Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
leo tarehe 29 USD/JPY 4H CHART
mwingine aie ona?
df.JPG
 
Kama umekitrade leo especially for scalpers halafu ukakosa hela ya supu kuanzia 50000 na kuendelea pole sana! Maana mgodi unaendelea kutema!
 
Kweli maisha yako kasi sana...Mwaka jana mida kama hii Ontario na The bold walikuwa wanaheshimika mno yaani ukitofautiana nao kidogo members wanakushukia kama kibaka...leo hii hakuna anaewaheshimu wanatukanwa hakuna wa kuwatetea...hahahaha heshima yote kwisha kabisa JF wanaiona kama kituo cha polisi teh teh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kweli maisha yako kasi sana...Mwaka jana mida kama hii Ontario na The bold walikuwa wanaheshimika mno yaani ukitofautiana nao kidogo members wanakushukia kama kibaka...leo hii hakuna anaewaheshimu wanatukanwa hakuna wa kuwatetea...hahahaha heshima yote kwisha kabisa JF wanaiona kama kituo cha polisi teh teh
Haya tumekusikia
 
Kama umekitrade leo especially for scalpers halafu ukakosa hela ya supu kuanzia 50000 na kuendelea pole sana! Maana mgodi unaendelea kutema!
mi mpaka naogopa hela maana wanagawa si ni kuoga hata new bie akifundishwa momentum ya downtrend anakula hela bila wasiwas Usd
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom