Black Idea
Senior Member
- Feb 2, 2015
- 124
- 148
Mkuu asante kwa highlight, ila vile vya beginers vipi au ndio hivi hivi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu asante kwa highlight, ila vile vya beginers vipi au ndio hivi hivi?
sio huyo Sandile mkuu....au unafikiri ni Sandile tu alietajirika kwa FOREX TRADE? South Africa wapo wengi tu wametajirika kwa hii biashara.....nimemsahau jina dogo yuko jela sasa hivi kwa kumuua mpenzi wake
kuna yule dogo aliemuua mpenzi wake juzi juzi South Africa....nae alikuwa anafanya hii biashara alikuwa na mpunga wa maana....FOREX ukiielewa vizuri jihesabu milionea
Jaribu broker mwingine.So nisi upload for now ?or wat should I do
"Akili za kuambiwa changanya na za kwako" by JK!When the deal is too good ............
Naimani mko salama wana JF!
So far so good, achilia mbali kusoma na kujua how to trade au kuwa na capital/pesa kwenye account bado kuna kitu ambacho ni LAZIMA wewe kama trader ujue. Forex inaendeshwa kwa matukio mbali mbali yanyotokea duniani na nnaposema duniani namaanisha mataifa makubwa sio haa yetu ya dunia ya tatu!
Mfano, nakumbuka baada ya Donald trump kushinda uchaguzi (kabla hajaapishwa), soko la hisa na bidhaa mbali mbali duniani hasa USA zilitikisika sana hapa utajiuliza kwanini??
Kuna matukio kama lile la brexit,lile tukio la Uingereza kujitoa kwenye umoja wa Ulaya, japo sikusikia any bad new infact kwasababu sikufwatilia, ila I believe hili tukio lilitikisa sana thamani ya euro na pound!!
Haya turudi tena kwenye chokochoko za china, usa, Russia, iran, North korea na israel. Hizi zote ukiziangalia kwa angle flani zina impact katika forex. Kuna wakati naamini hizi chokochoko zinaanzishwa maksudi ili kutikisa ulimwengu wa flow ya pesa!
Haya turudi huku kwetu, baada ya magufuli kushindwa biashara/makambuni baadhi yalifungwa, je ni kwanini?? Najua wale wenzangu weanaopenda majibu mepesi watadhani wamefunga kwa sababu walikua hawalipi kodi which to some point is not true! Tuangalie lile tukio la ACACIA, baada ya kutokea yaliyotokea jamaa hisa zao zilishuka, je kwanini?? Hapa tuombe wasiende mahakamani na wakashinda kesi maana kwa hasara waliyoipata hawatatuacha salama!
Pia mikutano mbali mbali ya kimataifa kama G7 na G20 ikitokea, kuna mengi yanajadiliwa na kwa upande flani yana impact katika uchumi na siasa ambazo kwa upande Fulani yatapelekea kuyumba au kukua kwa soko la pesa!
Kwa kifupi tu FOREX inaendeshwa na matukio, na matukio haya ni yanagawanyika katika sehemu tatu, yaani siasa/politics, jamii/social na uchumi/economic! Na haya matukio yakitokea jua kuna faida au hasara inatengenezwa.
Bottom line, FOREX imeegemea katika speculation, na kwa trader/speculator mzuri, kuwa na capital tu haitoshi, ni lazima pia ukawa MFWATILIAJI MZURI wa habari na matukio mbali mbali kimataifa hasa ya nchi ziizoendelea na zenye nguvu duniani yaani G7 na G20!
Wasalaam!
Mwenzako katika kujifunza,
LT(Eng.)
Duh! Hapa kuna harufu ya MIHELA.
ushauri: Ontario ni JF nickname, wanaotaka kujiunga na mtandao muwe makini as nasikia harufu ya matapeli kuiona fursa Hii ya aggressive people. Atakupigia mtu au atatafuta njia ya kuteka minds za watu kwa jina la ONTARIO akulize pesa ngumu za Magufuli.
Let we be extra careful na hizi moves.
Yes, we should be risk takers, but we must be calculative risk takers.
Nia njema ilete mema kwa umakini.
hii ni training kwangu piaUkiona Trump ana tweet kuhusu uchumi wa marekani, basi ujue kwenye pair za USD lazima kitu kitikisike..
Traders wame-fall in love with Trump, mpaka watu wanahisi na yeye ana trade..
Si unge like tu mkuu ingekua vyema.Tunasubiri
Mimi siamini kama ha-trade! na yeye sio mjinga mpaka kusema hataki mshahara wa rais! yeye sio mjinga mpaka akaacha kazi zake zilizokua zinamuingizia billions of money na kwenda kuwa rais tena bila mshahara!!Ukiona Trump ana tweet kuhusu uchumi wa marekani, basi ujue kwenye pair za USD lazima kitu kitikisike..
Traders wame-fall in love with Trump, mpaka watu wanahisi na yeye ana trade..
Mimi siamini kama ha-trade! na yeye sio mjinga mpaka kusema hataki mshahara wa rais! yeye sio mjinga mpaka akaacha kazi zake zilizokua zinamuingizia billions of money na kwenda kuwa rais tena bila mshahara!!
Lazima tujue USD ndio major currency katika soko la pesa, lazima kuna impact inatokea ukiona matukio hasa yanayohusisha USA!
hii ni training kwangu pia
Mimi siamini kama ha-trade! na yeye sio mjinga mpaka kusema hataki mshahara wa rais! yeye sio mjinga mpaka akaacha kazi zake zilizokua zinamuingizia billions of money na kwenda kuwa rais tena bila mshahara!!
Lazima tujue USD ndio major currency katika soko la pesa, lazima kuna impact inatokea ukiona matukio hasa yanayohusisha USA!
Hongera bibie,Thread nzuri sana hii na faida kwa wote pia..Sasa tulioko mkoani inakuwaje maana nipo Arusha n i just gave birth about 3days na sitopenda hii inipite
Sijui kabisa!Umeshaanza kutrade? Au hujui kitu kabisa?
Sipo vizuri kwenye mambo ya whattsap mkuu. Nikisema nianzishe group sitaweza kupata muda wa kufanya hivyo.
Mwenyewe nipo DSM mkuu..