Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Mjinga wewe, ndio maaana nasema you have poor customer service ever. Kutokuwa na record za lawama za wateja wenu ndio kigezo cha mteja kutokupa mtatizo ya huduma zenu???, yani nyie kuwa friendly na mazingira ya Tanzania ndio kigezo nyie kutokuwa wabovu. Hamjielewi.

Nawaomba watu mjifunze kutoka kwangu kwa ushuhuda wangu, nasema tena hawa templer si mara ya kwanza kunisumbua na sio kwamba sijui process za kudeposit najua ila linapokuja suala la kusaidiwa pindi unapopata tatizo hawa watu hawafai.

Trade at your own risk guys, kitakachokupata usiseme hukuambiwa. Achaneni na maneno ya hawa wapenda hela za referral links
Mimi mbona nikisahau mpaka password lakini kutumia Whatsapp chat nikawaambia na wakanipa pword mpya
 
Kwa majibu yako kwa watu wenye akili timamu wanajua templer ni broker wa namna gani. Tena haya majibu yanatoka kwa mtu wa templer anaenufaika na hela zetu za referral links.

Please Guys Avoid this Broker mtakuja kulia siku moja. Sasa ili ujue mimi akili yangu ni kubwa kukushinda wewe na misukule wenzako hao templer nimeshawawashia moto The Financial Service Authority (FSA) ya Uingereza, sasa wewe msukule kaa tu hapo

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Wewe kama nani
 
Sasa kwa nini huyu bwana Ontario kapotea kabisa toka zile tuhuma zimetokea? Ajitokeze ajibu ili wale ambao waliogopa wajitokeze maana hata humu nadhani msg yake ya mwisho ni ya february
Mkuu nijitokeze nijibu nini
 
Ameshatupiga, wakati anatubembeleza tujiunge kila siku alikuwa humu kila siku sasa hivi hataki hata kuja kutupa pole tuliopoteza na ukimuulizia watu wanakuwa wakali sijui wanakula nae.
Kiukweli kama MTU hajajiunga lazima tuwaambie ukweli Forex ni gambling au kwa kiswahili ni kamali.
Lazima watu wajue wenye imani zao zinazokataza waelewe vizuri
Sikia wewe pimbi. You gambled and you lost. We learn fx and earn in fx. That's our f* difference.

Unafikiri mlipoambiwa msome au vile vitabu vilikua vinapostiwa humu kama mapambo?
 
Sikia wewe pimbi. You gambled and you lost. We learn fx and earn in fx. That's our f* difference.

Unafikiri mlipoambiwa msome au vile vitabu vilikua vinapostiwa humu kama mapambo?
kwa nini watu mnaofanya forex mkiambiwa kuwa hii ni gambling huwa mnakuja juu lakini mnashindwa kufafanua utofauti wa forex na kamali mnaishia kutukana tu?
 
Ga
kwa nini watu mnaofanya forex mkiambiwa kuwa hii ni gambling huwa mnakuja juu lakini mnashindwa kufafanua utofauti wa forex na kamali mnaishia kutukana tu?[/QUOTE
Gambling ni kubahatisha zaidi ,forex ni science and predictions
 
Mimi mbona nikisahau mpaka password lakini kutumia Whatsapp chat nikawaambia na wakanipa pword mpya
yea hat mim nawasiliana nao whatsaap hawana shida kuna siku deposit ili delay kumbe tatizo lilikua kwa i pay ila wakanisaidia kuwasiliana nao
 
kwa nini watu mnaofanya forex mkiambiwa kuwa hii ni gambling huwa mnakuja juu lakini mnashindwa kufafanua utofauti wa forex na kamali mnaishia kutukana tu?
kwa nini watu mnaofanya forex mkiambiwa kuwa hii ni gambling huwa mnakuja juu lakini mnashindwa kufafanua utofauti wa forex na kamali mnaishia kutukana tu?
gambl ni kuotea win los or draw forex haina haja ya kuotea unanunua pale bull wapo in control na unasell pale bear wapo in control basii inshort unatembea na mtu alieshinda sa kwenye kamali unaweza subir madrid ashinde ndo umbetie?
 
upload_2018-5-26_17-35-46.png
LEO hili bandiko limetimiza mwaka mmoja.

Siku kama ya leo, moto wa kujifunza FX uliwashwa rasmi kwa vijana walio wengi.
  • Kuna ambao wamenufaika na kusonga mbele.
  • Na kuna ambao wameshindwa kabisa na kukata tamaa kuhusiana na FX
Je wewe uko upande gani??
 
gambl ni kuotea win los or draw forex haina haja ya kuotea unanunua pale bull wapo in control na unasell pale bear wapo in control basii inshort unatembea na mtu alieshinda sa kwenye kamali unaweza subir madrid ashinde ndo umbetie?
Forex inaweza kuipukika na kuwa kamali endapo nitafanya(assume) pesa kuwa bidhaa kama bidhaa zingine, hii difinisheni yako na kulinganisha na sports betting bado sijaiona kuwa forex sio kamali. Uingereza kuna aina nyingine ya forex trading inaitwa spread betting hii ni purely gambling na analysis unazofanya ww ndio hizo hizo zinatumika kwenye spread betting na FSA haiwakati kodi sababu wanaieka kwenye kundi la gambling, kwa hiyo hata kama trader atafanya uchaguzi sahihi kuchagua bulls side au bears side bado haitoi spread betting kuwa kamali kwa sababu ina features zote za kuitwa kamali na hivyo hivyo kwenye hii spot forex mnayofanya .
All in All swala la forex kuwa kamali ama la linabaki kuwa mtazamo wa mtu na jinsi ambavyo ana-define kamali kwa mtazamo gani. kwangu mimi Forex(aina zote binary options, spot forex,spread betting) ni ultimate form of gambling.
Nadhani upo unafanya analysis, happy trading ifikapo jumatatu saa sita usiku na mm niutafute utajiri kwa njia nyingine.
 
gambl ni kuotea win los or draw forex haina haja ya kuotea unanunua pale bull wapo in control na unasell pale bear wapo in control basii inshort unatembea na mtu alieshinda sa kwenye kamali unaweza subir madrid ashinde ndo umbetie?
Kamali ziko za aina nyingi sana nenda casino ukajifunze ndio utajua kwa nini Forex ni gambling maana yake kuna kupata na kukosa
 
Kamali ziko za aina nyingi sana nenda casino ukajifunze ndio utajua kwa nini Forex ni gambling maana yake kuna kupata na kukosa
Ok umeshinda, ushindi ni wako Boss, acha tu make chapaa na gambling yetu ya FOREX
 
Wakuu, habari!!

Naomba niende direct kwenye mada. Nipo kwenye kujifunza hii biashara ya Forex. Nimekuwa nikitumia demo acount kwa brocker templerfx. Now nahitaji nifungue cent account. Hapo ndipo ninapochemka. Mbona nikienda kwenye kujisajili inakuja option nichague Demo cent account au Demo account . Nimejisajili kwa Demo cent account. Nilipokwenda kuingia kwenye MT4 naona account inaonyesha kwamba ni DEMO. Nimerudi kwenye site ya templer nimetafuta mno mahala pa kufungulia account ya halisi ya cent account hadi nimechoka sijapaona. Msaada jamani, hii cent account ya templer ambayo ni real unafungua vipi.
 
Sikia wewe pimbi. You gambled and you lost. We learn fx and earn in fx. That's our f* difference.

Unafikiri mlipoambiwa msome au vile vitabu vilikua vinapostiwa humu kama mapambo?
Kwa hiyo ukisoma vitabu hupati hasara,huchomi account?
 
kwa nini watu mnaofanya forex mkiambiwa kuwa hii ni gambling huwa mnakuja juu lakini mnashindwa kufafanua utofauti wa forex na kamali mnaishia kutukana tu?
Wanataka kuwaaminisha watu wanapata faida,...wakati kiuhalisia wanabahatisha tu na hasara zipo za kutosha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom