukushangaa, huenda hukufuata utaratibu rasmi unaotakiwa, binafsi among the best brokers kwa mazingira yetu ya Tanzania basi Templerfx hana mpinzani
 
Templerfx ndio anaongoza kwa customer care nzuri, anatoa msaada mpaka kupitia WhatsApp kwa haraka zaidi
itakuwa hauja confirm mobile number yako kwa tmplr mbona nenda ka create ticket ya malalamiko au wafate whatsapp
 
We utakuwa mtu wa kwanza kumlalamikia Templerfx hata wengine watakuja kukushangaa, huenda hukufuata utaratibu rasmi unaotakiwa, binafsi among the best brokers kwa mazingira yetu ya Tanzania basi Templerfx hana mpinzani
Mjinga wewe, ndio maaana nasema you have poor customer service ever. Kutokuwa na record za lawama za wateja wenu ndio kigezo cha mteja kutokupa mtatizo ya huduma zenu???, yani nyie kuwa friendly na mazingira ya Tanzania ndio kigezo nyie kutokuwa wabovu. Hamjielewi.

Nawaomba watu mjifunze kutoka kwangu kwa ushuhuda wangu, nasema tena hawa templer si mara ya kwanza kunisumbua na sio kwamba sijui process za kudeposit najua ila linapokuja suala la kusaidiwa pindi unapopata tatizo hawa watu hawafai.

Trade at your own risk guys, kitakachokupata usiseme hukuambiwa. Achaneni na maneno ya hawa wapenda hela za referral links
 
We endelea kulalamika huku wenzio wanaendelea kufurahia huduma bora kabisa za Templerfx, have a good day boss
 
Kwa majibu yako kwa watu wenye akili timamu wanajua templer ni broker wa namna gani. Tena haya majibu yanatoka kwa mtu wa templer anaenufaika na hela zetu za referral links.

Please Guys Avoid this Broker mtakuja kulia siku moja. Sasa ili ujue mimi akili yangu ni kubwa kukushinda wewe na misukule wenzako hao templer nimeshawawashia moto The Financial Service Authority (FSA) ya Uingereza, sasa wewe msukule kaa tu hapo

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Kwa majibu yako kwa watu wenye akili timamu wanajua templer ni broker wa namna gani. Tena haya majibu yanatoka kwa mtu wa templer anaenufaika na hela zetu za referral links.

Please Guys Avoid this Broker mtakuja kulia siku moja. Sasa ili ujue mimi akili yangu ni kubwa kukushinda wewe na misukule wenzako hao templer nimeshawawashia moto The Financial Service Authority (FSA) ya Uingereza, sasa wewe msukule kaa tu hapo

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Naona Jp Market kashakupa za uso huko, sasa unataka kumalizia hasira zako kwa Templerfx, nikuambie tu Templerfx watu wanafurahia huduma zake kivitendo
 
Broker wangu ni Tickmil na Templer tu, huyo Jp Markets hata sijui ni mdudu gani
 
Jiulize mwenyewe povu unalotoa la nini
Ni hela yangu lofa wewe lazima nitokwe povu, sio wewe unatawanya miguu kwa vihela uchwara vya referral kama mwanamke kahaba.

Hela niliyodeposit sidhani kama umewahi kuipata kwenye hizo njaa zako za kutafuta hela za referral.
 
Hahahha, wenye pesa hawana muda wa kuja kutukana watu JF , tangu lini ukasolve matatizo yako kwa kuwatukana watu! Hopeless
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom