View attachment 818642
Nimeipitia, iko vyema.
Mapungufu yako kwenye SL, kuna pair zina spread kubwa, bado broker hajaweka zake.
Hapo naona SL iko too tight labda kama una ECN account yenye spread ndogo kwa major pairs kama EURUSD, USDJPY na GBPUSD, na ukawa una trade only majors.
Hiyo SL ya 10pips ni kwa lower time frame kama 5minutes, na kwa scalpers. Ila kwa higher time frame hizo pips kwa SL ni ndogo sana.
Kinacho waumiza wengi ni kutaka ku_double account ndani ya siku chache.
Unakuta mtu ana account size ya chini ya dola 100, ila anatembea na lot kubwa.