heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Huyu ni mpuuzi .Nani alikwambia indicators ni kufanikiwa forex[emoji1]
Yani forex ingekuwa simple hivyo yani ukipata signals una Buy au Sell ndio ingekuwa biashara rahisi duniani. Wewe bado mweupe sana kichwani unahitaji muda zaidi kusoma.
Ungeendelea na Hayo ma signals yako ipo siku ungekuta si account tu ndio imeungua bali pia nyumba yenu nzima
Aliekata Tamaa ni huyu laki si pesa mshirikina mteja wa mwandulami [emoji57]LEO hili bandiko limetimiza mwaka mmoja.
Siku kama ya leo, moto wa kujifunza FX uliwashwa rasmi kwa vijana walio wengi.
Je wewe uko upande gani??
- Kuna ambao wamenufaika na kusonga mbele.
- Na kuna ambao wameshindwa kabisa na kukata tamaa kuhusiana na FX
Twende mbereeee (in jiwe's voice)Aliekata Tamaa ni huyu laki si pesa mshirikina mteja wa mwandulami [emoji57]
Sisi tunasonga mbele[emoji123]
Hakuna kurudi nyuma .
Tumeshachoma meli moto .
Aluta continua
Afe simba afe mmasai
"Tutaelewana tu"-kwa sauti ya Dr shika
DahAliekata Tamaa ni huyu laki si pesa mshirikina mteja wa mwandulami [emoji57]
Sisi tunasonga mbele[emoji123]
Hakuna kurudi nyuma .
Tumeshachoma meli moto .
Aluta continua
Afe simba afe mmasai
"Tutaelewana tu"-kwa sauti ya Dr shika
Wee Jamaa jinafiki sana. Huna tofauti na yuda aliyemsaliti bwana Yesu.Tapeli mwenzao the bold nae alikuwa anawalipisha watu pesa kusoma vihadithi vyake vya kukopy na kupaste mitandaoni.....hahaha toka watu wamewashtukia wamekimbia mazima haha
smartWee Jamaa jinafiki sana. Huna tofauti na yuda aliyemsaliti bwana Yesu.
Juzi kati tu apa ulikuwa unapiga kelele kuhusu forex, Leo unasema ni utapeli tena.
Acha unafiki jomba, kama mambo ya mekushinda usiite watu matapeli.
Una Kichwa kibovu sana.
ongeza na hiiLaki si pesa hii screenshot unaielewa ina maana gani Hapo .
Kama hujui shut up!!!
Na wote mnaoiponda forex mnyamaze
Hamjui kitu[emoji57] View attachment 789748
pair gani iyo4hr chat BFT
View attachment 789853
hahahaahah mkuu uko vizuriNIMEKUJA NA PICHA ASUBUHI IKIONYESHA SELL NA BAADA YA MDA RESULT NI KAMA HIVI. kwa wale walio piga pesa like pls. MAKE MONEY BFT for life free signal
View attachment 789057
safi sana mkuu na imeshuka kwa kasi ya ajabu mnoo
ameitaja angaliapair gani iyo
I said this mwaka mmoja uliopita... Sasa mmeona yaliyotokeaPamoja na makala nzuri ya boss hapo, ila guys huu ni ushauri wa tajiri namba 3 duniani..
Vijana wengi tunajaribu kila kitu kwa tamaa tu ya kupata utajiri wa haraka.. Haya mambo ya Forex mimi binafsi nayafanya tangia 2012 na wala siwezi kumshauri mtu ambaye hana uelewa kiduchu wa Finance afanye. It's very complicated unless uache kila kitu unachofanya na udedicate muda wako kwenye hizi Forex pekee.. Ni biashara nzuri sana lakini it has higher risk.. Wengi sana wanaibiwa na Brokers kwenye hizi biashara..
Ahsante kwa kushauri sie wengine bado tunaendelea ni hizo changamoto zinafahamika.I said this mwaka mmoja uliopita... Sasa mmeona yaliyotokea
mbona umekata tamaa sana mzee.Forex faida yake ni ya muda mfupi tu....but in the long run lazima ule hasara..!... yaani broker unampa pesa zako azicontrol halafu unashindana nae!.... Brokers wakiona traders wanapata faida wanawapigia simu wakina Soros walioko pale wall street new york ndani ya sekunde chache tu direction ya charts inageuzwa kifuatacho ni kupukutika kwa akaunti na kuwa majivu