Mkuu Mbona hii link haifanyi kazi tena?
Iko bearish... Sell and thank me later
ndo nilicho chora mkuu au hujanielewaIko bearish... Sell and thank me later
Hakuona inafanya kwanza retesting kabla haijashukando nilicho chora mkuu au hujanielewa
Ingia telegram kisha searchWadau naomba link ya lile group kubwa la telegram na lile la vitabu
How?Leo ni chereko chereko for most of the pairs!
Angalia pair nyingi zilivyo bearish kinyama!How?
NIMEKUJA NA PICHA ASUBUHI IKIONYESHA SELL NA BAADA YA MDA RESULT NI KAMA HIVI. kwa wale walio piga pesa like pls. MAKE MONEY BFT for life free signal
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kweli maisha yako kasi sana...Mwaka jana mida kama hii Ontario na The bold walikuwa wanaheshimika mno yaani ukitofautiana nao kidogo members wanakushukia kama kibaka...leo hii hakuna anaewaheshimu wanatukanwa hakuna wa kuwatetea...hahahaha heshima yote kwisha kabisa JF wanaiona kama kituo cha polisi teh teh
Haya tumekusikiaKweli maisha yako kasi sana...Mwaka jana mida kama hii Ontario na The bold walikuwa wanaheshimika mno yaani ukitofautiana nao kidogo members wanakushukia kama kibaka...leo hii hakuna anaewaheshimu wanatukanwa hakuna wa kuwatetea...hahahaha heshima yote kwisha kabisa JF wanaiona kama kituo cha polisi teh teh
Ontario naona umekuja kivingineHaya tumekusikia
Haha hivi kwanini umeamua kunibatiza hilo jina?Ontario naona umekuja kivingine
usd lazima iongee kwanini nipo mbele Usdchf bearish 800pips saiv naongeza pozition
mi mpaka naogopa hela maana wanagawa si ni kuoga hata new bie akifundishwa momentum ya downtrend anakula hela bila wasiwas UsdKama umekitrade leo especially for scalpers halafu ukakosa hela ya supu kuanzia 50000 na kuendelea pole sana! Maana mgodi unaendelea kutema!