Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Hahahha, wenye pesa hawana muda wa kuja kutukana watu JF , tangu lini ukasolve matatizo yako kwa kuwatukana watu! Hopeless
Nipe namba yako nikutumie screen snap ya picha niliyotuma hiyo hela ya mboga halafu ujilinganishe. Njaa tu zinakusumbua. Kama kweli unahela kuwa bize na Market na sio kushinda Jf kusambaza referral links , njaa itakuua jinga wewe[emoji1]
 
Unataka namba yangu itakusaidia nini mtu kama wewe, endelea kubaki na Ujinga wako
 
Nipe namba yako nikutumie screen snap ya picha niliyotuma hiyo hela ya mboga halafu ujilinganishe. Njaa tu zinakusumbua. Kama kweli unahela kuwa bize na Market na sio kushinda Jf kusambaza referral links , njaa itakuua jinga wewe[emoji1]
Huyo Nrangoo achana naye mpuuzi tu. Ana njaa mpaka matakoni. Sasa kazi anayofanya ni yakujipatia viji commission kurepresent hao templer. Bwege tu huyo!
 
Huyo Nrangoo achana naye mpuuzi tu. Ana njaa mpaka matakoni. Sasa kazi anayofanya ni yakujipatia viji commission kurepresent hao templer. Bwege tu huyo!
hahahhah ,sasa matusi ya nini Mkuu? Kuna aliyekutuma pesa zako ukawape wajanja wa Jp Market?
 
Na walitutukana kishenzi, matusi ya nguoni, ya wazazi na kebehi za ajabu..
Sana mkuu. Sasa leo humu huyo jamaa yao haonekani humu. Sijui kaishia wapi? Aliwahi kunijia inbox kunichimbia mkwara namzibia ulaji. Nikamuomba samahani ya kumzibia ulaji wa wajinga waliwao.[emoji23] [emoji23]
 
Kuna mdau mmoja aliwahi nijia na maneno tam za kunishawishi nijiunge na Forex, lakini bahati yake ilikua mbaya kwamba mimi sio muumini wa mafanikio ya bahati, zaidi ya hardworking kwa kila eneo......
Mwisho nilimwambia hivi... Ili nijiunge na huo ujinga, basi aniunganishe na ONTARIO ili nimpe kiasi cha pesa, alafu ONTARIO mwenyewe azungushe hiyo pesa huko Forex, na kisha tutagawana faida nusu kwa nusu....... tehteehhh baada ya kumwambia hivyo, kilicho fuata ni sikumuona tena
 
Sana mkuu. Sasa leo humu huyo jamaa yao haonekani humu. Sijui kaishia wapi? Aliwahi kunijia inbox kunichimbia mkwara namzibia ulaji. Nikamuomba samahani ya kumzibia ulaji wa wajinga waliwao.[emoji23] [emoji23]
Unajuwa mkuu humu kunakuwa kuna thread za kuwafundisha, elimisha watu, wengine wanaona upuuzi tu, kuna thread za ujenzi, usitapeliwe,maisha, ndoa, mapenzi, hata michezo, tatizo watu wabishi kama mshipa...
Kwa sasa kuna hii thread ya waganga wa kienyeji wanaotuma sms au matapeli tu wa kutaka pesa zako, ila utashangaa watu wanazi shit, kesho wanalalamika wameingizwa mjini...
Kama hii..
Weka hapa namba za waganga wa kienyeji matapeli wanaokutumia SMS via JamiiForums
 
sihitaji kujifunza chochote mradi natengeneza pesa inatosha forex iwe betting iwe gambling iwe bibi yako sawa tu nguruwe wahed wewe
[emoji115] Hapo una support forex

Wewe ndumi la kuwili! Mara una support forex mara unapinga. Unamsimamo gani?
 
Hata ufuatilie hizo stock, indices zote duniani ukija kutrade lazima uangukie pua tu,, ,,Forex haina cha shule wala ujuaji...hii ni bahati nasibu tatizo watu wa Forex mnajifanya mna akili mkiambiwa muweke analysis mnaleta bla bla kwa sababu mnajua mtachemsha ..forex haina cha elimu wala ujuaji ni bahati nasibu kama biko
[emoji115] Hapo unapinga forex

Wewe ndumi la kuwili! Mara una support forex mara unapinga. Unamsimamo gani?
 
Mkuu kwanza Mungu akubariki sana kwa elimu hii.
Mimi binafsi nimehasika vya kutosha..hakika ninataka kujifunza hii biashara...Nipo Arusha
Ha ha ha wewe utakua haujui kinachoendelea kwenye you TMT na huyu aliyekutoa tongotongo
 
Ila si amekiri kuwa forex ni kamali?
Amekiri lakini too late! Kabla alikuwa anashabikia kwamba anatengeneza mapesa wakati wazee tunamwambia hiyo ni utapeli na kamali in disguise anatukana. Nenda nyuma kwenye nyuzi ndiyo utaelewa ni mtu wa namna gani! Neno moja la kiingereza ambalo linamfaa ni "HYPOCRITE"
 
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura, namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker pamoja na E-mail.

Ni broker pekee ambae anayekuwezesha kuweka kiasi kidogo kuanzia dollar ($) 1 kwenye akaunti yako ,pia vilevile ana huduma ya haraka sana wakati wa kutoa pesa yako, dakika 15-30 tiyari pesa inakuwa imeshatumwa kwenye account yako.

BAADA YA KUJISAJILI

Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.

JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.

TemplerFX | Promo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom