Haiwi joint, ukipata bonus cna hakika kama unaweza kuifund...Bado sijaiFund.
Inawekwa kwa akaunt yako, lakini htoweza kuitoa, ila kama utatrade na kupata faida unaweza itoaHiyo $30 inakuwa n Yangu kabisa
Jinsi ya kuipata hiyo bonus check hapa, lakn pia usisahau kupitia web ambazo mwl ameshare.. Ishu ni skills kwanzaJINSI YA KUPATA $30 NO DEPOSIT BONUS YA TEMPLER.
[T&C applies]
huenda ushatumia demo lakini uko na tatizo la mtaji... Au wengine tumeunguza akaunti, jinsi ya kuanza tena ni ngumu, hasa linapokuja suala la mtaji....
ANGALIZO:
Bonus hii ni kwa wateja wapya tu, kama ulishakuwa na akaunti ya Templer na ukaiwekea pesa, hautoweza kuipata, labda ufungue akaunt tofauti.
HATUA ZA KUFUATA:
1. Fungua akaunti mpya hapa:
Templer FX | Start with $30 No deposit Bonus
2. Verify email, namba ya simu (ni bora iwe voda, kwa ajili ya kutoa faida na kuendesha akaunti) na utambulisho wako.
3. Nenda MENU > OPEN ACCOUNT > chagua LIVE UNIVERSALFX > ok
4. Nenda Menu > Bonus > chagua akaunti yako ya universalFX, WEKA REDEEM CODE:
NDB30JN42017
Then submit.
5. Utapokea $30 katika akaunti uliyoifungua, mara nyingi within an hour.
6. Kama huna MT4 ,download hapa:
Playstore - Download MetaTrader 4 for Android
Start Trading!!
Ukihitaji msaada wowote, nicheck inbox
Unapoomba bonus, inawekwa katika hyo akaunti, haitengenezwi nyngne. Login details ni zlezlePoint yangu ni kuwa nimesoma masharti ya bonus account nikawa najiuliza kama ni ki-apply for bonus hiyo 30$ inawekwa kwenye hiyo UniversalFX account au napewa separate logins.? Maana kama itakuwa imeonganishwa na hiyo UniversalFX then masharti nayo yanakuwa applicable?
Unapoomba bonus, inawekwa katika hyo akaunti, haitengenezwi nyngne. Login details ni zlezle
Sent using Jamii Forums mobile app
Nice pullbackNdio kwanza imevunja neckline... Signal hyo... Kazi kwenu...View attachment 840647
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni kuku mgeni humu bandani eti ee?Umenishawishi bahati mbaya ni cjawahi kuwa na wazo inafanyaje Kaz hii biashara je unaweza nifundisha?
Kiwango chake cha chini ili kuanza ku trade kias ganBest broker in Tanzania
Deposit na withdraw kwa mpesa ndan ya sekunde 10
Kujiunga ingia hapa templerfx
Enjoy trading without commision
endapo nitadeposite hicho kiasi vipi mkiunguza akaunt hapo inakuwaje*WAKANDA CAPITAL FOREX ACCOUNT MANAGEMENT*
Hii ni huduma mpya inayotolewa na *Wakanda Capital.*
Huduma hii ni mahususi kwa wale watu wenye uelewa na forex au wale wanaotrade ila hawana muda kutokana na majukumu ya kimaisha hivyo kupelekea kukosa muda wa kutrade kwa ufasaha. Hivyo, lengo la huduma hii ni kuweza kuwasaidia kumanage acc zao za Forex huku wao wakipata faida bila kufanya kazi yoyote.
*Je, ni nini kinahitajika ili kupata huduma?*
-Live Forex Account
-Templerfx kama broker
-Minimum Deposit ya $200
*Je, pesa ya kutrade ninaweka wapi?*
Pesa itawekwa kwenye acc yako. Kama huna acc ya Templer, unaweza kutumia link hii kufungua acc Templer FX Trader na ukimaliza utafanya usajili na kufungua live acc, baada ya hapo utadeposit kiasi husika. Kama ukikwama tupo hapa kukusaidia kwa kila step.
*Je, ninaweza kutoa faida inayopatikana?*
Acc ambayo itakuwa chini ya uangalizi wa *WAKANDA CAPITAL* inaruhusiwa kutoa pesa mara moja kwa mwezi, na faida ya mwezi husika itagawanywa 70% kwa 30%, ikiwa 70% itaenda kwa mwenye acc.
*Je, kama nina maswali zaidi nitawapata vipi*
Kwa maswali zaidi mnaweza kuwasiliana na (CEO) kupitia 0744839127 au (CFO) kupitia 0756684172.
*Wakanda Capital*
Sent using Jamii Forums mobile app