Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
ukweli ni kwamba nimepunguza kusoma vitabu, KWA SABABU NASOMA VITABU..... na hili ni kosa kubwa newbie wengi tunafanya.. kusoma kila kitabu kipo mbele yetu...

ukweli, inabidi kusoma vitabu vinavyoelekeana na strategy tuliyoichagua tu, kama umechagua trend trading, then trendline trading na trendline breakout books ndo vitabu vya kusoma, vingine vya sijui quarters theory, sijui volume, how to use indicators.... achana navyo... mana unaweza soma vitabu mia wakati hautumii kabisa katika strategy umeichagua.

ni mawazo tu kwa tunaoanza
 
yes. watu wanatrade 100% on mobile tu. ili mradi ujue tu jinsi ya kuitumia hiyo mobile MT4
Duh nilikua natrade na Instaforex nikapiga 10% of start up bonus ambayo ilikua ni sawa na 100$ nikaambiwa nideposit equal amount ili nireplenish account ila kwa hii hapa nimetry demo naona candlestick zake hazina rangi nyekundu na kijani.
 
you can just set them up.

binya button ya mt4 juu kushoto, then unaenda settings, then utaenda sehemu ya colors, ukaset unavyopenda
 
Attachments

  • Screenshot_20180728-213319.jpg
    Screenshot_20180728-213319.jpg
    45.2 KB · Views: 69
  • Screenshot_20180728-213350.jpg
    Screenshot_20180728-213350.jpg
    38.1 KB · Views: 68
  • Screenshot_20180728-213330~2.jpg
    Screenshot_20180728-213330~2.jpg
    42.8 KB · Views: 61
Last edited:
Unaanza na ya kati ukibinya hapo juu kushoto, inafungua hapo chini, then ukibinya settings, unaenda page ya juu then utaenda colors
 
BROKERS WITH MOBILE MONEY DEPOSIT/WITHDRAWS.

Ukiachana na Templer ( https://templerfx.com ), kuna broker mpya kutoka South ambaye naye amekuja na staili hii ya Mobile Money Deposit/Withdraws. Uzuri wa Templer ni minimum deposit, mpaka $1.

Broker huyu anayeitwa CIFX Markets ( https://secure.cifxmarkets.com/live-account-register), ameenda mbali zaidi, kwa kuruhusu deposits na withdraws kupitia mitandao tofauti. Kwa sasa anasupport Vodacom Mpesa, Tigo pesa na Airtel money.

Lakini tofauti na Templer, huyu ana minimum amount ya $200.

Kikubwa anachomzidi templer ni spreads.... Pia hana commission na swap pia. Anaweza kuwa mzuri sana kwa swingers.
 
Kaka Hivi ulilikuchukua siku ngap kupata message ya ku verify code ya kufanyia online purchases kwa card ya CRDB??
 
Huwa naskia kuwa kuna semina apa bongo kuhusu jins ya ku-trade....vp hii imekaa vip na ratba zake zikoje???
 
Naona watu wanaangaika na indicators[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kwa mtizamo wangu indicator ni uchafu tu wa kwenye chart wala siuhitaji

Naked ni tamu sana ukidhamiria

Watu wanawajaza watu uoga tu humu kuwa naked ni ngumu
IMG_20180729_162142_904.jpg
 
  • Thanks
Reactions: 911
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom