Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
sio huyo Sandile mkuu....au unafikiri ni Sandile tu alietajirika kwa FOREX TRADE? South Africa wapo wengi tu wametajirika kwa hii biashara.....nimemsahau jina dogo yuko jela sasa hivi kwa kumuua mpenzi wake

Sandile Mantsoe.
 
Reactions: MC7
brother it takes courage nili
kuna yule dogo aliemuua mpenzi wake juzi juzi South Africa....nae alikuwa anafanya hii biashara alikuwa na mpunga wa maana....FOREX ukiielewa vizuri jihesabu milionea

inahitaji utulive wakati wa kujifunza mkuu. mentors wengi bado nao wanagain knowlagde kila siku hvyo tunaangalia kuwa na mentor wetu.
 
Ukiona Trump ana tweet kuhusu uchumi wa marekani, basi ujue kwenye pair za USD lazima kitu kitikisike..

Traders wame-fall in love with Trump, mpaka watu wanahisi na yeye ana trade..
 
Poor mentality, hakuna mtu ambae amewahi kufilisika kwa kutapeliwa dola mia tatu, inaonekana wewe hela ineshikana na moyo wako. Pole bro.
 
Ukiona Trump ana tweet kuhusu uchumi wa marekani, basi ujue kwenye pair za USD lazima kitu kitikisike..

Traders wame-fall in love with Trump, mpaka watu wanahisi na yeye ana trade..
hii ni training kwangu pia
 
Ukiona Trump ana tweet kuhusu uchumi wa marekani, basi ujue kwenye pair za USD lazima kitu kitikisike..

Traders wame-fall in love with Trump, mpaka watu wanahisi na yeye ana trade..
Mimi siamini kama ha-trade! na yeye sio mjinga mpaka kusema hataki mshahara wa rais! yeye sio mjinga mpaka akaacha kazi zake zilizokua zinamuingizia billions of money na kwenda kuwa rais tena bila mshahara!!

Lazima tujue USD ndio major currency katika soko la pesa, lazima kuna impact inatokea ukiona matukio hasa yanayohusisha USA!
 
Kama hutatajirika wakati wa Trump, basi atakayekuja mwingine anaweza asiwe ana manipulate soko kama trump..

Nasubiri impeachment ya Trump, ntacheka..
 
hii ni training kwangu pia

Duh? Sikujua. I discuss with the guy just for fun.

Moreover, hiyo ndo fundamental analysis inaingia. Kufuatilia taarifa zote za uchumi, majanga, vita, ugaidi unaoendelea nchi za dunia ya kwanza.

Kuna pair zinakuwa affected kukiwa na mvua sana kwenye hiyo nchi au ugonjwa fulani ukiingia unapoathiri major export ya hiyo nchi.

Mfano, New Zeland, ukiingia ugonjwa hadi uzalishaji wa maziwa ukashuka, basi kwa kiasi fulani New Zeland Dollar lazima itikisike.
 
Bloomberg TV, CNN, BBC, Al Jazeera lazima ziwe uwanja wako wa nyumbani.

Kuliko kupoteza muda kushinda kwenye page ya Mange huko Insta, just focus on relevant issues zinazoongeza something in your bank account.
 
Thread nzuri sana hii na faida kwa wote pia..Sasa tulioko mkoani inakuwaje maana nipo Arusha n i just gave birth about 3days na sitopenda hii inipite
 
Thread nzuri sana hii na faida kwa wote pia..Sasa tulioko mkoani inakuwaje maana nipo Arusha n i just gave birth about 3days na sitopenda hii inipite
Hongera bibie,

Wa kike au kiume . . ?
Nataka kukutabiria hapa hapa kama hii business itakufaa . .
 
Umeshaanza kutrade? Au hujui kitu kabisa?

Sipo vizuri kwenye mambo ya whattsap mkuu. Nikisema nianzishe group sitaweza kupata muda wa kufanya hivyo.

Mwenyewe nipo DSM mkuu..
Sijui kabisa!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…