Nimejaribu kutengeneza trading risk/money management template ya kuni-guide wakati ninapokuwa natrade forex. Hiyo ni mtazamo wangu kama unawazo mbadala fungukeni ili tuweze kusaidiana kupunguza kasi ya kuunguza account zetu hasa kwa newbies! NAWASILISHA!
Thanks kwa comment! Labda we unapendekeza stoploss iwe ngapi minimum kwa 1hr timeframe na kwa lot size ipi?View attachment 818642
Nimeipitia, iko vyema.
Mapungufu yako kwenye SL, kuna pair zina spread kubwa, bado broker hajaweka zake.
Hapo naona SL iko too tight labda kama una ECN account yenye spread ndogo kwa major pairs kama EURUSD, USDJPY na GBPUSD, na ukawa una trade only majors.
Hiyo SL ya 10pips ni kwa lower time frame kama 5minutes, na kwa scalpers. Ila kwa higher time frame hizo pips kwa SL ni ndogo sana.
Kinacho waumiza wengi ni kutaka ku_double account ndani ya siku chache.
Unakuta mtu ana account size ya chini ya dola 100, ila anatembea na lot kubwa.
Mnamo mwaka jana nilijitahid sana kufatilia uzi huu na hata kuanza kujifunza lkn nilijikuta nafail sabab hii issue ilinitak kutumia muda mwing kidog na nilikuwa tight san na masomo so kiukwel forex ikabaki stry kwa kichwa chang ila natamani sana kuijua hiii biashara na hata kuweka mzigo wanguGBPJPY, EURUSD naziogopa sana kila nikizigusa zinanitoa sokoni na huge losses nikazifuta, ngoja nizirudie kwa somo lako
Kati ya 25 to 32pips from entry point.Thanks kwa comment! Labda we unapendekeza stoploss iwe ngapi minimum kwa 1hr timeframe na kwa lot size ipi?
Ok. Kwa ambaye ataona hiyo template inamfaa atai-modify ili iendane na mahitaji yake binafsi!Kati ya 25 to 32pips from entry point.
Mkuu GB 6.5 mbna ni nyingi sana mkuu?Iko hapa, Bure kabisa, Ni bundle yako tu ya ku_download
View attachment 808224Code:http://forexwinners.org/forex/beat-the-market-maker-steve-mauro/
Mwl naomba nisaidie nijue hivi vitu mkuu.Kwenye kozi nzima uki_sum up utagundua kuwa umejifunza vitu vitatu
1. Market cycle - Daily, Weekly etl
2. Timming - Entry / Exit time, Market sessions na ni muda gani hutakiwi kuingia sokoni.
3. Pattern
Ukimaster hivyo vitatu, ukitazama tu_chart unajua hapa market iko level ipi?, Je uingie sokoni au usiingie sokoni? Na kwa sababu zipi??
Kozi nzima ya BTMM inakufungua mambo mengi ambayo retail traders hawajui.
Mkuu hili suala la session hasa kwa saa zetu za kibongo linanichanganya mkuu.Sahihi kabisa
Ndio sababu kwa pairs kama: GBPAUG, GBPJPY, GBPNZD
- Waweza SELL kwenye ASIAN session, na pair hiyo hiyo uka_buy LONDON session ambapo entry inakuwa kati ya saa tatu na nusu asubuhi hadi saa sita, Then take profit inakuwa kabla ya saa 10jioni.
- naona tunazungumza lugha inayofanana.
- nakutakia kila lakheri mdau.
Nenda gugo andika forex market time converter then utaset Gmt dar es salamMkuu hili suala la session hasa kwa saa zetu za kibongo linanichanganya mkuu.
Naomba unisaidie mkuu. Kwa kibongo nitajuaje saiv ni London, Asian, Newyork...
Kikawaida mimi ninapotrade natazama high probability setups... Then sl huwa nyuma ya previus swing high au low... Ninaogopaga sana kutumia pips kama kipimo cha sl kwa sbb wakati mwngne kama idadi hyo ya pips haiko nyuma ya swing low au high inaweza kufikiwa kirahisi tu... Haya ni maoni yangu tuThanks kwa comment! Labda we unapendekeza stoploss iwe ngapi minimum kwa 1hr timeframe na kwa lot size ipi?
Je katika Timeframe ipi? unazungumziaNinaogopaga sana kutumia pips kama kipimo cha sl kwa sbb wakati mwngne kama idadi hyo ya pips haiko nyuma ya swing low au high inaweza kufikiwa kirahisi tu... Haya ni maoni yangu tu
Entry tf, ambayo mara nyng huwa ni 1HJe katika Timeframe ipi? unazungumzia
Duh huyu ni broker gani anakubali deposit ya 3.5?!Wakati wengine tunabishana hapa, wengine wameamua kufanya... I'm really proud of this guy... Kaweka dola 3.50 na alipopata faida katoa dola 4... Now anakuza pesa ambayo co yake... Keep up bro...View attachment 808140
Candlestick ni kitu rahisi sana kuelewa in a matter of a week unajua kila kitu.. In short hii ni siku ya nne nasoma candlestick naona mwanga taratibu nikimaliza hii naingia course nyingine nahisi itakua rahisi pia kama nilimaster company na hire purchase in a matter of one month najiahidi after four months naanza kuingia sokoni kudownload pesa.Daah, gharama za BTMM ni ghali sana, nikapata material yote uvivu ukanishika,
nilijitrain kutazama chati kwa muda mrefu sana plus kusoma candlestick sana
nikimpata mtu wa kufundisha nitasoma
Tatizo likokwenye real application ya hicho unachokisomaCandlestick ni kitu rahisi sana kuelewa in a matter of a week unajua kila kitu.. In short hii ni siku ya nne nasoma candlestick naona mwanga taratibu nikimaliza hii naingia course nyingine nahisi itakua rahisi pia kama nilimaster company na hire purchase in a matter
Of course hakuna kitu rahisi yes.Tatizo likokwenye real application ya hicho unachokisoma
Tatizo liko kwenye entry na exit
Tatizo liko kwenye market timming.
Tatizo liko kwa martket maker
Sio rahisi kihivyo unavyo zungumzia.
Of course hakuna kitu rahisi yes.
Ila kama unakumbuka enzi za shule(mimi June 2018) zile topic ngumu ndo tunazifaulu vizuri why??
Jibu kama siyo juhudi na seriousness naomba unielezee vizuri kaka mkubwa.
Note: I only red business in books (at school)
Forex Beginner.