KINACHOENDELEA KWENYE TELEGRAM CHANNEL YA DAYTRADERSTZUPDATE 2: June 3, 2018
- Waweza kujiunga na telegram channel DayTradersTZ kupitia hii link: DayTradersTZ au Ingia kwenye telegram yako pale kwenye search box andika @DTTfx
- Utapoke Entry & Exit kwa wiki 4 for free, Hasa kwa London Session & New York Session, Hivyo tegemea Pips za kutosha
- Hizi pairs ndizo nitakuwa nazo kwenye watch list:
AUDJPY, GBPJPY, GBPNZD, GBPAUD, GBPUSD, GBPCAD, EURAUD, EURCAD, EURJPY, EURUSD, NZDJPY, NZDUSD, USDJPY, XAUUSD
Upo wapi mkuuUmenishawishi bahati mbaya ni cjawahi kuwa na wazo inafanyaje Kaz hii biashara je unaweza nifundisha?
Sawa broAchana na bonus sio nzur fungua akaunt Templer FX Trader deposit hata $ 15 anza kutrade ,, bonus pasua kichwa
Je katika kujifunza umefikia wapi?Nahitaji sana kutrade mkuu ila nahis kama bado sina elimu ya kutosha kuhusu hii trade
m.pesa hawana makato?$1 tu sawa na tsh 2,250 , yes unaweza tumia mpesa tu bila hata kuverify bank acc yako.. Yan hata km huna bank acc Templer FX Trader anakuruhusu kutrade utadeposit kwa mpesa na kuwithdraw kwa mpesa.. Hii ni nzur sababu unakuwa umeepuka Yale makato ya bank
Mkuu mbona mimi nafungua demo account inagomaJe katika kujifunza umefikia wapi?
Tumia hii site kujifunza ina mtiririko mzuri:
- Learn Forex Trading at School of Pipsology - BabyPips.com
- Iwapo kuna kipengele hujakielewa tazama videos Youtube
- Fungua Demo account, Cheza nayo kwa miezi mitatu, Huku ukiendelea kujifunza.
Kupata au kukosa inatokana na market movementeka wazi,,unaweka 1milion,kinatokea nini,inakuwa milion 2,
Mwl.RCT ,samahani mkuu ni site gani ambayo wanatoa mafunzo kwa njia ya notes na maswali ili kupima uelewa?Je katika kujifunza umefikia wapi?
Tumia hii site kujifunza ina mtiririko mzuri:
- Iwapo kuna kipengele hujakielewa tazama videos Youtube- Fungua Demo account, Cheza nayo kwa miezi mitatu, Huku ukiendelea kujifunza.
Hakuna makatom.pesa hawana makato?
Mkuu Mimi nashindwa naomba nisaidiwe.Kwenye browser link hii Templer FX Trader ,, kama unashindwa kufungua akaunt na kuiverify sio mbaya kuomba msaada
Pale kwenye ku prove kuwa Mimi sio robot ..inazingua! Nilitaka nifungue cent account
Tumia google chrome browser, au ukishindwa ncheck inbox nkusaidiePale kwenye ku prove kuwa Mimi sio robot ..inazingua! Nilitaka nifungue cent account
Kama umeshafungua akaunt, na umefund, huwez pata bonusKama umefungua UniversalFX account kwa Templer na unataka kuchukua Bonus kwa redeem code itakuwa joint account au kila moja inajitegemea?