Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
15M - ni nzuri for timming entry, Ila wakati mwingine huwa tunashuka hadi kwenye 5min hasa kama una pair zenye Low ADR
Ila best time ni 30M na H1 - Ili kupata clear market direction kwa session husika.
Nimeweka lik hapo juu, Ni bure ku_download, hakuna ghalama yeyote, Achana na scammer wanaouza eti dola 400 wakati inapatikana bure.Daah, gharama za BTMM ni ghali sana,
Safihuwa natembea na lot ya 0.55 to 1.11, natafuta total pips 100/day nafunga mahesabu saa 10mchana.
Hapo ni kama pair moja tu umetrade,natafuta total pips 100/da
Safi
Je huwa unaanza timming saa ngapi???
Hapo ni kama pair moja tu umetrade,
Mfano ukichukua GBPJPY - hii hutembea kati ya Pips 60 hadi 80pips kwa asian session, na hutembea katia ya pips 60 hadi 100 kwa London/ New York session.
JE PAIRs ZAKO ( Profitable ni zipi? )
LONDON session, nimenotice vitu vingi sana pale soko huwa linachange direction, nikisaidiwa na Institution reversal point
pips 100 si kwa pair 1, ni tano kwa siku
Anza kuistudy hii pair GBPAUD au GBPJPY utabaini kumbe 100pips inawezeekana kwa Pair moja tu,
- Safi, Kuna baadhi ya EXOTIC pair kama hiyo na hii USDZAR kwa siku zinatembea balaa,USDCAD
EURNOK(hii ndio hua inanipa pesa sanaaaaa, naionea saaana)
USDJPY
EURAUD
GBPCAD
Alafu kingine JPY pair huwa zina PIP value kubwa, mfano kwa 100pips za JPY profit ni kubwa ukilinganisha na pair zingine.Nashukuru nitaleta mrejesho
- Safi, Kuna baadhi ya EXOTIC pair kama hiyo na hii USDZAR kwa siku zinatembea balaa,
Alafu kingine JPY pair huwa zina PIP value kubwa, mfano kwa 100pips za JPY profit ni kubwa ukilinganisha na pair zingine.
Hivyo jifunze kuhusu Pips value pamoja na ADR kwa pairs tofauti tofauti.
Only if you are smart trader,Mkuu, tupambane sana, SOKO LINA PESA NYINGI SANA ZA BURE.
all the best.
We jamaa unaonekana mvivu sana yani... We hata kufundishwa haufai... Kama kusoma mwnyewe ulishindwa, hatari sanaDaah, gharama za BTMM ni ghali sana, nikapata material yote uvivu ukanishika,
nilijitrain kutazama chati kwa muda mrefu sana plus kusoma candlestick sana
nikimpata mtu wa kufundisha nitasoma
Hii ni real, standard account ya Templer.Kaweka dola 3 kwenye cent account au ? Anatumia brokage gani
Hizi nataka kuzicheck. Vipi USDMXN na USDTRY?- Safi, Kuna baadhi ya EXOTIC pair kama hiyo na hii USDZAR kwa siku zinatembea balaa,
Usiguse kabisa USDMXN hasa kama una account size ndogo,Hizi nataka kuzicheck. Vipi USDMXN na USDTRY?
C unajua twataka kujaribu kila kitu? Mpaka kuramba sumu![emoji28] [emoji28] [emoji28]Usiguse kabisa USDMXN hasa kama una account size ndogo,
1.Spread kubwa sana
2. Volatility
Je hadi utrade exotic, Ina maana kwenye MAJOR, MINOR & CROSS pair kweli unakuwa umekosa trading opportunity????
Fikiri tena, sio kila pair inafaa ku_trade. Stick na Major, Minor & cross (baadhi sio zote)
We jamaa unaonekana mvivu sana yani... We hata kufundishwa haufai... Kama kusoma mwnyewe ulishindwa, hatari sana