Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Tunaianza siku na CADJPY

Ili usipitwe na entry kama hizi jiunga na Telegram cahnnel kwa kufuata hii link: DayTradersTZ

Au search neno @DTTfx kwenye APP yako ya telegram.
upload_2018-7-11_20-17-15.png

Hali ilivyokuwa kutwa ya leo

Ili kujiunga na Telegram channel fuata hii link: DayTradersTZ

Au search neno @DTTfx kwenye APP yako ya telegram.
 
KWA WALE WA FOREX AMBAYE ANA TRADE kwa hapa sitatoa maelezo mengi sana ila unaweza ku google STEVE MAURO jinsi anayo wa sumbua market market kwa elimu na indicator anayo toa. unaweza ipata popote na ukiipata njo nikuongeze na pesa juu. ila kama unaitaka njo kwangu kwa bei nafuu kabisa. angalia picha hapo chini.

View attachment 807886 View attachment 807885 View attachment 807884
Mkuu wewe endelea u kurade na hiyo indicator yako i see! Hvi kama hiyo indicator inakusaidia kupiga hela nyingi sana kwenye market kwa nini uhangaike kuiuzaa? Si ukae nayo tu uendelee kupiga pesa nyingi kimya kimya!
 
haya bure
 
siki hiyoo indicator huwezi ipata bure kizembe inauzwa bei sana. na ina video zake na kila kitu yaani unaisoma ndo unaweza kuitumia kwa week 6 na video juu ukimaliza hapo uko safi. mi na share unaweza kataa au kukubali so ni kiwango cha kukaa kimya na kupotezea
 
So unatuuzia au unatushea
 
Wakati wengine tunabishana hapa, wengine wameamua kufanya... I'm really proud of this guy... Kaweka dola 3.50 na alipopata faida katoa dola 4... Now anakuza pesa ambayo co yake... Keep up bro...
IMG-20180711-WA0039.jpg
 
STEVE MAURO jinsi anayo wa sumbua market market kwa elimu na indicator anayo toa. unaweza ipata popote na ukiipata njo nikuongeze na pesa juu. ila kama unaitaka njo kwangu kwa bei nafuu kabisa. angalia picha hapo chini.
Iko hapa, Bure kabisa, Ni bundle yako tu ya ku_download
Code:
 http://forexwinners.org/forex/beat-the-market-maker-steve-mauro/
upload_2018-7-12_21-58-58.png
 
tuna semea indicator yake na sio course
Ni collection ya indicators na templetes zake.

Ili mtu aweze kuzitumia hizi indicator/ templates ni vyema kwanza akaanza na hayo mafunzo (course), azielewe video zote za S.M, ndipo ataweza kufanya Timing ya kuingia sokoni na kutoka na faida.

Nime attach kwa atakaye hitaji.
 
Attachments

Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura, namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker pamoja na E-mail.

Ni broker pekee ambae anayekuwezesha kuweka kiasi kidogo kuanzia dollar ($) 1 kwenye akaunti yako ,pia vilevile ana huduma ya haraka sana wakati wa kutoa pesa yako, dakika 15-30 tiyari pesa inakuwa imeshatumwa kwenye account yako.

BAADA YA KUJISAJILI

Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.

JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.

TemplerFX | Promo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom