Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Only lazy and crazy ppl can opt for this! Sorry for this annoying comment!
 
VIDEO: Motisha kwa wanao taka kufanya forex ila bila yakuwa na mitaji ikubwa
- Hata ukiwa na 20usd waweza anza ku_trade na faida ikapatikana
- Video: Ni account iliyowekewa US $5 tu, na imeanza kukua.
- Kikubwa ni SKILLS, MARKET TIMMING and RM

Waweza kujiunga na telegram channel DayTradersTZ kupitia hii link: DayTradersTZ au Ingia kwenye telegram app yako pale kwenye search box andika @DTTfx
View attachment 838548

KARIBU DAYTRADERSTZ
 

Ni kweli kabisa kikubwa ni skills tu za kutrade forex kuna kipindi nilianza na 10$ nikatrade ndani ya siku nne nikawa nimegonga 100+ USD. Nilikuwa natrade on daily time frame. Huwa sina muda mwingi wa kukaa kwenye kompyuta ndio maana napenda kutrade kwa daily time frame. Na pia huwa naanza na account ndogo na kuzikuza kwenye demo accounts au real accounts nina hiyo hobby ya kugrow small accounts! HIZO PICHA HAPO CHINI NI TRADE ZINAZOENDELEA!
 
GROWING SMALL ACCOUNTS INTO BIG ONES IS POSSIBLE. ALL YOU NEED IS RELEVANT TRADING SKILLS. THIS IS JUST SOME OF MY TRADES THAT ARE STILL RUNNING ON A DAILY TIME FRAME!





 
GROWING SMALL ACCOUNTS INTO BIG ONES IS POSSIBLE. ALL YOU NEED IS RELEVANT TRADING SKILLS. THIS IS JUST SOME OF MY TRADES THAT ARE STILL RUNNING ON A DAILY TIME FRAME!
hakikia hiki ndicho nilichokuwa namaanisha na kuwatia moyo wale wenye mitaji midogo

US $5 to US $100 hakika inawezekana, ila kwa wasio na skills watakataa.

JE NINI SIRI HASA YA KUWEZA KUKUZA MTAJI MDOGO??
1. Time Frame - Higher Time frame, Set trade and forget.
2.......
3........
4.........

Mkuu tupatie ABCs zaidi
 


Waweza kujiunga na telegram channel DayTradersTZ kupitia hii link: DayTradersTZ au Ingia kwenye telegram app yako pale kwenye search box andika @DTTfx

KARIBU DayTradersTz
 
View attachment 843639

Waweza kujiunga na telegram channel DayTradersTZ kupitia hii link: DayTradersTZ au Ingia kwenye telegram app yako pale kwenye search box andika @DTTfx

KARIBU DayTradersTz
Mkuu niko katika juhudi za kusoma kuhusu forex ili nipate ujuz wa ku trade lakni nahc kwa kusoma tu nashndwa elewa vzur ningepata wa kunielekeza kwa maneno nahsi ningeiva vzur na haraka zaidi mnanisaidiaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 

1. Unaweza kukuza mtaji wako mdogo kwenye time frame yoyote ile kulingana na trading strategy yako. Ila kwenye higher time frame kama h4 na daily ni rahisi zaidi kwani mara nyingi signal ktk hizi time frame huwa ni za uhakika. Pia kutrade kwenye higher time frame kunakupunguzia overtrading ambazo mara nyingi zinapelekea loss kutoka na emotions na
pia mental fatique.
2. Trading skill kama entry, na exit signals + money management ni muhimu sana kulingana na strategy unayotumia either
price action, indicator or both. Ni muhimu tena muhimu sana kuchukua muda kuielewa vyema trading strategy yako hasa
kwenye entry na exit. Hapa ndipo wengi huwa tunakwama. Hakuna formula kwenye hili ila cha msingi ni kuielewa vyema
strategy yako.
3. Napenda kutrade trends or swing trading (holding trades for long period say a from five days to a month depending on the trend situation) + Pyramiding (kuongeza trades kwenye trend inayoendelea kwenye faida).
4.I don't overcomplicate my trading strategy. Kama ni indicator natumia moving averages + stochastic na price action (pin
bar strategy). Na hata katika hizi indicator mara nyingi natumia moja tu, moving averages crossover + pinbar strategy. Kuwa na indicator nyingi kwenye chart yako hakutokufanya umake profit infact zinaweza kukuzidishia loss. You need only
one to two strategies that your are competent and sure of.
5.Elimu, elimu, elimu, ni muhimu hasa kutoka kwa successfull traders/mentor. Siyo lazima iwe ya kulipia kuna free online
forex materials ambazo unaweza kusoma na kuongeza kitu kwenye trading strategy. Au unaweza kusubscribe free training
materials kutoka kwenye sites za professional mentor/traders.

KIMSINGI KWENYE FOREX TRADING KAMA MNAVYOJUA HAKUNA FORMULA RASMI YA MAFANIKIO KAMA YALIVYO MAISHA KWA UJUMLA WAKE. KINACHOWEZA KUKUFANYA UFANIKIWE NI WEWE KUPRACTICE, KUJIFUNZA ZAIDI NA HATIMAYE KUJENGA STRATEGY YAKO AMBAYO UNAONA INAKUPA FAIDA! STRATEGIES NI NYINGI SANA ILA CHAGUA CHACHE AU HATA MOJA NA UIFANYINYIE KAZI HASA KUIELEWA!
 
nahc kwa kusoma tu nashndwa elewa vzur ningepata wa kunielekeza kwa maneno nahsi ningeiva vzur na haraka zaidi mnanisaidiaje
Ninaweza kuwa mwalimu wako,

Tutakuwa na live session kupitia ZOOM ( inatakiwa uwe na computer) Kila itakapo hitajika kufanya hivyo.

Nitakupatia VIDEO course (nilizonunua,) Pia nitakupatia custom indicator ambazo zitakupatia notification kwenye simu yako (PUSH NOTIFICATION ) pindi market setup inapokuwepo sokoni

Ili uweze kuelewa vyema hakikisha kwanza una basic knowledge itolewayo hapa: Learn Forex Trading at School of Pipsology - BabyPips.com

Ghalama: US $150 - Sawa na TZS 360,000 Tu.

Muda:
- Wiki tatu (3): - Kwa anayeanza kabisa (Beginner)
- Siku mbili (2) - Kwa ambaye tayari amejifunza forex na anahitaji kujua jinsi ya kufanya TIMMING, kujua ENTRY NA EXIT ( Daily Market Cycle) SAHIHI katika soko
- Muda ni Masaa Matatu (Yes masaa matatu US $150) tu, kupitia ZOOM - Kwa ambaye anataka kujifunza TIMMING, ENTRY & EXIT hasa kwenye Daily Cycle, pamoja na kuwekewa custom indicator katika PC yake, ambazo zitakupatia notification kwenye simu yako (PUSH NOTIFICATION ) pindi market setup inapokuwepo sokoni.

KWA WALIO SERIOUS NA WANATAKA KUJIFUNZA UNAKARIBISHWA PM

NITAWEKA FULL LIST YA VIDEO COURSE OUTLINE YA NINI HASA UTAJIFUNZA ( Kwa yule anayeanza kabisa)



Pichani ni custom indicators nyingi, ila utakazo tumia ni mbili au tatu tu.

 
ahsante sana boss ngoja nijipange na hzo fees then nikujulishe kuhusu darasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…