Tunaianza siku na CADJPY
Ili usipitwe na entry kama hizi jiunga na Telegram cahnnel kwa kufuata hii link: DayTradersTZ
Au search neno @DTTfx kwenye APP yako ya telegram.
Mkuu wewe endelea u kurade na hiyo indicator yako i see! Hvi kama hiyo indicator inakusaidia kupiga hela nyingi sana kwenye market kwa nini uhangaike kuiuzaa? Si ukae nayo tu uendelee kupiga pesa nyingi kimya kimya!KWA WALE WA FOREX AMBAYE ANA TRADE kwa hapa sitatoa maelezo mengi sana ila unaweza ku google STEVE MAURO jinsi anayo wa sumbua market market kwa elimu na indicator anayo toa. unaweza ipata popote na ukiipata njo nikuongeze na pesa juu. ila kama unaitaka njo kwangu kwa bei nafuu kabisa. angalia picha hapo chini.
View attachment 807886 View attachment 807885 View attachment 807884
good ideaFanyeni kazi za uzalishaji.
haya bureMkuu wewe endelea u kurade na hiyo indicator yako i see! Hvi kama hiyo indicator inakusaidia kupiga hela nyingi sana kwenye market kwa nini uhangaike kuiuzaa? Si ukae nayo tu uendelee kupiga pesa nyingi kimya kimya!
ni kweli ila kila mtu na choice yake, waache forex traders wajadili kupiga mkwanja kwenye uzi wao.Bla bla za bitcoin na forex, sio kitu kizuri.
ni kweli ila kila mtu na choice yake, waache forex traders wajadili kupiga mkwanja kwenye uzi wao.
siki hiyoo indicator huwezi ipata bure kizembe inauzwa bei sana. na ina video zake na kila kitu yaani unaisoma ndo unaweza kuitumia kwa week 6 na video juu ukimaliza hapo uko safi. mi na share unaweza kataa au kukubali so ni kiwango cha kukaa kimya na kupotezeaMkuu wewe endelea u kurade na hiyo indicator yako i see! Hvi kama hiyo indicator inakusaidia kupiga hela nyingi sana kwenye market kwa nini uhangaike kuiuzaa? Si ukae nayo tu uendelee kupiga pesa nyingi kimya kimya!
So unatuuzia au unatusheasiki hiyoo indicator huwezi ipata bure kizembe inauzwa bei sana. na ina video zake na kila kitu yaani unaisoma ndo unaweza kuitumia kwa week 6 na video juu ukimaliza hapo uko safi. mi na share unaweza kataa au kukubali so ni kiwango cha kukaa kimya na kupotezea
Mi ninayo, una shingapi nkuonyeshe? BTMMKWA WALE WA FOREX AMBAYE ANA TRADE kwa hapa sitatoa maelezo mengi sana ila unaweza ku google STEVE MAURO jinsi anayo wa sumbua market market kwa elimu na indicator anayo toa. unaweza ipata popote na ukiipata njo nikuongeze na pesa juu. ila kama unaitaka njo kwangu kwa bei nafuu kabisa. angalia picha hapo chini.
View attachment 807886 View attachment 807885 View attachment 807884
hata forex ni uzalishajiFanyeni kazi za uzalishaji.
Broker gani huyu?Wakati wengine tunabishana hapa, wengine wameamua kufanya... I'm really proud of this guy... Kaweka dola 3.50 na alipopata faida katoa dola 4... Now anakuza pesa ambayo co yake... Keep up bro...View attachment 808140
Kikawaida, broker hana uhusiano sana na kupata faida, mtaji pia hauna uhusiano.Broker gani huyu?
Iko hapa, Bure kabisa, Ni bundle yako tu ya ku_downloadSTEVE MAURO jinsi anayo wa sumbua market market kwa elimu na indicator anayo toa. unaweza ipata popote na ukiipata njo nikuongeze na pesa juu. ila kama unaitaka njo kwangu kwa bei nafuu kabisa. angalia picha hapo chini.
http://forexwinners.org/forex/beat-the-market-maker-steve-mauro/
Iko hapa, Bure kabisa, Ni bundle yako tu ya ku_download
View attachment 808224Code:http://forexwinners.org/forex/beat-the-market-maker-steve-mauro/
Ni collection ya indicators na templetes zake.tuna semea indicator yake na sio course