Na kweli, inatakiwa icwe Read more than you trade, inatakiwe iwe Trade more than you read, hata kama ni kwenye demo! Faults za strategy utazipata kama tu unatrade sana, co kusoma[emoji28] [emoji28]Sihitaji kusoma sana, na forex sio kusoma bali bi kuangalia chart na kujua nini kinaenda kutokea.
NARUDIA TENA, forex sio kusoma na kusoma wala read more than you trade, forex ni KUJUA CHART TU.
pia nina my own strategy inayonipa pesa kwa target yangu.
mh acha na mi nianze kufuatilia maana natumia EU na GU tu kwa 100/d position 5 lot 0.30Anza kuistudy hii pair GBPAUD au GBPJPY utabaini kumbe 100pips inawezeekana kwa Pair moja tu,
hata mimi nitaleta mkuuNashukuru nitaleta mrejesho
utatumia muda mwing kidogo ila ungekua unapitia materials unge rescale mudanadhani mimi ndiyo trader ambaye nitakuwa successful bila kuisoma in deep hii forex.,mi ni mvivu sana kusoma ila nilichofanya niliangalia chart zinavyomove kwa muda mrefu kisha nikatengeneza strategy yangu ambayo inaniingizia pesa
Kama unataka kumaster forex, BTMM strategy is the key..!
The whole package comprising videos, manual and template kuhusu BTMM are all available for free ingawa naona kuna pipo tryna sell it huku wamepata bure na wengine hawakusahau kuibatiza jina..!
Wale wenzangu na mimi tuliosoma sana PA lakn mambo bado yanaenda mrama, giving up is not an option, mind you hujapoteza chochote zaidi umejenga a strong foundation kuhusu forex. Ukipitia BTMM training utaelewa nn namaanisha..!
Get the package for your Forex career advancement.
BTMM (Market Maker World)
NB:
"Even with mountains of data and good
advice, if things don't go as expected, it's probably because we missed one, sometimes small but vital detail."
Naona watu wanaitumia BTMM kuwazungusha watu... Ngoja mi niwape shorticut.
Google drive files. Kila kitu.
Kama kuna mtu alishare bure. Mimi nani hadi niwacharge?
BTMM – Google Drive
Lakini i dont use them...
Lakini i dont use them...
Yah, nlianza zicheck, i think ntazmalizia... Thanks buddyView attachment 815617
Ila tambua kitu hiki, KUNA MENGI ALIYOZUNGUMZA STEVE M, yanafungua macho na kukupa mtazamo tofauti wa movement ya market, na hata ukiitazama tu MT4/5 CHART YAKO unakuwa na hakika wa nini kinaendelea sokoni ukiwa kama PA trader.
Video za S.M zote nimezitazama, na huwa nasikiliza kama audio maana kuna vitu vingi adimu anazungumzia ambavyo kamwe huwezi kuvipata kwenye vitabu.
View attachment 815617

Na ukimwelewa vyema Steve, Unaweza ukawa na trades MBILI au TATU kwa wiki na zikatosha, hivyo kuondoa haja ya ku_trade kila siku. Knowledge ya soko ndio kila kitu.
mkuu naomba link ya huo mzigoView attachment 815617

mkuu naomba link ya huo mzigo
http://forexwinners.ru/forex/beat-the-market-maker-steve-mauro/
Thanks, UbarikiweCode:http://forexwinners.ru/forex/beat-the-market-maker-steve-mauro/