Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Mimi mbona nikisahau mpaka password lakini kutumia Whatsapp chat nikawaambia na wakanipa pword mpya
 
Wewe kama nani
 
Huyo Nrangoo achana naye mpuuzi tu. Ana njaa mpaka matakoni. Sasa kazi anayofanya ni yakujipatia viji commission kurepresent hao templer. Bwege tu huyo!
Uyu jinga bado yupo tu
 
Sasa kwa nini huyu bwana Ontario kapotea kabisa toka zile tuhuma zimetokea? Ajitokeze ajibu ili wale ambao waliogopa wajitokeze maana hata humu nadhani msg yake ya mwisho ni ya february
Mkuu nijitokeze nijibu nini
 
Sikia wewe pimbi. You gambled and you lost. We learn fx and earn in fx. That's our f* difference.

Unafikiri mlipoambiwa msome au vile vitabu vilikua vinapostiwa humu kama mapambo?
 
Sikia wewe pimbi. You gambled and you lost. We learn fx and earn in fx. That's our f* difference.

Unafikiri mlipoambiwa msome au vile vitabu vilikua vinapostiwa humu kama mapambo?
kwa nini watu mnaofanya forex mkiambiwa kuwa hii ni gambling huwa mnakuja juu lakini mnashindwa kufafanua utofauti wa forex na kamali mnaishia kutukana tu?
 
Ga
kwa nini watu mnaofanya forex mkiambiwa kuwa hii ni gambling huwa mnakuja juu lakini mnashindwa kufafanua utofauti wa forex na kamali mnaishia kutukana tu?[/QUOTE
Gambling ni kubahatisha zaidi ,forex ni science and predictions
 
Mimi mbona nikisahau mpaka password lakini kutumia Whatsapp chat nikawaambia na wakanipa pword mpya
yea hat mim nawasiliana nao whatsaap hawana shida kuna siku deposit ili delay kumbe tatizo lilikua kwa i pay ila wakanisaidia kuwasiliana nao
 
kwa nini watu mnaofanya forex mkiambiwa kuwa hii ni gambling huwa mnakuja juu lakini mnashindwa kufafanua utofauti wa forex na kamali mnaishia kutukana tu?
kwa nini watu mnaofanya forex mkiambiwa kuwa hii ni gambling huwa mnakuja juu lakini mnashindwa kufafanua utofauti wa forex na kamali mnaishia kutukana tu?
gambl ni kuotea win los or draw forex haina haja ya kuotea unanunua pale bull wapo in control na unasell pale bear wapo in control basii inshort unatembea na mtu alieshinda sa kwenye kamali unaweza subir madrid ashinde ndo umbetie?
 
Forex inaweza kuipukika na kuwa kamali endapo nitafanya(assume) pesa kuwa bidhaa kama bidhaa zingine, hii difinisheni yako na kulinganisha na sports betting bado sijaiona kuwa forex sio kamali. Uingereza kuna aina nyingine ya forex trading inaitwa spread betting hii ni purely gambling na analysis unazofanya ww ndio hizo hizo zinatumika kwenye spread betting na FSA haiwakati kodi sababu wanaieka kwenye kundi la gambling, kwa hiyo hata kama trader atafanya uchaguzi sahihi kuchagua bulls side au bears side bado haitoi spread betting kuwa kamali kwa sababu ina features zote za kuitwa kamali na hivyo hivyo kwenye hii spot forex mnayofanya .
All in All swala la forex kuwa kamali ama la linabaki kuwa mtazamo wa mtu na jinsi ambavyo ana-define kamali kwa mtazamo gani. kwangu mimi Forex(aina zote binary options, spot forex,spread betting) ni ultimate form of gambling.
Nadhani upo unafanya analysis, happy trading ifikapo jumatatu saa sita usiku na mm niutafute utajiri kwa njia nyingine.
 
gambl ni kuotea win los or draw forex haina haja ya kuotea unanunua pale bull wapo in control na unasell pale bear wapo in control basii inshort unatembea na mtu alieshinda sa kwenye kamali unaweza subir madrid ashinde ndo umbetie?
Kamali ziko za aina nyingi sana nenda casino ukajifunze ndio utajua kwa nini Forex ni gambling maana yake kuna kupata na kukosa
 
Kamali ziko za aina nyingi sana nenda casino ukajifunze ndio utajua kwa nini Forex ni gambling maana yake kuna kupata na kukosa
Ok umeshinda, ushindi ni wako Boss, acha tu make chapaa na gambling yetu ya FOREX
 
Wakuu, habari!!

Naomba niende direct kwenye mada. Nipo kwenye kujifunza hii biashara ya Forex. Nimekuwa nikitumia demo acount kwa brocker templerfx. Now nahitaji nifungue cent account. Hapo ndipo ninapochemka. Mbona nikienda kwenye kujisajili inakuja option nichague Demo cent account au Demo account . Nimejisajili kwa Demo cent account. Nilipokwenda kuingia kwenye MT4 naona account inaonyesha kwamba ni DEMO. Nimerudi kwenye site ya templer nimetafuta mno mahala pa kufungulia account ya halisi ya cent account hadi nimechoka sijapaona. Msaada jamani, hii cent account ya templer ambayo ni real unafungua vipi.
 
Sikia wewe pimbi. You gambled and you lost. We learn fx and earn in fx. That's our f* difference.

Unafikiri mlipoambiwa msome au vile vitabu vilikua vinapostiwa humu kama mapambo?
Kwa hiyo ukisoma vitabu hupati hasara,huchomi account?
 
kwa nini watu mnaofanya forex mkiambiwa kuwa hii ni gambling huwa mnakuja juu lakini mnashindwa kufafanua utofauti wa forex na kamali mnaishia kutukana tu?
Wanataka kuwaaminisha watu wanapata faida,...wakati kiuhalisia wanabahatisha tu na hasara zipo za kutosha
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…