Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
uds
Screenshot_20180530-105221.png
 
Laki si pesa hii screenshot unaielewa ina maana gani Hapo .

Kama hujui shut up!!!

Na wote mnaoiponda forex mnyamaze

Hamjui kitu[emoji57]
20180530_083722_rmscr.jpg
 
Nani alikwambia indicators ni kufanikiwa forex[emoji1]

Yani forex ingekuwa simple hivyo yani ukipata signals una Buy au Sell ndio ingekuwa biashara rahisi duniani. Wewe bado mweupe sana kichwani unahitaji muda zaidi kusoma.

Ungeendelea na Hayo ma signals yako ipo siku ungekuta si account tu ndio imeungua bali pia nyumba yenu nzima
Huyu ni mpuuzi .

Hakuna forex trader aliefanikiwa kwa kutumia indicator .

Indicator zinaonyesha "Past Price Action"

Hakuna leading indicator

"Indicators Lag behind"

Price action ndo kila kitu[emoji57]
 
LEO hili bandiko limetimiza mwaka mmoja.

Siku kama ya leo, moto wa kujifunza FX uliwashwa rasmi kwa vijana walio wengi.
  • Kuna ambao wamenufaika na kusonga mbele.
  • Na kuna ambao wameshindwa kabisa na kukata tamaa kuhusiana na FX
Je wewe uko upande gani??
Aliekata Tamaa ni huyu laki si pesa mshirikina mteja wa mwandulami [emoji57]

Sisi tunasonga mbele[emoji123]

Hakuna kurudi nyuma .

Tumeshachoma meli moto .

Aluta continua

Afe simba afe mmasai

"Tutaelewana tu"-kwa sauti ya Dr shika
 
Twende mbereeee (in jiwe's voice)
 
Aliekata Tamaa ni huyu laki si pesa mshirikina mteja wa mwandulami [emoji57]

Sisi tunasonga mbele[emoji123]

Hakuna kurudi nyuma .

Tumeshachoma meli moto .

Aluta continua

Afe simba afe mmasai

"Tutaelewana tu"-kwa sauti ya Dr shika
Dah
 
Tapeli mwenzao the bold nae alikuwa anawalipisha watu pesa kusoma vihadithi vyake vya kukopy na kupaste mitandaoni.....hahaha toka watu wamewashtukia wamekimbia mazima haha
Wee Jamaa jinafiki sana. Huna tofauti na yuda aliyemsaliti bwana Yesu.

Juzi kati tu apa ulikuwa unapiga kelele kuhusu forex, Leo unasema ni utapeli tena.

Acha unafiki jomba, kama mambo ya mekushinda usiite watu matapeli.

Una Kichwa kibovu sana.
 
smart
 
Pamoja na makala nzuri ya boss hapo, ila guys huu ni ushauri wa tajiri namba 3 duniani..
17-i-never-invest-in-anything-that-i-dont-understand-warren-buffett.jpg

Vijana wengi tunajaribu kila kitu kwa tamaa tu ya kupata utajiri wa haraka.. Haya mambo ya Forex mimi binafsi nayafanya tangia 2012 na wala siwezi kumshauri mtu ambaye hana uelewa kiduchu wa Finance afanye. It's very complicated unless uache kila kitu unachofanya na udedicate muda wako kwenye hizi Forex pekee.. Ni biashara nzuri sana lakini it has higher risk.. Wengi sana wanaibiwa na Brokers kwenye hizi biashara..
I said this mwaka mmoja uliopita... Sasa mmeona yaliyotokea
 
hata waanzilishi wa forex mpaka leo hawaielewi.....wewe mmàtumbi uko Manzese unataka kushindana na wazungu wako New York...dah....!
 
Forex faida yake ni ya muda mfupi tu....but in the long run lazima ule hasara..!... yaani broker unampa pesa zako azicontrol halafu unashindana nae!.... Brokers wakiona traders wanapata faida wanawapigia simu wakina Soros walioko pale wall street new york ndani ya sekunde chache tu direction ya charts inageuzwa kifuatacho ni kupukutika kwa akaunti na kuwa majivu
 
mbona umekata tamaa sana mzee.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom