heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
ni mater of 30min bro inalipa pia inalipua vile vileTrade ya muda gani- masaa, siku au wiki? Biashara inalipa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni mater of 30min bro inalipa pia inalipua vile vileTrade ya muda gani- masaa, siku au wiki? Biashara inalipa?
Mimi mbona nikisahau mpaka password lakini kutumia Whatsapp chat nikawaambia na wakanipa pword mpyaMjinga wewe, ndio maaana nasema you have poor customer service ever. Kutokuwa na record za lawama za wateja wenu ndio kigezo cha mteja kutokupa mtatizo ya huduma zenu???, yani nyie kuwa friendly na mazingira ya Tanzania ndio kigezo nyie kutokuwa wabovu. Hamjielewi.
Nawaomba watu mjifunze kutoka kwangu kwa ushuhuda wangu, nasema tena hawa templer si mara ya kwanza kunisumbua na sio kwamba sijui process za kudeposit najua ila linapokuja suala la kusaidiwa pindi unapopata tatizo hawa watu hawafai.
Trade at your own risk guys, kitakachokupata usiseme hukuambiwa. Achaneni na maneno ya hawa wapenda hela za referral links
Wewe kama naniKwa majibu yako kwa watu wenye akili timamu wanajua templer ni broker wa namna gani. Tena haya majibu yanatoka kwa mtu wa templer anaenufaika na hela zetu za referral links.
Please Guys Avoid this Broker mtakuja kulia siku moja. Sasa ili ujue mimi akili yangu ni kubwa kukushinda wewe na misukule wenzako hao templer nimeshawawashia moto The Financial Service Authority (FSA) ya Uingereza, sasa wewe msukule kaa tu hapo
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Uyu jinga bado yupo tuHuyo Nrangoo achana naye mpuuzi tu. Ana njaa mpaka matakoni. Sasa kazi anayofanya ni yakujipatia viji commission kurepresent hao templer. Bwege tu huyo!
KwendraaaaWacha tu washikishwe adabu. Tuliwapa tahadhari sana lakini wakawa wana tutukana! Sasa watakula jeuri yao.
Tumia chrome au tumia browser ya pchey i' m having a trouble in logging into my account since yesterday.,every time i try it keeps saying that "templer can not contact reCaptcha" i'm totally confused
Mkuu nijitokeze nijibu niniSasa kwa nini huyu bwana Ontario kapotea kabisa toka zile tuhuma zimetokea? Ajitokeze ajibu ili wale ambao waliogopa wajitokeze maana hata humu nadhani msg yake ya mwisho ni ya february
Sikia wewe pimbi. You gambled and you lost. We learn fx and earn in fx. That's our f* difference.Ameshatupiga, wakati anatubembeleza tujiunge kila siku alikuwa humu kila siku sasa hivi hataki hata kuja kutupa pole tuliopoteza na ukimuulizia watu wanakuwa wakali sijui wanakula nae.
Kiukweli kama MTU hajajiunga lazima tuwaambie ukweli Forex ni gambling au kwa kiswahili ni kamali.
Lazima watu wajue wenye imani zao zinazokataza waelewe vizuri
kwa nini watu mnaofanya forex mkiambiwa kuwa hii ni gambling huwa mnakuja juu lakini mnashindwa kufafanua utofauti wa forex na kamali mnaishia kutukana tu?Sikia wewe pimbi. You gambled and you lost. We learn fx and earn in fx. That's our f* difference.
Unafikiri mlipoambiwa msome au vile vitabu vilikua vinapostiwa humu kama mapambo?
kwa nini watu mnaofanya forex mkiambiwa kuwa hii ni gambling huwa mnakuja juu lakini mnashindwa kufafanua utofauti wa forex na kamali mnaishia kutukana tu?[/QUOTE
Gambling ni kubahatisha zaidi ,forex ni science and predictions
yea hat mim nawasiliana nao whatsaap hawana shida kuna siku deposit ili delay kumbe tatizo lilikua kwa i pay ila wakanisaidia kuwasiliana naoMimi mbona nikisahau mpaka password lakini kutumia Whatsapp chat nikawaambia na wakanipa pword mpya
kwa nini watu mnaofanya forex mkiambiwa kuwa hii ni gambling huwa mnakuja juu lakini mnashindwa kufafanua utofauti wa forex na kamali mnaishia kutukana tu?
gambl ni kuotea win los or draw forex haina haja ya kuotea unanunua pale bull wapo in control na unasell pale bear wapo in control basii inshort unatembea na mtu alieshinda sa kwenye kamali unaweza subir madrid ashinde ndo umbetie?kwa nini watu mnaofanya forex mkiambiwa kuwa hii ni gambling huwa mnakuja juu lakini mnashindwa kufafanua utofauti wa forex na kamali mnaishia kutukana tu?
LEO hili bandiko limetimiza mwaka mmoja.
Forex inaweza kuipukika na kuwa kamali endapo nitafanya(assume) pesa kuwa bidhaa kama bidhaa zingine, hii difinisheni yako na kulinganisha na sports betting bado sijaiona kuwa forex sio kamali. Uingereza kuna aina nyingine ya forex trading inaitwa spread betting hii ni purely gambling na analysis unazofanya ww ndio hizo hizo zinatumika kwenye spread betting na FSA haiwakati kodi sababu wanaieka kwenye kundi la gambling, kwa hiyo hata kama trader atafanya uchaguzi sahihi kuchagua bulls side au bears side bado haitoi spread betting kuwa kamali kwa sababu ina features zote za kuitwa kamali na hivyo hivyo kwenye hii spot forex mnayofanya .gambl ni kuotea win los or draw forex haina haja ya kuotea unanunua pale bull wapo in control na unasell pale bear wapo in control basii inshort unatembea na mtu alieshinda sa kwenye kamali unaweza subir madrid ashinde ndo umbetie?
Kamali ziko za aina nyingi sana nenda casino ukajifunze ndio utajua kwa nini Forex ni gambling maana yake kuna kupata na kukosagambl ni kuotea win los or draw forex haina haja ya kuotea unanunua pale bull wapo in control na unasell pale bear wapo in control basii inshort unatembea na mtu alieshinda sa kwenye kamali unaweza subir madrid ashinde ndo umbetie?
Ok umeshinda, ushindi ni wako Boss, acha tu make chapaa na gambling yetu ya FOREXKamali ziko za aina nyingi sana nenda casino ukajifunze ndio utajua kwa nini Forex ni gambling maana yake kuna kupata na kukosa
Kwa hiyo ukisoma vitabu hupati hasara,huchomi account?Sikia wewe pimbi. You gambled and you lost. We learn fx and earn in fx. That's our f* difference.
Unafikiri mlipoambiwa msome au vile vitabu vilikua vinapostiwa humu kama mapambo?
Wanataka kuwaaminisha watu wanapata faida,...wakati kiuhalisia wanabahatisha tu na hasara zipo za kutoshakwa nini watu mnaofanya forex mkiambiwa kuwa hii ni gambling huwa mnakuja juu lakini mnashindwa kufafanua utofauti wa forex na kamali mnaishia kutukana tu?
Mitaji si yetu mkuu? Wacha tule hasaraWanataka kuwaaminisha watu wanapata faida,...wakati kiuhalisia wanabahatisha tu na hasara zipo za kutosha