Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Nimepakua videos baadhi YouTube ngoja nijifunze kwanza kabla sija deposit

Jifunze tena sana mwenzio mwezi wa pili huu najifunza tu japo napata profit kwenye demo ila sijajiridhisha na uwezo ila kazia sana price action.
 
Tafuteni candlestick trading bible..hiki kitabu kimemalza mizozo yote..

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Anae htaji kujifunza ii ktu awe mtu mmoja private au ashirikiane na watu awajuao yy yhan wawe group ..mnichangie kidogo nipate kuwaelekeza kama mtakuwa ni fast learners au beginners ni somo la siku moja tu au kama ndio hamjui chochote kabsa ni somo la siku mbili tu yhan ni kuwapa vtu vya muhimu tu .. Tutatumia my real trading account ktk kujfunzia ...mbwembwe nyingi hazihitajiki chamsingi ni ku win the market

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Babypips,Currency trading for dummies,10 essentials of forex trading na hiki ni lazima
Kila mwandishi huwa ana lugha tofauti ya kuelezea kitu, utakuwa na uelewa mkubwa sana iwapo utasoma kitu hiko hiko kimoja toka kwa waandishi tofauti tofauti.

Kimsingi "Babypips,Currency trading for dummies,10 essentials of forex trading" hivi ulivyosoma vinakidhi ufahamu wa jumla wa FX

Ila inatakiwa utambue kuwa bado kuna mengi hujayafamu.

Mfano
- How to use daily market cycle in trading FX
 

ok alafu kwenye babypips nimeskip vitu course tatu ambazo ni:
1.Elliott wave&theory
2.Pivot point
3.na ile course inayohusu USA

je ,Hivi vitu ni lazima kwa beginner kuvijua?
 
Tutatumia my real trading account ktk kujfunzia ...mbwembwe nyingi hazihitajiki chamsingi ni ku win the market
Hili ndio kubwa zaidi

Kwa upande wangu nimegawa wanafunzi kwenye makundi matatu ya muda.

NA MATOKEO YAKE NI HAPO KWAHPO KAMA IONEKANAVYO HAPA CHINI
 
kwa kweli nitakuwa mwanafunzi wako soon.
 
I just only need 500$ hata muwe 100 ntawafundisha kwa iyo beiii siongezi

offer hii ni valid only for 2 week kuanzia siku ya leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuu kwahiyo Mkuu unataka 500$ ili uwafundishe watu!!!!!
Ndio no matter watakuwa wangap
Waki jiorganise wakawa hata 10+ bei ndio hiyo .. Mfano wakiwa 10 wakijichanga kila mmoja 50$ tayar wanakuwa wamefkisha 500$ nawapa elim ya maana ya kufaidika na soko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Grab the money from the market bwanaaaa! Acheni mineno mingi!

 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…