Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Mkuu sijaribu kuprove any point kwa namna yoyote ile, najaribu tu kuconnect dots. Mimi hua ni mpenzi wa vitabu, tangu nipo Advance na chuo ndio alikuwa almost my biggest hobby, niliosoma nao wananifahamu vizuri, muda mwingi nilikua nasoma extra curricular book.

Kuna kitabu nilikisoma mwaka jana kimeandikwa na mwanamama Maria kinaitwa The Confidence Game ni kitabu kinachochambua zaidi psychology con artists ama kwa kiswahili tunaweza kusema mlaghai ama tapeli. Nakumbuka nilipigwa mpunga mrefu sana na Mzanzibari, ana ndevu hadi tumboni. It's one of my biggest adventures in my entrepreneurial journey.

Huyu mwanamama anasema kwamba matapeli wana tatizo la kisaikolojia lijulikananalo kama Narcissistic Personality Disorder (NPD)

Nini kinamsukuma mtu awe con artist

●Matatizo ya kiuchumi ya victim. Tapeli hua anang'amu kua mtu fulani ana tatizo, hivyo huweka mazingira ya mtu huyo kuamini kua huyo con artist ataweza kumsaidia kutatua matatizo yake kiuchumi.

●Matatizo ktk mapenzi au ndoa ya victim. Hii imekaa katika walaghai ktk mahusiano. Watu wenye nia ya ku-hit and run

●Furaha iliyozidi kifani ama tuseme over excitement. Tapeli akijua unafuraha iliyopitiliza basi ni mwanya wake kukuingia ili akudake vzr, maana katika kipindi hiko watu wengi wanashindwa kutumia ubongo.

Sasa huyu con artist anakua na sifa gani

●Ni mtu anayependa sana kujikweza. Unakuta mtu ana exaggerate mafanikio yake, umiliki na hata kipaji. Anataka aonekane ana achievements kubwa na watu wajue yeye ni mbabe/superior hata kama hakuna alichoachieve.

●Ni mtu anayeamini yeye ni mtu wa thamani kuliko watu wengine wote. Anaamini yeye ni intelligent kuliko watu wote, na mara zote anahisi kila mtu anakubaliana na mawazo yake.

●Anakua interpersonally exploitative, tuseme anatumia matatizo au changamoto za watu wengine kujinufaisha yeye binafsi, wala hajali maumivu atakayomsababishia victim.

●Mara zote mtu mwenye NPD hakubali kuwa ametenda kosa, hayupo tayari kurekebishwa. Muda wote atapambana juu chini kujinasibu kua hakuwa na nia mbaya, alikua na nia njema lkn watu wengine wamemchukulia kinyume. Pia kufanikisha hilo atatafuta huruma ya watu kwa kutumia maneno ya ukarimu na busara.

●Hawa watu wanapenda sana kuwa admired na kutafuta heshima. Akisema kitu hatatoa ushahidi bali atakimbilia kusema tazama statistics, soma biblia, waulize ndugu zangu nk nk.

Sisemi kua wewe ni mtu wa namna hiyo lkn nipo tu nina connect dots. Kuna con artist duniani walitokea kwa kuacha alama kubwa sana, hahhaa mmoja ni huyu Lustig ambae anajulikama kama mtu aliyeuza Eiffer Tower (kuna uzi wa Bold kamzungumzia vzr sana) Afu kuna huyu Charles Ponzi aliyebuni Ponzi scheme.

Na mara nyingi sana wanasiasa wa kiafrica ni Con Artists, wengi matapeli hata Bongo tunao. Usiombe uingie kwenye mikono ya hawa watu.
Ulikua unajizungumzia wewe hapa.
 
hawa templerfx sio broker wa kumuamini na unatakiwa kuwa makini nae, leo nilikuwa nafanya analysis pair ya GBPJPY cha kushangaza candle ya mwisho 4h timeframe 1/6/2018 kwenye templer ipo tofauti na chati za xm, tradingview na mql5 terminal
temprer-6-2-2018.PNG

templerfx

xm-2-6-2018.PNG

xm

tradingview-2-6-2018.PNG

TradingView

mql5-terminal.PNG

mql5
 
UPDATE 2: June 3, 2018
- Waweza kujiunga na telegram channel DayTradersTZ kupitia hii link: DayTradersTZ

- Utapoke Entry & Exit kwa wiki 4 for free, Hasa kwa London Session & New York Session, Hivyo tegemea Pips za kutosha

- Hizi pairs ndizo nitakuwa nazo kwenye watch list:
AUDJPY, GBPJPY, GBPNZD, GBPAUD, GBPUSD, GBPCAD, EURAUD, EURCAD, EURJPY, EURUSD, NZDJPY, NZDUSD, USDJPY, XAUUSD

- Iwapo kuna pair unahitaji iwepo kwenye watch List nijulishe na nitaiongezea
Karibu, Tuzisake Pips kwa pamoja.
 
Mwl group ya watsapp imepoa sana last week, au anahamia telegram au yote kwa pamoja
Group ya whatsap ni ya cre - ambaye ndio admin, ndio sababu nimefungua channel yangu ili iwe rahisi ku_share Entry na watakao hitaji.

Ili kujiunga na Telegram Channel fanya hivi: Ingia kwenye APP ya telegram pale kwenye search box andika @DTTFX
DayTraderTZ.jpg

SNAGHTML1a8669b.PNG
 
hawa templerfx sio broker wa kumuamini na unatakiwa kuwa makini nae, leo nilikuwa nafanya analysis pair ya GBPJPY cha kushangaza candle ya mwisho 4h timeframe 1/6/2018 kwenye templer ipo tofauti na chati za xm, tradingview na mql5 terminal
View attachment 792291
templerfx

View attachment 792293
xm

View attachment 792295
TradingView

View attachment 792301
mql5
Templer according to Forex Brokers Comparison & Reviews Templer broker siyo market maker ni ecn na stp, on the other hand, xm broker is purely market marker. Hivyo kunaweza kuwa na slight difference kwenye chart zao. Liquidity kiasi fulani huwa inasababisha kuwepo tofauti kidogo katika charts siyo lazma chart za brokers wote ziwe exactly at the same point at the same time ingawa tofauti haitakiwi kuwa kubwa sana!
 
.
Hivyo kunaweza kuwa na slight difference kwenye chart zao. Liquidity kiasi fulani huwa inasababisha kuwepo tofauti kidogo katika charts siyo lazma chart za brokers wote ziwe exactly at the same point at the same time ingawa tofauti haitakiwi kuwa kubwa sana!
Nimeyaelewa vyema maelezo yako.

Chanzo ulichotoa hakina maelezo ya kina.

Kuna hiki chanzo kingine. Nanukuu

TemplerFX is yet another of the hundreds offshore brokers with a flimsy regulation. This time it is provided by the Financial Services Authority (FSA) of Saint Vincent and the Grenadines, but generally it does not mean the broker is reliable and provides proper client protection.


More often than not, those brokers are a scam defrauding clients out of their money, so it is best to avoid dealing with them. There are proper and reliable brokers, particularly the ones regulated by UK’s FCA or the Australian Securities and Investment Commission (ASIC), who offer good trading conditions and are much safer to deal with.
Chanzo cha nukuu: Pepperstone vs. TemplerFX Forex Broker Comparison

HIvyo iwapo unamtumia huyu broker ni vyema ukamtambua kiundani.

BTW - Umeni_quote kima kosa, muusika ni ndugu thesym
 
.

Nimeyaelewa vyema maelezo yako.

Chanzo ulichotoa hakina maelezo ya kina.

Kuna hiki chanzo kingine. Nanukuu


Chanzo cha nukuu: Pepperstone vs. TemplerFX Forex Broker Comparison

HIvyo iwapo unamtumia huyu broker ni vyema ukamtambua kiundani.

BTW - Umeni_quote kima kosa, muusika ni ndugu thesym
Asante kwa maelezo yako na sorry kwa kuku-quote kimakosa! Mimi nilikuwa siongelei reliability ya templer kwa maana ya kwamba yupo regulated wapi na nani! Nilikuwa naongelea kuhusu liquidity ya templer Vs XM ili kuonyesha utofauti wa chart aliokuwa anaonglea bwana thesym. Hata hivyo hatushauriwi kuacha profit zetu nyingi kwa forex broker hata kama yupo regulated na authorties zinazoaminika. Acha tu kiasi unachoweza kuafford kupoteza endapo broker atafilisika au ku-dissappear!
 
upload_2018-6-3_16-54-18.png


Kwa wazee wenzangu wa ku-swing kazi kwetu, ukidauble account usinishukuru na ukiunguza usinilaumu..
 

Attachments

  • upload_2018-6-3_16-56-9.png
    upload_2018-6-3_16-56-9.png
    41 KB · Views: 59
upload_2018-6-3_17-5-24.png


CADCHF Nayo sio mbaya nipo nayo kwa wiki sasa ilirudi juu kidgo ikaform Head & shoulder.. ipo tayar kuendelea ikibreak apo kwa neck ni sign nzuri ya ku go short.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom