AMLIGHT
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 1,140
- 843
Huyu ni Templer ( https://templerfx.com )Duh huyu ni broker gani anakubali deposit ya 3.5?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni Templer ( https://templerfx.com )Duh huyu ni broker gani anakubali deposit ya 3.5?!
Hard work paysMake sure chief unapitia right information tu..!!
Hardworking is worthless if your working on nonsense..!!
Dah hii ni fine,, hivi kutrade on mobile ni sawa kweli??Huyu ni Templer ( https://templerfx.com )
yes. watu wanatrade 100% on mobile tu. ili mradi ujue tu jinsi ya kuitumia hiyo mobile MT4Dah hii ni fine,, hivi kutrade on mobile ni sawa kweli??
Trading mini lots. Be the judge. View attachment 821375Dah hii ni fine,, hivi kutrade on mobile ni sawa kweli??
Duh nilikua natrade na Instaforex nikapiga 10% of start up bonus ambayo ilikua ni sawa na 100$ nikaambiwa nideposit equal amount ili nireplenish account ila kwa hii hapa nimetry demo naona candlestick zake hazina rangi nyekundu na kijani.yes. watu wanatrade 100% on mobile tu. ili mradi ujue tu jinsi ya kuitumia hiyo mobile MT4
you can just set them up.Duh nilikua natrade na Instaforex nikapiga 10% of start up bonus ambayo ilikua ni sawa na 100$ nikaambiwa nideposit equal amount ili nireplenish account ila kwa hii hapa nimetry demo naona candlestick zake hazina rangi nyekundu na kijani.
Ahaa dah maana nilianza kuana paper ina wino wa rangi ya karatasi ya maswaliyou can just set them up
Kama hv yaniAhaa dah maana nilianza kuana paper ina wino wa rangi ya karatasi ya maswali
Kwani hii inatumia bar charts au candlesticks
Candlesticks hapo mkuuKwani hii inatumia bar charts au candlesticks
Nimekupata mkuuUnaanza na ya kati ukibinya hapo juu kushoto, inafungua hapo chini, then ukibinya settings, unaenda page ya juu then utaenda colors
Kaka Hivi ulilikuchukua siku ngap kupata message ya ku verify code ya kufanyia online purchases kwa card ya CRDB??BROKERS WITH MOBILE MONEY DEPOSIT/WITHDRAWS.
Ukiachana na Templer ( https://templerfx.com ), kuna broker mpya kutoka South ambaye naye amekuja na staili hii ya Mobile Money Deposit/Withdraws. Uzuri wa Templer ni minimum deposit, mpaka $1.
Broker huyu anayeitwa CIFX Markets ( https://secure.cifxmarkets.com/live-account-register), ameenda mbali zaidi, kwa kuruhusu deposits na withdraws kupitia mitandao tofauti. Kwa sasa anasupport Vodacom Mpesa, Tigo pesa na Airtel money.
Lakini tofauti na Templer, huyu ana minimum amount ya $200.
Kikubwa anachomzidi templer ni spreads.... Pia hana commission na swap pia. Anaweza kuwa mzuri sana kwa swingers.
Sensible hard work paysHard work pays