LURIGA
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 2,436
- 3,723
Naona sasa mambo yameanza kuwa shwari maana kelele za forex zimepungua kwa kiasi kikubwa sana. Sasa angalau kumekuwa na utulivu hivyo wanaogonga pips endeleeni vyema na wale waliorudi nyuma pia waendelee na shughuli nyingine za maendeleo. REMEMBER FOREX IS NOT FOR EVERY ONE, FOREX IS SIMPLE BUT NOT EASY FOR EVERYONE, FOREX IS NOT A GET RICH QUICK SCHEME BUT FOREX CAN BE A LUCRACTIVE SOURCE OF INCOME IF PROPERLY TRADED!