Alphaking2023
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 2,092
- 2,123
Nimepakua videos baadhi YouTube ngoja nijifunze kwanza kabla sija depositDah! embu somasoma kidogo maana yaonesha unaweza unataka ku deposit kwenye demo account
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimepakua videos baadhi YouTube ngoja nijifunze kwanza kabla sija depositDah! embu somasoma kidogo maana yaonesha unaweza unataka ku deposit kwenye demo account
Nimepakua videos baadhi YouTube ngoja nijifunze kwanza kabla sija deposit
Kila mwandishi huwa ana lugha tofauti ya kuelezea kitu, utakuwa na uelewa mkubwa sana iwapo utasoma kitu hiko hiko kimoja toka kwa waandishi tofauti tofauti.Babypips,Currency trading for dummies,10 essentials of forex trading na hiki ni lazima
Kila mwandishi huwa ana lugha tofauti ya kuelezea kitu, utakuwa na uelewa mkubwa sana iwapo utasoma kitu hiko hiko kimoja toka kwa waandishi tofauti tofauti.
Kimsingi "Babypips,Currency trading for dummies,10 essentials of forex trading" hivi ulivyosoma vinakidhi ufahamu wa jumla wa FX
Ila inatakiwa utambue kuwa bado kuna mengi hujayafamu.
Mfano
- How to use daily market cycle in trading FX
Hii ni muhimu zaidi2.Pivot point
Hili ndio kubwa zaidiTutatumia my real trading account ktk kujfunzia ...mbwembwe nyingi hazihitajiki chamsingi ni ku win the market
NA MATOKEO YAKE NI HAPO KWAHPO KAMA IONEKANAVYO HAPA CHINIMuda:
- Wiki tatu (3): - Kwa anayeanza kabisa (Beginner)
- Siku mbili (2) - Kwa ambaye tayari amejifunza forex na anahitaji kujua jinsi ya kufanya TIMMING, kujua ENTRY NA EXIT ( Daily Market Cycle) SAHIHI katika soko
- Muda ni Masaa Matatu (Yes masaa matatu kwa US $150 tu) , kupitia ZOOM - Kwa ambaye anataka kujifunza TIMMING, ENTRY & EXIT hasa kwenye Daily Cycle, pamoja na kuwekewa custom indicator katika PC yake, ambazo zitakupatia notification kwenye simu yako (PUSH NOTIFICATION ) pindi market setup inapokuwepo sokoni.
kwa kweli nitakuwa mwanafunzi wako soon.Ukweli ni huu latika forex
- Waweza kusoma mamia ya vitabui
- Waweza tazama mamia ya video za forex
Lakini mwisho wa siku BADO UTAHITAJI MTU WA KUKUELEKEZA MAWILI MATATU YA KUKUFANYA ULIKABILI SOKO VYEMA.
Mfano hai ni kwa wadau wote walio pata mafunzo toka TMT, ni wengi, ni zaidi ya 1,000 LAKINI MPAKA LEO ASILIMI 95% HAWAWEZI KUJITEGEMEA KWENYE ANALYSIS NA KUINGIA SOKONI WENYEWE. Bado wanahangaika na trading signal na wengi wao wamekwisha kata tamaa kabisa
(ANDIKA MAHALA HII SENTENSI NILIYOANDIKA KWENYE ITALIC, then fanya tafiti zako hapa JF na mtaani kwa ujumla wake)
JE UNAJUA NI KWANINI???
Utakapo ellewa ni kwanini ndio utaelewa nini nakizungumzia.
JE HIZO VIDEO NI ZANINI??? - NI KWA AJIRI YA KUPANUA UFAHAMU, UELEWA WA FOREX, Tatizo linakuja kwenyeUTUMIAJI KWA VITENDO KILE ULICHOKISOMA.
FX sio vitabu wala sio video, FX ni JINSI UNAVYOLIKABILI SOKO - Kuingia salama na kutoka salama.
View attachment 846480
Haya maandishi yana MAANA KUBWA SANA. Ukiyaelewa haya maandishi basi utanielewa kile ninachokifundisha.
Ndio sababu walegwa nimewaweka kwenye makundi matatu.
- Wanao hitaji session moja ya masaa matatu
- Watakao pata session mbili yaani siku mbili tofauti.
- Na watakao jifunza kwa wiki tatu wenyewe kupitia video nitakazo toa. Anapokuwa amemaliza hilo zoezi ndipo Tunafanya LIVE SESSION na kuona jinsi gani
1. Tunachagua Pair ya kutrade
2. Vigezo gani tunatumia
3. Vitu vya kuzingatia
4. Viashiria vipi vinakupa uthibitisho kuwa sasa ingia sokoni.
KIUFUPI MIMI NIPO KUKUPUNGUZIA learning curve katika FX, Tuna PIN point vitu ambavyo huwezi kuvipata kwenye Vitabu wala kwenye videos
I just only need 500$ hata muwe 100 ntawafundisha kwa iyo beiii siongeziAnae htaji kujifunza ii ktu awe mtu mmoja private au ashirikiane na watu awajuao yy yhan wawe group ..mnichangie kidogo nipate kuwaelekeza kama mtakuwa ni fast learners au beginners ni somo la siku moja tu au kama ndio hamjui chochote kabsa ni somo la siku mbili tu yhan ni kuwapa vtu vya muhimu tu .. Tutatumia my real trading account ktk kujfunzia ...mbwembwe nyingi hazihitajiki chamsingi ni ku win the market
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuu kwahiyo Mkuu unataka 500$ ili uwafundishe watu!!!!!I just only need 500$ hata muwe 100 ntawafundisha kwa iyo beiii siongezi
offer hii ni valid only for 2 week kuanzia siku ya leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio no matter watakuwa wangapDuuuu kwahiyo Mkuu unataka 500$ ili uwafundishe watu!!!!!
Mkuu trade utaipata kwenye soko hiyo dola miatanoNdio no matter watakuwa wangap
Waki jiorganise wakawa hata 10+ bei ndio hiyo .. Mfano wakiwa 10 wakijichanga kila mmoja 50$ tayar wanakuwa wamefkisha 500$ nawapa elim ya maana ya kufaidika na soko
Sent using Jamii Forums mobile app
sio kwamba nimeshindwa kuipata ila nataka kuwapa watu ujuz waache kupoteza pesa kila siku wanapo ingia sokoni