Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Nipe namba yako nikutumie screen snap ya picha niliyotuma hiyo hela ya mboga halafu ujilinganishe. Njaa tu zinakusumbua. Kama kweli unahela kuwa bize na Market na sio kushinda Jf kusambaza referral links , njaa itakuua jinga wewe[emoji1]Hahahha, wenye pesa hawana muda wa kuja kutukana watu JF , tangu lini ukasolve matatizo yako kwa kuwatukana watu! Hopeless
Unataka namba yangu itakusaidia nini mtu kama wewe, endelea kubaki na Ujinga wakoNipe namba yako nikutumie screen snap ya picha niliyotuma hiyo hela ya mboga halafu ujilinganishe. Njaa tu zinakusumbua. Kama kweli unahela kuwa bize na Market na sio kushinda Jf kusambaza referral links , njaa itakuua jinga wewe[emoji1]
Nitakutafuta now niko nje ya bongo$1 mkuu
Huyo Nrangoo achana naye mpuuzi tu. Ana njaa mpaka matakoni. Sasa kazi anayofanya ni yakujipatia viji commission kurepresent hao templer. Bwege tu huyo!Nipe namba yako nikutumie screen snap ya picha niliyotuma hiyo hela ya mboga halafu ujilinganishe. Njaa tu zinakusumbua. Kama kweli unahela kuwa bize na Market na sio kushinda Jf kusambaza referral links , njaa itakuua jinga wewe[emoji1]
hahahhah ,sasa matusi ya nini Mkuu? Kuna aliyekutuma pesa zako ukawape wajanja wa Jp Market?Huyo Nrangoo achana naye mpuuzi tu. Ana njaa mpaka matakoni. Sasa kazi anayofanya ni yakujipatia viji commission kurepresent hao templer. Bwege tu huyo!
Wacha tu washikishwe adabu. Tuliwapa tahadhari sana lakini wakawa wana tutukana! Sasa watakula jeuri yao.Ontario kasepa na mamilioni ya wana forex Ontario kasepa na mamilioni ya wana forex via JamiiForums
Na walitutukana kishenzi, matusi ya nguoni, ya wazazi na kebehi za ajabu..Wacha tu washikishwe adabu. Tuliwapa tahadhari sana lakini wakawa wana tutukana! Sasa watakula jeuri yao.
Sana mkuu. Sasa leo humu huyo jamaa yao haonekani humu. Sijui kaishia wapi? Aliwahi kunijia inbox kunichimbia mkwara namzibia ulaji. Nikamuomba samahani ya kumzibia ulaji wa wajinga waliwao.[emoji23] [emoji23]Na walitutukana kishenzi, matusi ya nguoni, ya wazazi na kebehi za ajabu..
HahahahaahSana mkuu. Sasa leo humu huyo jamaa yao haonekani humu. Sijui kaishia wapi? Aliwahi kunijia inbox kunichimbia mkwara namzibia ulaji. Nikamuomba samahani ya kumzibia ulaji wa wajinga waliwao.[emoji23] [emoji23]
Unajuwa mkuu humu kunakuwa kuna thread za kuwafundisha, elimisha watu, wengine wanaona upuuzi tu, kuna thread za ujenzi, usitapeliwe,maisha, ndoa, mapenzi, hata michezo, tatizo watu wabishi kama mshipa...Sana mkuu. Sasa leo humu huyo jamaa yao haonekani humu. Sijui kaishia wapi? Aliwahi kunijia inbox kunichimbia mkwara namzibia ulaji. Nikamuomba samahani ya kumzibia ulaji wa wajinga waliwao.[emoji23] [emoji23]
[emoji115] Hapo una support forexsihitaji kujifunza chochote mradi natengeneza pesa inatosha forex iwe betting iwe gambling iwe bibi yako sawa tu nguruwe wahed wewe
[emoji115] Hapo unapinga forexHata ufuatilie hizo stock, indices zote duniani ukija kutrade lazima uangukie pua tu,, ,,Forex haina cha shule wala ujuaji...hii ni bahati nasibu tatizo watu wa Forex mnajifanya mna akili mkiambiwa muweke analysis mnaleta bla bla kwa sababu mnajua mtachemsha ..forex haina cha elimu wala ujuaji ni bahati nasibu kama biko
Ila si amekiri kuwa forex ni kamali?[emoji115] Hapo unapinga forex
Wewe ndumi la kuwili! Mara una support forex mara unapinga. Unamsimamo gani?
mkuu naona umeamua liwalo na liwe, umechoka kubembeleza[emoji23][emoji23][emoji23]Unataka namba yangu itakusaidia nini mtu kama wewe, endelea kubaki na Ujinga wako
Ha ha ha wewe utakua haujui kinachoendelea kwenye you TMT na huyu aliyekutoa tongotongoMkuu kwanza Mungu akubariki sana kwa elimu hii.
Mimi binafsi nimehasika vya kutosha..hakika ninataka kujifunza hii biashara...Nipo Arusha
Amekiri lakini too late! Kabla alikuwa anashabikia kwamba anatengeneza mapesa wakati wazee tunamwambia hiyo ni utapeli na kamali in disguise anatukana. Nenda nyuma kwenye nyuzi ndiyo utaelewa ni mtu wa namna gani! Neno moja la kiingereza ambalo linamfaa ni "HYPOCRITE"Ila si amekiri kuwa forex ni kamali?