Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Sihitaji kusoma sana, na forex sio kusoma bali bi kuangalia chart na kujua nini kinaenda kutokea.

NARUDIA TENA, forex sio kusoma na kusoma wala read more than you trade, forex ni KUJUA CHART TU.

pia nina my own strategy inayonipa pesa kwa target yangu.
Na kweli, inatakiwa icwe Read more than you trade, inatakiwe iwe Trade more than you read, hata kama ni kwenye demo! Faults za strategy utazipata kama tu unatrade sana, co kusoma[emoji28] [emoji28]
 
Nimedeposit now $4 universal kwa mpesa templerfx sema nimeludishiwa sms kuwa mtandao .....haupo kwenye mtandao wa elipa imekaaje hii wakuu????!!!!!
 
nadhani mimi ndiyo trader ambaye nitakuwa successful bila kuisoma in deep hii forex.,mi ni mvivu sana kusoma ila nilichofanya niliangalia chart zinavyomove kwa muda mrefu kisha nikatengeneza strategy yangu ambayo inaniingizia pesa
utatumia muda mwing kidogo ila ungekua unapitia materials unge rescale muda
 
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura, namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker pamoja na E-mail.

Ni broker pekee ambae anayekuwezesha kuweka kiasi kidogo kuanzia dollar ($) 1 kwenye akaunti yako ,pia vilevile ana huduma ya haraka sana wakati wa kutoa pesa yako, dakika 15-30 tiyari pesa inakuwa imeshatumwa kwenye account yako.

BAADA YA KUJISAJILI

Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.

JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.

TemplerFX | Promo
 
Kama unataka kumaster forex, BTMM strategy is the key..!

The whole package comprising videos, manual and template kuhusu BTMM are all available for free ingawa naona kuna pipo tryna sell it huku wamepata bure na wengine hawakusahau kuibatiza jina..!

Wale wenzangu na mimi tuliosoma sana PA lakn mambo bado yanaenda mrama, giving up is not an option, mind you hujapoteza chochote zaidi umejenga a strong foundation kuhusu forex. Ukipitia BTMM training utaelewa nn namaanisha..!

Get the package for your Forex career advancement.

BTMM (Market Maker World)

NB:
"Even with mountains of data and good
advice, if things don't go as expected, it's probably because we missed one, sometimes small but vital detail."
 
Join the group, pakua mzigo for free.

Kukaa au kusepa baada ya kupakua its up to you!

Goodluck
 
Naona watu wanaitumia BTMM kuwazungusha watu... Ngoja mi niwape shorticut.

Google drive files. Kila kitu.

Kama kuna mtu alishare bure. Mimi nani hadi niwacharge?

BTMM – Google Drive

Lakini i dont use them...
Kwa indicator, kuna moja Mwl RCT aliishare BTMMInstaler, bahati mbaya mimi cwez upload installer inanigomea...
 
Naona watu wanaitumia BTMM kuwazungusha watu... Ngoja mi niwape shorticut.

Google drive files. Kila kitu.

Kama kuna mtu alishare bure. Mimi nani hadi niwacharge?

BTMM – Google Drive

Lakini i dont use them...

Mkuu Unaweza ukawa sahihi kumpa mtu a direct link ya kupakua the whole package, lakn ni vizuri zaidi mtu kuwa around watu Wenye uzoefu na hiyo strategy kwa msaada zaidi in point of misunderstanding.
 
Lakini i dont use them...
upload_2018-7-22_11-31-29.png

Ila tambua kitu hiki, KUNA MENGI ALIYOZUNGUMZA STEVE M, yanafungua macho na kukupa mtazamo tofauti wa movement ya market, na hata ukiitazama tu MT4/5 CHART YAKO unakuwa na hakika wa nini kinaendelea sokoni ukiwa kama PA trader.

Video za S.M zote nimezitazama, na huwa nasikiliza kama audio maana kuna vitu vingi adimu anazungumzia ambavyo kamwe huwezi kuvipata kwenye vitabu.

Na ukimwelewa vyema Steve, Unaweza ukawa na trades MBILI au TATU kwa wiki na zikatosha, hivyo kuondoa haja ya ku_trade kila siku. Knowledge ya soko ndio kila kitu.
 
View attachment 815617

Yah, nlianza zicheck, i think ntazmalizia... Thanks buddy
 
Unfortunately Mwl strategy yako na yangu ni tofauti, ningekuomba uwe mentor wangu asee[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
View attachment 815617
Ila tambua kitu hiki, KUNA MENGI ALIYOZUNGUMZA STEVE M, yanafungua macho na kukupa mtazamo tofauti wa movement ya market, na hata ukiitazama tu MT4/5 CHART YAKO unakuwa na hakika wa nini kinaendelea sokoni ukiwa kama PA trader.

Video za S.M zote nimezitazama, na huwa nasikiliza kama audio maana kuna vitu vingi adimu anazungumzia ambavyo kamwe huwezi kuvipata kwenye vitabu.

Na ukimwelewa vyema Steve, Unaweza ukawa na trades MBILI au TATU kwa wiki na zikatosha, hivyo kuondoa haja ya ku_trade kila siku. Knowledge ya soko ndio kila kitu.

I salute S.M

This Guy amefanya niipende forex even more.

Mkuu hizo video ulizifanyia transformation kuwa audio?
Kama ndivyo naomba unigawie hizo audio.
 
View attachment 815617
Ila tambua kitu hiki, KUNA MENGI ALIYOZUNGUMZA STEVE M, yanafungua macho na kukupa mtazamo tofauti wa movement ya market, na hata ukiitazama tu MT4/5 CHART YAKO unakuwa na hakika wa nini kinaendelea sokoni ukiwa kama PA trader.

Video za S.M zote nimezitazama, na huwa nasikiliza kama audio maana kuna vitu vingi adimu anazungumzia ambavyo kamwe huwezi kuvipata kwenye vitabu.

Na ukimwelewa vyema Steve, Unaweza ukawa na trades MBILI au TATU kwa wiki na zikatosha, hivyo kuondoa haja ya ku_trade kila siku. Knowledge ya soko ndio kila kitu.
mkuu naomba link ya huo mzigo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom