Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
UPDATE 2: June 3, 2018
- Waweza kujiunga na telegram channel DayTradersTZ kupitia hii link: DayTradersTZ au Ingia kwenye telegram yako pale kwenye search box andika @DTTfx

daytradertz-jpg.792927

- Utapoke Entry & Exit kwa wiki 4 for free, Hasa kwa London Session & New York Session, Hivyo tegemea Pips za kutosha

- Hizi pairs ndizo nitakuwa nazo kwenye watch list:
AUDJPY, GBPJPY, GBPNZD, GBPAUD, GBPUSD, GBPCAD, EURAUD, EURCAD, EURJPY, EURUSD, NZDJPY, NZDUSD, USDJPY, XAUUSD
KINACHOENDELEA KWENYE TELEGRAM CHANNEL YA DAYTRADERSTZ


-------
UPDATED
- 15.08.2018 @16:25Hr

1534339531829.png
 
1534489670759.png


Waweza kujiunga na telegram channel DayTradersTZ kupitia hii link: DayTradersTZ au Ingia kwenye telegram yako pale kwenye search box andika @DTTfx
1534489749290.png


KARIBU DAYTRADERSTZ



UPDATE 11:18am
- Kama umeangalia vyema video, Utaona moja kati ya trade tayari ime hit_TP
1534493858776.png

Single Trade Results
1534493911425.png
 
Mwanga ni mdogo sana katika hii FX ,,ila giza ni zaidi,,umeeleza lakini kwa upande wangu na wengine pia hawataelewa,,weka wazi,,unaweka 1milion,kinatokea nini,inakuwa milion 2,au kinatokea kile,unakuwa ume burn account,
 
eka wazi,,unaweka 1milion,kinatokea nini,inakuwa milion 2,
Kupata au kukosa inatokana na market movement

1. Ukiingia sokoni kwa kufuata muelekeo wa soko - hapo utapata faida

2. Ukiingia sokoni kinyume na mwelekeo wa soko hapo utapata hasara.

Nimetumia lugha rahisi ili kidogo ieleweke.

Pata ujumuisho wote wa Forex kupitia hii app: https://play.google.com/store/apps/details?id=com.tiim.goforexx24

Pata kujifunza kwa kina kuhusu Forex kwa kufuata hii link: Learn Forex Trading at School of Pipsology - BabyPips.com

Fx inahitaji kujifunza zaid na kulielewa soko, ndipo utapata faida. Vinginevyo ni utakuwa unapoteza fedha uliyowekeza, Kupoteza fedha yote tunaita KU_BURN ACCOUNT, Yaani balance inakuwa inasoma ZERO baada ya kupata hasara mfululizo.

Hivyo basi mafanikio kwenye forex ni KUPUNGUZA LOSS, NA KUONGEZA WIN TRADE

KARIBU
DayTradersTz - Tunatoa Entry na Exit kwa FX traders.
 
Kama umefungua UniversalFX account kwa Templer na unataka kuchukua Bonus kwa redeem code itakuwa joint account au kila moja inajitegemea?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom