Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
15M - ni nzuri for timming entry, Ila wakati mwingine huwa tunashuka hadi kwenye 5min hasa kama una pair zenye Low ADR

Ila best time ni 30M na H1 - Ili kupata clear market direction kwa session husika.

huwa natembea na lot ya 0.55 to 1.11, natafuta total pips 100/day nafunga mahesabu saa 10mchana.
 
Hapo ni kama pair moja tu umetrade,

Mfano ukichukua GBPJPY - hii hutembea kati ya Pips 60 hadi 80pips kwa asian session, na hutembea katia ya pips 60 hadi 100 kwa London/ New York session.

JE PAIRs ZAKO ( Profitable ni zipi? )

pips 100 si kwa pair 1, ni tano kwa siku

USDCAD
EURNOK(hii ndio hua inanipa pesa sanaaaaa, naionea saaana)
USDJPY
EURAUD
GBPCAD

ila mostly huwa natrade hizi haiwezi pita siku sijatrade hizi pair,
 
Sahihi kabisa
Ndio sababu kwa pairs kama: GBPAUG, GBPJPY, GBPNZD
- Waweza SELL kwenye ASIAN session, na pair hiyo hiyo uka_buy LONDON session ambapo entry inakuwa kati ya saa tatu na nusu asubuhi hadi saa sita, Then take profit inakuwa kabla ya saa 10jioni.

- naona tunazungumza lugha inayofanana.
- nakutakia kila lakheri mdau.
LONDON session, nimenotice vitu vingi sana pale soko huwa linachange direction, nikisaidiwa na Institution reversal point
 
Alafu kingine JPY pair huwa zina PIP value kubwa, mfano kwa 100pips za JPY profit ni kubwa ukilinganisha na pair zingine.

Hivyo jifunze kuhusu Pips value pamoja na ADR kwa pairs tofauti tofauti.

GBPJPY, EURUSD naziogopa sana kila nikizigusa zinanitoa sokoni na huge losses nikazifuta, ngoja nizirudie kwa somo lako
 
Daah, gharama za BTMM ni ghali sana, nikapata material yote uvivu ukanishika,

nilijitrain kutazama chati kwa muda mrefu sana plus kusoma candlestick sana

nikimpata mtu wa kufundisha nitasoma
We jamaa unaonekana mvivu sana yani... We hata kufundishwa haufai... Kama kusoma mwnyewe ulishindwa, hatari sana
 
Hizi nataka kuzicheck. Vipi USDMXN na USDTRY?
Usiguse kabisa USDMXN hasa kama una account size ndogo,
1.Spread kubwa sana
2. Volatility
3. PIP value ni ndogo

Je hadi utrade exotic, Ina maana kwenye MAJOR, MINOR & CROSS pair kweli unakuwa umekosa trading opportunity????

Fikiri tena, sio kila pair inafaa ku_trade. Stick na Major, Minor & cross (baadhi sio zote)
 
Usiguse kabisa USDMXN hasa kama una account size ndogo,
1.Spread kubwa sana
2. Volatility

Je hadi utrade exotic, Ina maana kwenye MAJOR, MINOR & CROSS pair kweli unakuwa umekosa trading opportunity????

Fikiri tena, sio kila pair inafaa ku_trade. Stick na Major, Minor & cross (baadhi sio zote)
C unajua twataka kujaribu kila kitu? Mpaka kuramba sumu![emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
We jamaa unaonekana mvivu sana yani... We hata kufundishwa haufai... Kama kusoma mwnyewe ulishindwa, hatari sana

Sihitaji kusoma sana, na forex sio kusoma bali bi kuangalia chart na kujua nini kinaenda kutokea.

NARUDIA TENA, forex sio kusoma na kusoma wala read more than you trade, forex ni KUJUA CHART TU.

pia nina my own strategy inayonipa pesa kwa target yangu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom